Elections 2010 Hongera dr, kura za wa-tz umepata.

ZLATAN

Senior Member
Oct 5, 2010
150
18
Dr. Jakaya mrisho kikwete kula kuku kwa mrija, ikulu unaingia tena bila tabu, achana na kelele za wafa maji.
 
Ongera rais wetu JK kwani watanzania 40,000,000 wako nyuma yako,hata Slaa anayajua hayo!
 
Mbona wote wamevaa kijani na njano????????????

Nadhani hawa wameenda tu kuwaridhisha waliowapa mashati, kanga na kofia. Wanajua watasitirika miili yao japo kidogo wakati wakiendeleza harakati za ukombozi.

Wamepokea, wamevaa, wameenda kwa mikutana kufurahisha walowapa mavazi, kura wanampa ataewapa uwezo wakununua mavazi kwa fedha zao wenyewe na si kusubiri uchaguzi. Watanzania hawadanganyiki tena ka kofia na kanga,watanzania wamebadilika na watanzania wanaendakuleta mabadiliko tar 31 October.
Tazama idadi ya watu pamoja na kugharimiwa kuwepo mahali hapo linganisha na wanaojitokeza na kumgharimia MWOKOZI kwenye kampeni zake utajua watanzania wa sasa wanamtazamo gani.

Yaani CCM wamefanya mabuzi. Wanachunwa wao anachangiwa Silaa...amakweli siku ya kufa nyani miti yote huteleza.
 
madokta wapo wengi sana,hadi manyau nyau nae dokta so fafanua anatibu nini au kasomea nini hadi kuwa dokta??
 
madokta wapo wengi sana,hadi manyau nyau nae dokta so fafanua anatibu nini au kasomea nini hadi kuwa dokta??

Swadakta! Huu udakta wa JK ni sawa ni ule wa manyau nyau.

Daktari wa kuchonga au wa kichina kama zilivyo simu za kichina.
 
Udaktari bila theses defense? Hizo milioni arobaini ni watz halali au mamluki? Kama ni halali basi ninahakika you are so much motivated by your emotions. Reason out mkuu, usiende kwa moyo tu ukasahau ubongo!
 
Mbona wote wamevaa kijani na njano????????????

Nadhani hawa wameenda tu kuwaridhisha waliowapa mashati, kanga na kofia. Wanajua watasitirika miili yao japo kidogo wakati wakiendeleza harakati za ukombozi.

Wamepokea, wamevaa, wameenda kwa mikutana kufurahisha walowapa mavazi, kura wanampa ataewapa uwezo wakununua mavazi kwa fedha zao wenyewe na si kusubiri uchaguzi. Watanzania hawadanganyiki tena ka kofia na kanga,watanzania wamebadilika na watanzania wanaendakuleta mabadiliko tar 31 October.
Tazama idadi ya watu pamoja na kugharimiwa kuwepo mahali hapo linganisha na wanaojitokeza na kumgharimia MWOKOZI kwenye kampeni zake utajua watanzania wa sasa wanamtazamo gani.

Yaani CCM wamefanya mabuzi. Wanachunwa wao anachangiwa Silaa...amakweli siku ya kufa nyani miti yote huteleza.

Wanapopewa Kofia na T-Shirt na buku mbili sharti ni kwamba lazima waende kwenye mkutano wa JK na usafiri pia upo. Wadanganyika itakula kwao tena for the next five years waaamke. Its time for change.
 
Ongera rais wetu JK kwani watanzania 40,000,000 wako nyuma yako

WAK0 NYUMA YAKE KI-VIPI???? UBADHIRIFU WA KODI ZETU AUFANYE YEYE - KWA KURUKA KWENDA NCHI ZA NJE KILA MARA; UPENDELEO WA KUMWINUA KIJANA WAKE RIDHWAN - BILA KUJALI VIJANA WENGINE WA KITANZANIA AUFANYE YEYE; MAHELA YA RICHMOND AYATUMIE YEYE;
KUONEA WATU NA KUWAFUNGA BILA MAKOSA (BABU SEYA) AFANYE YEYE - KUJICHANA YEYE NA FAMILIA YAKE (WAKATI WATANZANIA WANASHINDIA MLO MMOJA KWA SIKU) AJICHANE YEYE; MAVITANDA MAZURI YA NGUVU ALALIE YEYE NA FAMILIA YAKE (WAGONJWA WANALALA CHINI) - SEBULENI KWAKE AKALIE MASOFA YA NGUVU WAKATI (WATOTO WETU WANAKAA CHINI KUTWA NZIMA WAKITAFUTA ELIMU) - VING'ORA VYA KUPISHA APITE KWENYE FOLEN APIGIWE YEYE (WAKATI WATU WANAKAA KWENYE FOLENI MASAA) KIJIJINI HAKUPITIKI - KISA HATAKI KUTENGENEZA BARABARA - HALAFU ETI WATZ WAKO NYUMA YAKE - KI-VIPI - FAFANUA
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom