Umeme Tatizo limeisha bado Sukari na Dollar

Mh Bashe kaza buti kama Biteko Ili yale matatizo matatu tuondokane nayo kabisa

Niwashukuru Sukuma Gang kwa kutumalizia Mgao wa Umeme

Kazi kwenu Bashe ( sukari) na Mwigullu (Dollar)

Mungu ni mwema Wakati wote 😄
HOJA ZA NYUMBU ZINAZIDI KUMALIZWA, MPAKA JUNE 2025,KILA PAHALA PATAKAMILIKA, SIJUI WATAKUWA NA HOJA GANI KWA MTANZANIA!
him.gif
 
Ngoja tuone friends of Monduli na Sukari
Serekali itabandika mabarabarani bei halisi za sukari very soon, stay tune, tatizo la sukari linaenda kuwa historia.
DOLA, Sioni kama ni janga la Kitaifa, linalomgusa mtanzania moja kwa moja katika kumkwaza katika shughuli zake za kimaendeleo!
 
No wonder nchi hii kuja kuendelea kweli ni pale Mungu atafungua akili zetu na kutufanya tuwaze kwa usahihi.

Umewahi kujiuliza tukipata ukame wa miezi 10 Je tutakuwa na umeme bado?

Kwa akili zenu visoda ndo mana Wanasiasa wanawachezea tu!

Suluhisho la mgawo wa Umeme ni kuwa na vyanzo vya uhakika vinavyoweza kutuhakikishia tunakuwa na umeme wa uhakika katika Mazingira yote. Hiki tunavhofanya kwa sasa ni sawa na kutumia mbinu na akili zilezile kutatua matatizo yetu jambo ambalo haliwezi leta suluhisho la kudumu kamwe!
 
Siku zote masikini ni fursa ya mwenye nacho. Hata hawa chawa humu ni fursa ya wenye akili na pesa. Thats life!
 
Mimi bado siamini kwamba mgao umeisha ,tuwape kwanza wiki moja mpaka mwezi,maana unaweza shangaa mnaletewa excuses nyingine.
 
Back
Top Bottom