Poppy Hatonn
JF-Expert Member
- Apr 9, 2021
- 2,102
- 2,718
Tunasikia mambo yanayotokea Mwanza. Hawa watu wanataka tu nafasi ya kutoa maoni yao. Kwa vile hawana nguvu,hakuna mtu anayetaka kuwasikiliza.
Polisi wanatumia ukali sana kwa vile wanafikiria askari lazima awe mkali.
Lakini mimi namkumbuka Brigadier General Moses Nnauye alivyokuwa mpole sana.
Siyo matendo tu yanatazamwa katika hukumu. Watu pia wanauliza mtu alikuwa anawaza nini .
Dkt. Slaa anaposema "Nchi inaingizwa mkenge na huu mkataba wa bandari",huo ndio wakati wa kujiuliza,anaposema hivyo anawaza nini.
Labda Rais Samia au Prof. Mbarawa atasema,"Huu mkataba una faida sana kwa Watanzania." Watu lazima wajiulize anasema hivyo lakini anawaza nini. Anawaza"Hawa watu nawaambia mkataba huu una faida kwao,kwa nini wanashindwa kuelewa jambo dogo namna hii?". Au,anawaza nini.
Tazama Mahakamani utaona this pattern of speech,katika hukumu au katika mashitaka:"Wewe,bwana,ulisema unaweza kufanya hivi na hivi,huku ukijua kwamba ni uongo. Tunakutia hatiani."
Kwa hiyo,tunasema hatuoni sababu ya Dr.Slaa na wenzake,Utatu wa Dr. Slaa,Wakili Mwabukusi na Mdude Nyagali kutishiwa usalama wao.