hongera Jerry Muro

isije ikawa ndio kaanza kupoozwa kwa kuwa katemea mate na Mzungu.

Hongera sana
Hahahahahaaaaa! Kumbe ndiye mwenye kutemewa mate? Basi anachoulizwa na Mhavile ndilo jibu lake hilo, kitu alichokifanya ni kutemewa mate na mzungu, halafu hakusema "swela, nene mvifile hiro"

Leka
 
Back
Top Bottom