Baada ya takriban miaka 6 na matusi na kelele za kila namna za GAME THEORY na zingine akazihamishia kule twitter, Facebook, na kwa jamaa wa Open Government Partnership hatimaye SALVA RWEYEMAMU, PREMI KIBANGA na kurugenzi nzima ya mawasiliano ikulu wamegive in na wameleta website mpya ya ikulu
tazameni website mpya ya ikulu yetu:
ikulu.go.tz
sasa kilichobaki ni kuichambua na kutazama kama kweli itakuwa updated na sasa pia ni nafasi nzuri kujua wanaomshauri rais ni akina nani na elimu zao
Zaidi ya hayo pongezi sana kwa JAMIIFORUMS na zaidi kwa GT
lakini mbona haina habari mpya au habari ya who is who mle kwenye kasri?
halafu mbona bado wanatumia e-mail ya YAHOO?