BARD AI
JF-Expert Member
- Jul 24, 2018
- 3,376
- 8,120
"Mambo yote ya nchi yanaanzia kwenye Katiba, maji yanatoka kwenye Katiba, elimu inatoka kwenye Katiba , afya inatoka kwenye Katiba ,barabara inatoka kwenye Katiba chochote kinachofanywa na Serikali kinaongozwa na Katiba"
"Katiba ikiwa mbovu kila kitu kinakuwa kibovu ndiyo maana umeme hakuna na hakuna anayewajibishwa kwa mujibu wa Sheria na Katiba kesho Saa mbili asubuhi wananchi tuwe barabarani na mimi nitakuwa wa kwanza."-Dkt.Slaa.
Hayo yamesemwa na Dkt.Wilbroad Slaa mkoani Arusha katika maandalizi ya maandamano ya kesho.