Pascal Mayalla
Platinum Member
- Sep 22, 2008
- 50,337
- 113,178
Mkuu J4M, ukisema unaperuzi ili kutafuta makosa, ina maanisha wewe ni "fault finder!, hilo ni tatizo la kisaikolojia bila wewe kujijua!.njoga niendelee kuperuzi kutafuta makosa
Niliwahi kusema, moja ya matatizo makubwa ya baadhi yetu ni kulalamika na kunung'unika!.
Hakuna ubaya wowote kuperuzi kwa lengo la kutoa crtique lakini kusema "kutafuta makosa" ni ukosefu wa shukrani!.
Nawaombeni sana, tuwe na shukrani katika madogo ili tuweze kupata na hayo makubwa!.
Kama website imepigiwa kelele wee hatimaye imepatikana, hebu na kwanza na tushukuru kwa uwepo tuu wa hiyo website, then ndipo tukosoe ubora.