Maige Chagu
JF-Expert Member
- Sep 22, 2018
- 236
- 241
Lissu hafikishi hata 5% ya kura, huyo ni laghai tu
Hahahah hapa ndio najua wanaomfuata nao hawajui wakiongeacho...Universal health care and Universal health insurance is one and the same bro....unaijua Obamacare? Blaza ni health care insurance for all...na kuhusu Mfuko wa Mafuta wa Norway haugawi pesa kwa watu kama anavyodai yeye ila unasimamia uwekezaji wa pesa zinazopatikana kwenye mafuta ni tofauti na anachokisema LISU nashukuru mungu ninaishi hapa Oslo na nafanya kazi kwenye sekta ya nishati hivyo naelewa zaidi kuliko ajuavyo yeye.Unaonesha jinsi ulivyo na uelewa mdogo kwanza hajasema universal health care amesema universal health insurance ndiyo maana hukuelewa. Kuhusu Norway yuko sahihi alichosema kwasababu ametolea mfano namna nchi zingine zinavyonufaika na rasilimali lakini nchi ya Equatorial Guinea ilivyo masikini pamoja na kuwa na utajiri mkubwa wa mafuta kutokana na uongozi mbaya.
Kweli ingekuwa ni TBC ni AIBU, wangekatakata haya mahojiano, halafu (baadae) warushe wanachoona kitamfurahisha JIWE na wapambe wake, kama ilivyokuwa wakati China ya MAO au Romania ya Chausescau.Hili ni bandiko la pongezi kwa ITV kuwa ndio the first mainstream TV Station kumhoji Tundu Lissu. Huu ni mwanzo mzuri, TV nyingine zifuate.
Kwanini hamtaki mjadala wa wagombea ili sisi wananchi tujue nani ana nondo na nani ana plasitik
Huyo fekelo tu.. hachaguliwi..
Nakuwona bado muguu ndani na muguu nje.. wajumbe wale.. mutaonyesha tu mulivyo.. na bado Magufuli hajaanza yake ya nondo.. viwewe mutalia..
Magufuli 2020
Nimekubali MkuuUlinambia kwamba if you can not beat them, then join them. Lakini, mimi nadhani ni vema ukawa na msimamo wako binafsi. Mayalla, we have our morals, our values and principles. Government regimes may change but you need to stand by your values and principles. Do not join a nonsensical regime simply because you desire to become an affluent individual. Remain an upright person regardless of the regime.
Kigoma? You can't be serious. Au unazungumzia hiz taa za barabarani hapa Mwanga?Hahaha blaza ule ndio uwezo kweli Uwezo wa kutokujua umeme wa Maji na mwingine upi ni umeme rahisi kabisa duniani? Nadhani Tundu lisu hajui kuwa Kuna Miradi ya umeme wa Jua Kigoma na Same , hajui kuna Mradi wa umeme wa Upepo Singida ambako ni kwao?....Mgombea anaeongea kuhusu mfuko wa mafuta wa Norway ambao hajui kazi yake ni nini?...Uwiii .Mgombea anayeongelea Universal health care bila kuchambua atafikiaje hiyo universal health care....hahaha VIVA MAGUFULI KANYAGA TWENDE
Alisema kwa nchi za tropical umeme wa maji siyo reliable una uncertainties nyingi. Sasa hiyo Norway unayo i refer ni nchi ya kitropikana, au tu bora umpinge Lissu.Hahahah hapa ndio najua wanaomfuata nao hawajui wakiongeacho...Universal health care and Universal health insurance is one and the same bro....unaijua Obamacare? Blaza ni health care insurance for all...na kuhusu Mfuko wa Mafuta wa Norway haugawi pesa kwa watu kama anavyodai yeye ila unasimamia uwekezaji wa pesa zinazopatikana kwenye mafuta ni tofauti na anachokisema LISU nashukuru mungu ninaishi hapa Oslo na nafanya kazi kwenye sekta ya nishati hivyo naelewa zaidi kuliko ajuavyo yeye.
Na hapa Norway Umeme unaoongoza kwa unafuu na kwa kuzalishwa kwa wingi unatokana na maji na Norway ndio inaongoza bara la ulaya kwa kuwa na umeme mwingi wa Maji 54GW, Ujerumani anaongoza umeme wa Solar 46GW, Denmark anaongoza Kwa umeme wa Upepo 28GW. USA 70% ya umeme wao ni wa maji, china 80% ya Umeme wao ni Maji.
Hofu kubwa ni endapo Tundu lisu ataingia ikulu kisha akamuondolea kinga ya kutoshitakiwa kama kule Malawi wakivyofanya sasaSijui kama siku ya kesho itaisha salama kwa ITV. Mwenendo wa Campaign unaonyesha JPM kachoka na anaongea ongea tu, nimeanza kuelewa kwanini JPM anamuhofia sana Lissu
Mwaka 2020 kila kitu ni kivingine yatatokea yale yasiyotarajiwa na hayakuwahi kutokea huko nyumaKwani kura zishaibiwa marangapi na hapakuchimbika shimo?
Mbona mlipigwa pini kufanya siasa miaka mitano na hapakuchimbika?
Hamasa tu za kwenye mitandao hamna lolote ni ushuzi tu.
Kilichobaki kwake sasa ni kucheza viduku, mapanga shaa na kuropoka vitu hata havipo. Hapo ndio kwanza kampeni zimeanza. Siku hizi kasahau hata kula mahindi barabarani, Lissu anamchosha sana akili.Sijui kama siku ya kesho itaisha salama kwa ITV. Mwenendo wa Campaign unaonyesha JPM kachoka na anaongea ongea tu, nimeanza kuelewa kwanini JPM anamuhofia sana Lissu