Tetesi: Unafiki wa Lissu wamuweka pabaya, kamati kuu yamkalia kooni

mapessa

JF-Expert Member
Oct 9, 2014
619
1,067
Kamati kuu CHADEMA imemuhoji Makamu Mwenyekiti na mjumbe wa Kamati Kuu ya chama hicho, Tundu Lissu kwa kuudanganya Umma kuwa haku kukubaliana na uamuzi wa kumwalika Rais Samia Suluhu Hassan kama mgeni rasmi katika maadhimisho ya Siku ya Wanawake Duniani yaliyofanyika tarehe 8 Machi mwaka 2023.

Wakati Mwaliko huo kutoka CHADEMA kwenda kwa Mheshimiwa Rais ulijadiliwa na Kamati Kuu ya CHADEMA na Lissu akiwa mjumbe alibariki ujio wa Samia kamati kuu.

Lissu ameulizwa na wana kamati Tarehe 6 Machi, 2023 wakati akihutubia kwenye mtandao wa Clubhouse alipongeza na kusifia kitendo cha BAWACHA kumualika Rais Samia Suluhu Hassan kama mgeni rasmi kwenye maadhimisho yao ya Siku ya Wanawake Dunian.

Katika mahojiano hayo Tundu Lissu alienda mbali kupongeza kitendo cha Rais Samia kukubali mualiko kwa kusema, “Sikumbuki ni lini mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi, ambae siku zote ni rais wa nchi, amewahi kushiriki katika shughuli rasmi ilioandaliwa na chama cha upinzani. Hasa chama kikuu cha upinzani. Wanakamati wanauliza je alikuwa amelewa..?

Tumewasilisha hapa Mawasiliano mbalimbali ya CHADEMA ambayo yamewekwa wazi yanaonyesha kuwa wajumbe pekee wa Kamati Kuu waliopinga rais kupewa mwaliko huo walikuwa John Heche na Godbless Lema.

Tundu Lissu alikuwa katika kundi la wanaokubaliana, ikiwa ni pamoja na Mwenyekiti wao Freeman Mbowe. Hivyo wajumbe wameshangaa leo hii Tundu Lissu akitoka hadharani na kudai ya kwamba hakuafiki uamuzi huo. (Ni Mnafiki)

Wajumbe wamehoji Rais Samia Suluhu Hassan alifanya ziara ya kikazi ambayo ilimpeleka hadi Brussels, Ubelgiji, ambapo wakati huo Tundu Lissu alikuwa akipatiwa matibabu zaidi na alifanya kikao na Tundu Lissu kwa ajili ya mazungumzo.

Kikao hicho kilikuwa cha faragha, lakini baada ya mazungumzo yao, Tundu Lissu aliingia kwenye mtandao wa kijamii Twitter na kuelezea mambo sita waliyozungumza na Rais Samia.

Kati ya hayo sita, viwili vilikuwa pamoja na Rais kuhakikisha kwamba Tundu Lissu anapata stahiki zake, kitu ambacho baadaye Tundu Lissu mwenyewe alikiri kilitendeka, pamoja na Rais kuhakikisha usalama wake pale atakaporejea nchini, jambo ambalo sote tumeona likitokea.

Wajumbe wamerejea historia Lengo ni kuweka rekodi sawa na kudhihirisha kwamba Rais Samia Suluhu Hassan hajawahi kuwa na migogoro binafsi na Tundu Lissu.

Tundu Lissu naye hakuwa na matatizo na Rais wakati ambapo rais alikuwa akijibu maombi yake mbalimbali. Hivyo, si ajabu kuona kwamba hadi mwaka jana, wakati CHADEMA ilipokuwa ikijadili kumwalika Rais, hawakuwa na shida yoyote kati yao.

Kilichotokea katikati ambapo Tundu Lissu alianza kumshambulia rais kibinafsi, Jambo ambalo limesemwa jana kuwa alinyimwa gari aina ya Nissan Y62 aliloliomba. (Chuki binafsi)

Tukirejea sasa swala la Tundu Lissu kudanganya umma na kudai kuwa hakuafiki Rais Samia Suluhu Hassan kualikwa kwenye sherehe zile, kwenye uongozi wa taasisi yoyote iwe ya serikali, chama au kampuni binafsi kuna kitu kinaitwa collective responsibility.

Maana ya collective responsibility ni kuwajibika kwa pamoja kwa maana ya kwamba jambo likisha jadiliwa na kukubaliwa kwenye vikao basi wote mnatoka na kauli moja inakuwaje Lissu atoke hadharani aseme hakubaliani walihoji baadhi ya wajumbe.

Uwajibikaji huu wa pamoja ndio sababu ambayo John Heche na Godbless Lema, ambao walikuwa wanapinga rais kualikwa, hawajawahi kutoka hadharani na kukosoa uamuzi huo.

Sasa pale ambapo Tundu Lissu, ambaye ni Makamu Mwenyekiti wa chama, Mwenyekiti wa Kamati ya Maadili ya chama, na mtu mwenye ndoto za kuwa rais wa nchi hii, haielewi maana ya uwajibikaji wa pamoja, inatia wasiwasi ni aina gani ya rais angekuwa kama angepata ushindi katika uchaguzi wa 2020.

Na utovu huu wa kinidhamu na kuto kuheshimu taasisi ambayo yeye ni kiongozi muandamizi sio tu kwenye swala la mualiko wa rais.

Wanakamati kwa kauli moja wamemtaka Lissu kuandika barua ndani ya masaa 72 ya kuomba radhi.
 
Jibu hoja za muungano na katiba mpya ambayo the state iliitaka tangu mwaka 2022 na Sasa hakuna chochote!!!

Badala ya serikali ya chama chetu kusimamia katiba mpya ipatikane !Inasimamia uchawa na ubadhirifu plus wizi ulioripitiwa na CAG!!

Lisu ajibiwe hoja zake tuache vioja!!!

Tunataka katiba mpya Ili Rais awe mtumishi was jamhuri na sio The Big Boss wa Jamhuri!!
 
Ila CHADEMA chama Cha ajabu sana, Sasa badala ya kujadili hoja za kuwasaidia wanaanza kugombania mapesa ya Abdul, Njoo tu CCM tujenge nchi kwa umoja
 
kwamba wanadhani kibaraka atawaacha salama ? lazima ahakikishe taasisi ile unasambaratika na kutokomea kabisa kwenye medani :BASED:
 
Ila CHADEMA chama Cha ajabu sana, Sasa badala ya kujadili hoja za kuwasaidia wanaanza kugombania mapesa ya Abdul, Njoo tu CCM tujenge nchi kwa umoja
Kenge haachi asili. Akiwa Nchi kavu mvua ikianza kunyesha atakimbilia majini.
 
Chadema wengi huwa hamna akili, badala mjibu hoja zake nyie mnakazi ya kufanya propaganda. Yale yale mambo ya Dr Slaa ndo mnayaleta huku.
 
Inatakiwa achukuliwe hatua za kinidhamu maana amekosa nidhamu wakati yeye ni kiongozi aliyepaswa kuwa mstari wa mbele kuwa na nidhamu ya mdomo hadi matendo.lakini yeye ndiye amekuwa mstari wa mbele kuonyesha Vitendo vya kukosa nidhamu na adabu kwa chama chake na viongozi wake pamoja na kumshambulia Rais wetu mpendwa na kipenzi cha Watanzania Daktari Mama Samia kwa maneno ya kibaguzi na chuki ,inayoonesha dhahiri kuwa anayo chuki binafsi na Mama yetu.

Lissu ni mtu ambaye hawezi na hapaswi kuwa kiongozi hata wa nyumba kumi tu.ni kiongozi ndani ya CHADEMA kutokana na uhaba wa viongozi ndani ya chama hicho,kwa kuwa wengi wa waliopo ni dizaini ile ile ya watu waliojaa mihemuko na jazba bila sababu. Ni aina ya Mdude Nyagali.

Ukiwa kiongozi unahitaji kuwa na hekima,busara na staha ya mdomo na kutambua wakati gani uzungumzwe na wakati gani ukae kimya.haipaswi kuwa na mdomo usio na breki na kuwa mtu mwenye mihemuko au kuropoka hovyo hovyo tu. Kiongozi ni lazima ufahamu wewe ni kioo cha wengi na mwenye athari kwa maneno yako.

Naweka kalamu chini na kuishia hapa na kusema kuwa Lissu hafai hafai hafai kabisa kuwa kiongozi wa ngazi ya juu ndani ya CHADEMA.kwa kuwa hana utulivu wala hekima.

Kama kuna mahali nimetumia maneno makali basi nisamehewe lakini lengo siyo baya wala dhamira yangu siyo kumdhalilisha bali kumsaidia ili abadilike.
 
H
Kamati kuu CHADEMA imemuhoji Makamu Mwenyekiti na mjumbe wa Kamati Kuu ya chama hicho, Tundu Lissu kwa kuudanganya Umma kuwa haku kukubaliana na uamuzi wa kumwalika Rais Samia Suluhu Hassan kama mgeni rasmi katika maadhimisho ya Siku ya Wanawake Duniani yaliyofanyika tarehe 8 Machi mwaka 2023.

Wakati Mwaliko huo kutoka CHADEMA kwenda kwa Mheshimiwa Rais ulijadiliwa na Kamati Kuu ya CHADEMA na Lissu akiwa mjumbe alibariki ujio wa Samia kamati kuu.

Lissu ameulizwa na wana kamati Tarehe 6 Machi, 2023 wakati akihutubia kwenye mtandao wa Clubhouse alipongeza na kusifia kitendo cha BAWACHA kumualika Rais Samia Suluhu Hassan kama mgeni rasmi kwenye maadhimisho yao ya Siku ya Wanawake Dunian.

Katika mahojiano hayo Tundu Lissu alienda mbali kupongeza kitendo cha Rais Samia kukubali mualiko kwa kusema, “Sikumbuki ni lini mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi, ambae siku zote ni rais wa nchi, amewahi kushiriki katika shughuli rasmi ilioandaliwa na chama cha upinzani. Hasa chama kikuu cha upinzani. Wanakamati wanauliza je alikuwa amelewa..?

Tumewasilisha hapa Mawasiliano mbalimbali ya CHADEMA ambayo yamewekwa wazi yanaonyesha kuwa wajumbe pekee wa Kamati Kuu waliopinga rais kupewa mwaliko huo walikuwa John Heche na Godbless Lema.

Tundu Lissu alikuwa katika kundi la wanaokubaliana, ikiwa ni pamoja na Mwenyekiti wao Freeman Mbowe. Hivyo wajumbe wameshangaa leo hii Tundu Lissu akitoka hadharani na kudai ya kwamba hakuafiki uamuzi huo. (Ni Mnafiki)

Wajumbe wamehoji Rais Samia Suluhu Hassan alifanya ziara ya kikazi ambayo ilimpeleka hadi Brussels, Ubelgiji, ambapo wakati huo Tundu Lissu alikuwa akipatiwa matibabu zaidi na alifanya kikao na Tundu Lissu kwa ajili ya mazungumzo.

Kikao hicho kilikuwa cha faragha, lakini baada ya mazungumzo yao, Tundu Lissu aliingia kwenye mtandao wa kijamii Twitter na kuelezea mambo sita waliyozungumza na Rais Samia.

Kati ya hayo sita, viwili vilikuwa pamoja na Rais kuhakikisha kwamba Tundu Lissu anapata stahiki zake, kitu ambacho baadaye Tundu Lissu mwenyewe alikiri kilitendeka, pamoja na Rais kuhakikisha usalama wake pale atakaporejea nchini, jambo ambalo sote tumeona likitokea.

Wajumbe wamerejea historia Lengo ni kuweka rekodi sawa na kudhihirisha kwamba Rais Samia Suluhu Hassan hajawahi kuwa na migogoro binafsi na Tundu Lissu.

Tundu Lissu naye hakuwa na matatizo na Rais wakati ambapo rais alikuwa akijibu maombi yake mbalimbali. Hivyo, si ajabu kuona kwamba hadi mwaka jana, wakati CHADEMA ilipokuwa ikijadili kumwalika Rais, hawakuwa na shida yoyote kati yao.

Kilichotokea katikati ambapo Tundu Lissu alianza kumshambulia rais kibinafsi, Jambo ambalo limesemwa jana kuwa alinyimwa gari aina ya Nissan Y62 aliloliomba. (Chuki binafsi)

Tukirejea sasa swala la Tundu Lissu kudanganya umma na kudai kuwa hakuafiki Rais Samia Suluhu Hassan kualikwa kwenye sherehe zile, kwenye uongozi wa taasisi yoyote iwe ya serikali, chama au kampuni binafsi kuna kitu kinaitwa collective responsibility.

Maana ya collective responsibility ni kuwajibika kwa pamoja kwa maana ya kwamba jambo likisha jadiliwa na kukubaliwa kwenye vikao basi wote mnatoka na kauli moja inakuwaje Lissu atoke hadharani aseme hakubaliani walihoji baadhi ya wajumbe.

Uwajibikaji huu wa pamoja ndio sababu ambayo John Heche na Godbless Lema, ambao walikuwa wanapinga rais kualikwa, hawajawahi kutoka hadharani na kukosoa uamuzi huo.

Sasa pale ambapo Tundu Lissu, ambaye ni Makamu Mwenyekiti wa chama, Mwenyekiti wa Kamati ya Maadili ya chama, na mtu mwenye ndoto za kuwa rais wa nchi hii, haielewi maana ya uwajibikaji wa pamoja, inatia wasiwasi ni aina gani ya rais angekuwa kama angepata ushindi katika uchaguzi wa 2020.

Na utovu huu wa kinidhamu na kuto kuheshimu taasisi ambayo yeye ni kiongozi muandamizi sio tu kwenye swala la mualiko wa rais.

Wanakamati kwa kauli moja wamemtaka Lissu kuandika barua ndani ya masaa 72 ya kuomba radhi.
Hayo uliyoandika ni maoni yako au ndiyo mahojiano aliyofanyiwa Lissu na kamati kuu?
 
Mtatunga Sana vistori vya kijiweni.
 
Wakipewa ruzuku, wanaishia kugombana wao kwa wao; wakinyimwa, watajifanya wanalitetea taifa kwa uzalendo wa hali ya juu.
 
Nitajie faida 3 tu za uongo ulizopata tangu uzaliwe
 
Stiff necked fool
 
Rubbish and stupid
 
Tetesi halafu unaweka gazeti!
 
Back
Top Bottom