Hongera Chadema Bungeni, hongera Kitila Mkumbo...

- Sawa sawa, nimesema mara nyingi sana kwamba Dr. Kitila na Mwanakijiji, wanatakiwa kuwa sura ya the future of Chadema, Viongozi wa sasa wa Chadema wanatakiwa kuanza kuwatayarisha hawa kushika usukani huko!

Willie @ NYC, USA.

Kwa mbali naanza kuuona msimamo wako, Hongera ila ipe nafasi nafsi yako utakuwa huru zaidi.

Natoa Pongezi kwa Dr Kitila na Chadema Team yote kwa ujumla wake, Good performance bungeni.
 
Leo kwa mara ya kwanza tangu bunge la bajeti lianze ndio nimeona kipindi kizima cha asubuhi ,Bukuku na mimi niwape pongezi wabunge wa

Chadema kweli wamebeba uzalendo,tunawategemea na kamwe wasituangushe wananchi
Hongera Kitilla Mkumbo kwa kupandishwa daraja hiyo inaonyesha jinsi unavyojali wajibu wako

Swala la Katiba nina uhakika mchana huu litajitokeza hata kwenye hotuba ya waziri mkuu kivuli itajitokeza tuu na nina imani dhana kubwa ya mabadiliko kwa Chadema ni kuhusisha Katiba
Kwa jinsi tunavyoteswa na ufukara na udhalirishwaji wa hali ya juu kunyimwa huduma muhimu kwa kweli sitaki hata kusikia neno CCM wala kuona kitu chochote kikikatisha mbele yangu chenye bendera ya kijani
 
Dr Mkumbo,the midfielder like xavi hernandez the player maker heshima kwako mkuu.Ur so strategic and so focused mwl wangu.
 
- Sawa sawa, nimesema mara nyingi sana kwamba Dr. Kitila na Mwanakijiji, wanatakiwa kuwa sura ya the future of Chadema, Viongozi wa sasa wa Chadema wanatakiwa kuanza kuwatayarisha hawa kushika usukani huko!Willie @ NYC, USA.
hata wewe tunakuhitaji chadema. By the way, mzee cigwi... anaendeleaje
 
Swadakhta!

Kelele za katiba ya watu na zipae juu juu juu zaidi,
Sii kwa CDM wala CCM wala mimi pekee,
Huu ni wakhti muafa kudai kilicho chetu,
Katiba katiba katiba,
Huu na uwe wimbo wetu kila kukicha,
Iwe kilio chetu kila tulalapo,

Katiba katiba katiba

Naam,

Na Inshallah mwenyezi Mungu na atasikia kilio chetu,
Muumba atakuwa upande wetu,

Tutashinda!

Wakati ni SASA!
 
- Sawa sawa, nimesema mara nyingi sana kwamba Dr. Kitila na Mwanakijiji, wanatakiwa kuwa sura ya the future of Chadema, Viongozi wa sasa wa Chadema wanatakiwa kuanza kuwatayarisha hawa kushika usukani huko!

Willie @ NYC, USA.

Lakini si kila mtu lazima awe kiongozi ili kuendeleza chama, watu wengine michango yao kama wanachama ni muhimu zaidi kuliko wakiwa viongozi.
 
Slaa nadhani ingekuwa muda mzuri kuendeleza ule moto wa katiba, your voice together with your MPs' voice-kule bungeni italeta kitu fulani kizuri..uko kimya kunani??

Mkuu nakubaliana nawe kwa yote isipokuwa juu ya ukimya wa Dr Slaa. Nimemsikiliza last week kwenye Hamza Kasongo Hour inayoruswa na Chanel 10 akichambua vitabu vitatu vya budget, na watu kumuuliza maswali live kwa kupiga simu. Ungemsikia ungejua kuwa kile kichwa ni balaa! I am sure kuna indirect contribution kubwa kwa vijana wake pale bungeni.

Kuhusu katiba nakubaliana nawe kuna haja ya kuendelea kuipigia kelele lakini hili sidhani kama Dr Slaa ndiye anatakiwa kulipigia kelele nadhani katika hili sote tunawajibika ili isije ikaonekana CDM wanateka hoja kulinda maslahi yao. nina uhakika ccm wanataka kutupotezea ili isiwezekane before 2015
 
- Sawa sawa, nimesema mara nyingi sana kwamba Dr. Kitila na Mwanakijiji, wanatakiwa kuwa sura ya the future of Chadema, Viongozi wa sasa wa Chadema wanatakiwa kuanza kuwatayarisha hawa kushika usukani huko!Willie @ NYC, USA.
Willie, njoo nyumbani. Muda huu tunahitaji physical approaches zaidi kama afanyavyo mkumbo ili kuijenga nchi yetu. Well, mabandiko yako na MMK yana mchango mkubwa lakini lazima sasa tuwe na safu mahili ili tu draw the bottom line kuelekea mapinduzi ya kweli ktk usawa kwa wananchi wote. Be a man!
 
Nilipomsikia kwa mara ya kwanza K mkumbo niliona ushujaa ndani yake anastahili pongezi bado tunahitaji wasomi wengi zaidi kitila ni kiungo mzuri ktk hili
 
Nkulumba naona hapa umepigilia kabisa, I like this statement as it is the same to me.

Nyie wasokile mna kila sababu ya kuichukia CCM; huyu mkwele akiona majina yenu tu anapata kichefuchefu na ndio maana kabila lenu mmepigwa chini kweneye appoimtments zake!!
 
Nyie wasokile mna kila sababu ya kuichukia CCM; huyu mkwele akiona majina yenu tu anapata kichefuchefu na ndio maana kabila lenu mmepigwa chini kweneye appoimtments zake!!
hahaha wewe jamaa likabila na hicho ndo kinaiua ccm
 
Kwa mbali naanza kuuona msimamo wako, Hongera ila ipe nafasi nafsi yako utakuwa huru zaidi.Natoa Pongezi kwa Dr Kitila na Chadema Team yote kwa ujumla wake, Good performance bungeni.
Wiliam Malecela ANAELEKEA KUJA HUKU UPINZANI KWETU! karibu mkuu, kweli chadema they are doing fine. Bravo kwa chama makini!
 
Kwa mbali naanza kuuona msimamo wako, Hongera ila ipe nafasi nafsi yako utakuwa huru zaidi.

Natoa Pongezi kwa Dr Kitila na Chadema Team yote kwa ujumla wake, Good performance bungeni.

- Mkuu heshima yako sana, ninamfahamu Dr. Kitila toka tukiwa BCS akijiita Mwanasiasa, na nimeona transformation yake politically, toka mchangiaji wa kawaida sana to now mchangiaji heavyweight wa siasa za taifa, I respect his views, na tuna share one important skill ya No Fear! Lakini I respect his political Views, alitakiwa kuwa kwenye the mix sasa sio Kufundisha shuleni!

- Kuhusu msimamo wangu ni kwamba kuna one time kwenye maisha niliwahi kuishi Shanghai, China; Wachina walinifundisha one life principle, ya kujitahidi in life kutojulikana kwa urahisi msimamo wako na binadam wengine, infact walinifundisha kwamba ni muhimu the first appearance yako kwa wengine ikawa ni mjinga, by the time wameshituka kwamba sio mjinga kama walivyokuwa wanafikiri umeshajifunza mengi sana on their weaknesses na strength!

- Otherwise, Msimamo wangu siku zote ni Taifa Kwanza, mengine baadaye!

Willie @ NYC, USA.
 
Lakini si kila mtu lazima awe kiongozi ili kuendeleza chama, watu wengine michango yao kama wanachama ni muhimu zaidi kuliko wakiwa viongozi.

- Ni muhimu sana Tanzania tukawa na system ya kuwatambua viongozi wa kesho, mkuu huku US kila mwaka inatolewa list ya watu 50, ambao the system kwa kutumia research za independent NGOS, wanaaminika kwamba one day watakua marais wa hili taifa, utashangaa kwamba GW Bush na Clinton walikuwemo kwenye list toka miaka 40 iliyopita, Kitila na Mwanakijiji ni Viongozi sio your average wachangiaji kwenye chama na cha muhimu sana katika siasa za kisasa ni their age!

- So kwa maoni yangu ni muhimu sana wakaingizwa sasa!

Willie @ NYC, USA.
 
Willie,nani atawafundisha watanzania bro....hao wataalamu na walimu wanabanana BUNGENI....wengine ndio mnaijenga AMERIKA.....mkumbo amenifundisha mimi mtoto wa mkulima....wacha atoe elim kwa maskini bwanaaaa
- Thaanks mkuu kwenye siasa hatusemi Never, Mzee he is doing very fine habari za ishu nzima ya afya yake haikuwekwa sawa, ninafikiria kui-address hiyo ishu kwa ufasaha kidogo soon, thaanks mkuu!Willie @ NYC, USA.
 
Willie, njoo nyumbani. Muda huu tunahitaji physical approaches zaidi kama afanyavyo mkumbo ili kuijenga nchi yetu. Well, mabandiko yako na MMK yana mchango mkubwa lakini lazima sasa tuwe na safu mahili ili tu draw the bottom line kuelekea mapinduzi ya kweli ktk usawa kwa wananchi wote. Be a man!

- Sawa sawa mkuu, nimekusikia sana tuombe Mungu lakini so far tupo pamoja sana!

Willie @ NYC, USA.
 
Back
Top Bottom