This is...
JF-Expert Member
- Dec 28, 2014
- 4,911
- 4,993
Havai ujinga Bali ni mjinga.huyu bwana anafikiri humu jukwaani anaandikia wajinga.namshauri labda aende huko chemba,bahi,na kwao misungwi akahutubie laivu angalao ataeleweka na wajinga wenzie.lkn humu anajichoresha.Nimekusoma na nimejaribu kufikiri....
Kwamba, laiti wewe ungekuwa ndiye mtangazaji uliyekuwa unamhoji Tundu Lissu kwenye kipindi hiki na ukawa na tabia ya kudakiza, kumtoa kwenye reli jamaa na mambo kama hayo ili mradi umvuruge na asieleweke kwa hadhira yake ,..
For sure, msingeelewana na Tundu Lissu angekugeuka papo hapo na kuanza kukufundisha kazi yako ya uandishi/utangazaji....!!
By the way aliyetajwa kwa jina ni Jaji Francis Mutungi - Msajili wa Vyama vya siasa kwa sasa...
Sasa what's wrong with that? Na sheria si ni kweli inaelekeza hivyo kuwa Msajili wa vyama vya siasa ndiyo ataamua iwe "ndiyo" au "hapana" kwa kile vyama vinavyoungana vinavyoamua kuungana na kukubaliana?
Na je, si ni kweli kwa sasa Msajili vyama vya siasa ni Jaji Francis Mutungi kwa sasa?
Sometimes Pascal Mayallah huwa hueleweki kidogo au pengine huwa unaamua kuuvaa ujinga kwa makusudi tu, right?