Hongera Dkt. Slaa, tumeuona ujasiri wako, asante kutushirikisha weledi na hekima yako

Bams

JF-Expert Member
Oct 19, 2010
16,559
41,077
Mtu yeyote anaweza kuserma lolote dhidi ya Dr. Slaa, lakini nina hakika, hakuna mwenye akili na utimamu wa akili anayeweza kuhoji super intelligence ya Dr. Slaa, ukweli wa nafsi yake, ujasiri na katika kusimamia anachokiamini. Siyo mtu wa kuyumba katika anachokiamini kuwa ni sahihi au siyo sahihi.

Ni ukweli wa sifa hizi, ndio uliomfanya kuonfoka CHADEMA licha ya kuwa alikuwa ametumia muda wake mwingi kuijenga CHADEMA. Dr. Slaa aliamini kuwa Lowasa alikuwa fisadi. Alilisema hilo wazi. Na hata CHADEMA walipoamua kumpokea Lowasa, yeye aliendelea kusimama katika alichokiamini.

Leo, Dr. Slaa, baada ya uchafu uliofanywa na Serikali na bunge batili kuhusiana na kuzigawa Bandari zote za Tanganyika kwa Mwarabu, ametoa kauli iliyonyoka, iliyo dhahiri na isiyopepesa. Amesema wazi kuwa:

1) Mkataba wa bandari ni mkataba batili kwa sababu unakiuka katiba.

2) Mbarawa na wenzake, wameuza nchi.

3) Hofu za watanganyika kuwa wazanzibari wanauza rasilimali za Tanganyika, ni hofu za halali.

4) Mauzo ya bandari za Tanganyika yalianza tangu mwakajana kwa siri, na kuna mikataba mingi imekwishasainiwa kabla ya huu wa mwisho uliopelekwa bungeni.

5) Mkataba huu wa hovyo wa bandari, umepelekwa bungeni kwa sababu unahusisha kubadilisha sheria za nchi ili matakwa ya mwarabu yaweze kutekelezeka.

6) Mwenye haki na rasilimali za nchi ni wananchi. Rais ni msimamizi tu, siyo mwenye mali.

7) Serikali inataja tu vile vifungu vizuri vya mkataba, haivitaji vile vifungu vibaya vinavyohatarisha sovereignity ya nchi.

8) Mkataba hauna muda, ni wa kudumu. Huku ni kuuza nchi.

9) Katiba UAE hairuhusu Dubai kuingia mikataba ya kimataifa, lakini kwenye hili, Dubai ambayo ni mji tu imesaini mkataba na nchi.

10) Bunge ni batili kwa sababu mle ndani kuna wabunge 28, akiwemo Waziri Mkuu, ambao mahakama ilikwishatamka kuwa ni wabunge batili, ambao wanatakiwa kurudisha hata mishahara waliyokwishalipwa.

11) Raia yeyote ana haki ya kufungua kesi dhidi ya Bunge na Serikali kwa kukiuka katiba kuhusiana na huu mkataba unaokiuka katiba na sheria za nchi.

12) Maelezo ya Mbarawa, kama yeye Dr. Slaa angekuwa mwalimu wa sheria wa Mbarawa, angempa 0%.
 
Nami naungana na Dr Slaa kulaani Wabunge kuridhia mkataba batili na kuiomba Tanganyika Law Society (TLS) kulichukua suala hili kwa uzito unaostahili ili makubaliano hayo yasiwe mkataba kisheria.

Yawezekana Rais ana dhamira njema, lakini, haiwezi kuhalalisha mkataba batili. Hivyo, hawezi kukwepa lawama anazotupiwa kuwa maamuzi yake hayo ni kwa sababu siyo wa Tanzania Bara.

Tusimamie ukweli tu, fitina hapana
 
Tumeiona dhamira hiyo njema kwenye mkataba huu

Hapa hakuna dhamila njema walichopitisha ndicho walichokusudia sio mara yao yakwanza kwahiyo wamezoea ndomana wanawafokea WENYENCHI"
 
we ni poyoyo tu katangulie kufungua kesi. mmejaa tu chuki na ubaguzi hakuna lingine. Mkataba ndio umeshapita sasa mkaamue la kufanya. Mbona kipindi cha Marehemu wenu mikataba ilikuwa haiendi hata bungeni? Nyau tu nyie hakuna mnaloweza kufanya
 
Nami naungana na Dr Slaa kulaani Wabunge kuridhia mkataba batili na kuiomba Tanganyika Law Society (TLS) kulichukua suala hili kwa uzito unaostahili ili makubaliano hayo yasiwe mkataba kisheria.

Yawezekana Rais ana dhamira njema, lakini, haiwezi kuhalalisha mkataba batili. Hivyo, hawezi kukwepa lawama anazotupiwa kuwa maamuzi yake hayo ni kwa sababu siyo wa Tanzania Bara.

Tusimamie ukweli tu, fitina hapana
Mkataba una ubatili gani? Tupe uthibitisho na ufafanuzi
 
Mtu yeyote anaweza kuserma lolote dhidi ya Dr. Slaa, lakini nina hakika, hakuna mwenye akili na utimamu wa akili anayeweza kuhoji super intelligence ya Dr. Slaa, ukweli wa nafsi yake, ujasiri na katika kusimamia anachokiamini. Siyo mtu wa kuyumba katika anachokiamini kuwa ni sahihi au siyo sahihi.

Ni ukweli wa sifa hizi, ndio uliomfanya kuonfoka CHADEMA licha ya kuwa alikuwa ametumia muda wake mwingi kuijenga CHADEMA. Dr. Slaa aliamini kuwa Lowasa alikuwa fisadi. Alilisema hilo wazi. Na hata CHADEMA walipoamua kumpokea Lowasa, yeye aliendelea kusimama katika alichokiamini.

Leo, Dr. Slaa, baada ya uchafu uliofanywa na Serikali na bunge batili kuhusiana na kuzigawa Bandari zote za Tanganyika kwa Mwarabu, ametoa kauli iliyonyoka, iliyo dhahiri na isiyopepesa. Amesema wazi kuwa:

1) Mkataba wa bandari ni mkataba batili kwa sababu unakiuka katiba.

2) Mbarawa na wenzake, wameuza nchi.

3) Hofu za watanganyika kuwa wazanzibari wanauza rasilimali za Tanganyika, ni hofu za halali.

4) Mauzo ya bandari za Tanganyika yalianza tangu mwakajana kwa siri, na kuna mikataba mingi imekwishasainiwa kabla ya huu wa mwisho uliopelekwa bungeni.

5) Mkataba huu wa hovyo wa bandari, umepelekwa bungeni kwa sababu unahusisha kubadilisha sheria za nchi ili matakwa ya mwarabu yaweze kutekelezeka.

6) Mwenye haki na rasilimali za nchi ni wananchi. Rais ni msimamizi tu, siyo mwenye mali.

7) Serikali inataja tu vile vifungu vizuri vya mkataba, haivitaji vile vifungu vibaya vinavyohatarisha sovereignity ya nchi.

8) Mkataba hauna muda, ni wa kudumu. Huku ni kuuza nchi.

9) Katiba UAE hairuhusu Dubai kuingia mikataba ya kimataifa, lakini kwenye hili, Dubai ambayo ni mji tu imesaini mkataba na nchi.

10) Bunge ni batili kwa sababu mle ndani kuna wabunge 28, akiwemo Waziri Mkuu, ambao mahakama ilikwishatamka kuwa ni wabunge batili, ambao wanatakiwa kurudisha hata mishahara waliyokwishalipwa.

11) Raia yeyote ana haki ya kufungua kesi dhidi ya Bunge na Serikali kwa kukiuka katiba kuhusiana na huu mkataba unaokiuka katiba na sheria za nchi.

12) Maelezo ya Mbarawa, kama yeye Dr. Slaa angekuwa mwalimu wa sheria wa Mbarawa, angempa 0%.
Ujasiri unaambatana na ustahimilivu, nidhamu, hekima na Busara ndani yake. Huu ujasiri wa madharau, matusi na kejeli kwa muhimili muhimu kabisa wa nchi mwisho wake ni kukataliwa kwa nguvu zote za kidola na kisiasa kuisogelea hata cm1 dollar ya Tz. Kwasabb hakuna bunge la mtu hili ni bunge la wa TZ wote hata kwa bahati mbaya akapata nafasi kuongoza Dola tayari amenajisi muhimili ambao atautumia kuishauri serikali, kutunga Sheria na kupitisha miswada na Sheria na Bajeti za Nchi, n.k. But kwanamna alivyoporomosha mikejeli, sijui ni kwasabb alitemwa ubalozi, si kiongozi anastahili kupewa nafasi tena
 
Nondo za Dr Slaa ni za kizalendo.

Baada ya facts hizi za Wazi, Samia akiendeleza kushupaza Shingo basi atakuwa ni Msaliti. Na tutamuita msaliti milele!.

Tutaandika vitabu na kumuita msaliti.

Tutawaambia watoto wetu kuwa ni msaliti.

Tutamuweka kundi moja na Sultan Mangungo wa Msovero.
 
Mtu yeyote anaweza kuserma lolote dhidi ya Dr. Slaa, lakini nina hakika, hakuna mwenye akili na utimamu wa akili anayeweza kuhoji super intelligence ya Dr. Slaa, ukweli wa nafsi yake, ujasiri na katika kusimamia anachokiamini. Siyo mtu wa kuyumba katika anachokiamini kuwa ni sahihi au siyo sahihi.

Ni ukweli wa sifa hizi, ndio uliomfanya kuonfoka CHADEMA licha ya kuwa alikuwa ametumia muda wake mwingi kuijenga CHADEMA. Dr. Slaa aliamini kuwa Lowasa alikuwa fisadi. Alilisema hilo wazi. Na hata CHADEMA walipoamua kumpokea Lowasa, yeye aliendelea kusimama katika alichokiamini.

Leo, Dr. Slaa, baada ya uchafu uliofanywa na Serikali na bunge batili kuhusiana na kuzigawa Bandari zote za Tanganyika kwa Mwarabu, ametoa kauli iliyonyoka, iliyo dhahiri na isiyopepesa. Amesema wazi kuwa:

1) Mkataba wa bandari ni mkataba batili kwa sababu unakiuka katiba.

2) Mbarawa na wenzake, wameuza nchi.

3) Hofu za watanganyika kuwa wazanzibari wanauza rasilimali za Tanganyika, ni hofu za halali.

4) Mauzo ya bandari za Tanganyika yalianza tangu mwakajana kwa siri, na kuna mikataba mingi imekwishasainiwa kabla ya huu wa mwisho uliopelekwa bungeni.

5) Mkataba huu wa hovyo wa bandari, umepelekwa bungeni kwa sababu unahusisha kubadilisha sheria za nchi ili matakwa ya mwarabu yaweze kutekelezeka.

6) Mwenye haki na rasilimali za nchi ni wananchi. Rais ni msimamizi tu, siyo mwenye mali.

7) Serikali inataja tu vile vifungu vizuri vya mkataba, haivitaji vile vifungu vibaya vinavyohatarisha sovereignity ya nchi.

8) Mkataba hauna muda, ni wa kudumu. Huku ni kuuza nchi.

9) Katiba UAE hairuhusu Dubai kuingia mikataba ya kimataifa, lakini kwenye hili, Dubai ambayo ni mji tu imesaini mkataba na nchi.

10) Bunge ni batili kwa sababu mle ndani kuna wabunge 28, akiwemo Waziri Mkuu, ambao mahakama ilikwishatamka kuwa ni wabunge batili, ambao wanatakiwa kurudisha hata mishahara waliyokwishalipwa.

11) Raia yeyote ana haki ya kufungua kesi dhidi ya Bunge na Serikali kwa kukiuka katiba kuhusiana na huu mkataba unaokiuka katiba na sheria za nchi.

12) Maelezo ya Mbarawa, kama yeye Dr. Slaa angekuwa mwalimu wa sheria wa Mbarawa, angempa 0%.
Soon ataomba msamaa
 
Nondo za Dr Slaa ni za kizalendo.

Baada ya facts hizi za Wazi, Samia akiendeleza kushupaza Shingo basi atakuwa ni Msaliti. Na tutamuita msaliti milele!.

Tutaandika vitabu na kumuita msaliti.

Tutawaambia watoto wetu kuwa ni msaliti.

Tutamuweka kundi moja na Sultan Mangungo wa Msovero.
Sasa mkuu, rais afanye nini Tena na doc's zimeshainiwa? Kama ukisoma miongoni mwa vipengere vya ule mkataba kimoja kinasema Tanzania haiwezi kuuvunja ule mkataba wala ku freese mali za mwekezaji hata kama mwekezaji atakuwa akipata hasara. Akivunja tu, Tanzania itawajibika kwa kulipa kiwango cha kuridhisha atakachoona mwekezaji kinafaa.
Hakika sijawahi ona mkataba wa hivyo kama huu, ambao vipengere tunaviona wazi kabisa kuwa vinamfevor mwekezaji kuliko nchi na bado tukasaini🙆
Poor government, poor my country😭😭
 
Ubovu wa huu mkataba hata mkiamua kujitoa kibabe, Jamaa wa DP world wanaenda mahakamani kuzuia mwekezaji mwingine yeyote kuingia mkataba na sisi. Umeona hii ndoa ya milele ilivyo?.
Mkuu mpaka roho inauma sana aisee. Sijui tufanyeje sasa😫
Ingekuwa Kenya kwa jirani hapo wananchi wangeshakinukisha mitaani, lakini kwetu hapa dah hakika tumelogwa😭
 
Back
Top Bottom