Hongera Jacob kwa kupambana kwa jasho na damu na kufanikiwa kujenga kasri lako; watu kama ninyi ni vigumu kununulika na watawala

Resilience

JF-Expert Member
Jan 4, 2023
877
4,106
Kuna mwizi serikalini ameishia kumiliki mademu wengi kwa sababu anajua akijenga au kuwekeza ipo siku atakamatwa kwa wizi.

Wapo viongozi wa kisiasa wamefanya nchi kama shamba na wanawekeza fedha nje ya nchi

Kijana BoN Yai alipokoseshwa ubunge aliamua kwa dhati kuingia kwenye ufugaji. Amefanya business yake kwa moyo mmoja na akitoa ajira kwa watanzania wengi. Leo hii anasherekea mafanikio yakujituma kwake.

Wakati Bon Yai akiendelea kushamiri kiuchumi bila kuiba cha mtu , Kitila Mkumbo anazidi kutegemea salary na posho kuendesha maisha yake. Kitila Mkumbo hana ajira anayotoa kwa Watanzania badala yake anaweza akazima ndoto za Watanzania wengi akifeli kuweka mipango mizuri ya kiuchumi.

Bony Yai anatarajiwa kuchukua Ubunge wa Ubunge mwakani akiwa anajiweza kiuchumi na siyo tegemezi. Hii ni wake-up call kwa vijana wengi kujikita katika kujitegemea kuepukana na uchawa.

Kama ambavyo Bony amefanya , namwona kijana mwingine Ally Hapi akifuata nyayo za wajasiriamali na kuungana wakulima

Aina hii ya viongozi wanaweza wakatafakari sawasawa tofauti na wale wanaotegemea kulishwa na kupachikwa kwenye miradi ya ufisadi.

Bony Yai hii nyumba yako inapaswa kuwekwa kwenye makumbusho ya Taifa kama Ishara ya kuwakumbusha CCM kuwa kuiba kura siyo mwisho wa maisha, ni mwanzo wa harakati mpya.......big up Savimbi

Bon yai.jpg
 
Kamanda, hilo Kasri liko wapi sasa! Au tukihoji mtatuambia sisi ni ccm?
 
Back
Top Bottom