hongera Jerry Muro

Remmy

JF-Expert Member
Jun 9, 2009
4,701
1,799
hongera mwanahanari Jerry Muro kwa kutwaa mataji matatu, mojawapo la mwanahabari bora wa mwaka. hakika unastahili na ninaithamini sana kazi yako, kaza buti uendelee kung'ara.
 
...Safi kijana, lakini sio ndio uvimbe mbichwa ukajiona matawi ya juu mazee unatakiwa kukaza msuli mwanzo mwisho..Big Up sana Jerry.
 
Naona saizi ang'aa sana kuliko alivyo kuwa kule mwanzo.
Hongera sana Murro waonyeshe walio kutupia vilago kuwa kazi unaiweza.
 
Mama Mhaville alipoambiwa aongee neno alisema."iNATAKIWA HAWA WAANDAAJI WATUONYESHE HUYO MSHINDI KAFANYA KAZI GANI, WATUONYESHE HAPA NDO TURIDHIKE.." sijui kama ni comment ya kawaida au vp!
 
Mama Mhaville alipoambiwa aongee nenoalisema."iNATAKIWA HAWA WAANDAAJI WATUONYESHE HUYO MSHINDI KAFANYA KAZI GANI, WATUONYESHE HAPA NDO TURIDHIKE.." sijui kama ni comment ya kawaida au vp!
hizi ni chuki zake binafsi!pamoja na kukaa ujerumani zaidi ya miaka 12,huyu mama is AS GOOD AS NOTHING!

so far....!ANAZEEKA VIBAYA SASA
 
Hapana mkuu, pamoja na kwamba namkubali muro kv kazi zake zinaonekana lakini na mama nae ana pointi!!!Ningemlaumu maradufu endapo hoja yake asingeitowa pale mshindi asingekuwa muro, i guess it was just a coincidence!!!! BRAVO KAKA JERRY MURO
 
HAHAHAHA!u think so?hahaha haya
 
hongera mwanahanari Jerry Muro kwa kutwaa mataji matatu, mojawapo la mwanahabari bora wa mwaka. hakika unastahili na ninaithamini sana kazi yako, kaza buti uendelee kung'ara.

KAZANA sana si unamsikia dada Frola Nducha anapaa kila siku sasa yuko pengine kaondoka BBC
 
Mama Mhaville alipoambiwa aongee neno alisema."iNATAKIWA HAWA WAANDAAJI WATUONYESHE HUYO MSHINDI KAFANYA KAZI GANI, WATUONYESHE HAPA NDO TURIDHIKE.." sijui kama ni comment ya kawaida au vp!

Huyu mama na pointi ila pointi yake imekaa kichokochoko sanaa!
 
Congrats Muro,keep it up.
Ni tuzo gani nyingine ameshinda?
Mchakato wa kumpata mshindi ulikuaje?
Waandaaji wa tuzo ni nani?
Binafsi kazi za kijana Muro nazikubali.
 
tatizo lanchi hii,,
badala ya huyo jerry muro kuzidi kuwa
mwandishi wa habari,,,
utakuja sikia anagombea ubunge.....
hii nchi vichekesho sana.
 
sasa hivi tu utasikia kwamba anatishiwa maisha na wabaya wake, hii ndo bongoland bwana nyingine photocopy!
 
Back
Top Bottom