Hahahaha! hata JK Dr, labda wa MitishambaDr. Jakaya mrisho kikwete kula kuku kwa mrija, ikulu unaingia tena bila tabu, achana na kelele za wafa maji.
He might need a proctologist at the end of the dayOngera rais wetu JK kwani watanzania 40,000,000 wako nyuma yako,hata Slaa anayajua hayo!
madokta wapo wengi sana,hadi manyau nyau nae dokta so fafanua anatibu nini au kasomea nini hadi kuwa dokta??
Mbona wote wamevaa kijani na njano????????????
Nadhani hawa wameenda tu kuwaridhisha waliowapa mashati, kanga na kofia. Wanajua watasitirika miili yao japo kidogo wakati wakiendeleza harakati za ukombozi.
Wamepokea, wamevaa, wameenda kwa mikutana kufurahisha walowapa mavazi, kura wanampa ataewapa uwezo wakununua mavazi kwa fedha zao wenyewe na si kusubiri uchaguzi. Watanzania hawadanganyiki tena ka kofia na kanga,watanzania wamebadilika na watanzania wanaendakuleta mabadiliko tar 31 October.
Tazama idadi ya watu pamoja na kugharimiwa kuwepo mahali hapo linganisha na wanaojitokeza na kumgharimia MWOKOZI kwenye kampeni zake utajua watanzania wa sasa wanamtazamo gani.
Yaani CCM wamefanya mabuzi. Wanachunwa wao anachangiwa Silaa...amakweli siku ya kufa nyani miti yote huteleza.