Duh, mkuu wangu sikujukua kama wewe mgumu kiasi hicho lakini bado nitakwenda nawe kibaharia maanake tunatoka ktk mada yenyewe na hasa maswala ambyo nimeyaweka mwanzani..
Kuhusiana na kodi mbona watumishi wa serikali hulipa kodi miaka yote toka wakati wa Nyerere au una maana ya kodi za posho kwa sababu hilo swala lipo ktk chama kabla hata halijazungumziwa bungeni..Sijui ni kodi zipi unazoongelea hata hivyo mimi siko ktk mawazo yako au mapendekezo yako ila pale unapowahusisha watu wengine wanasema hivi ama vile kuhusiana na Chadema.
Na unapozungumzia hawa kina Lissu, Zitto na wengineo mkuu hawa ni watendaji wazuri wa kazi za chama lakini sio viongozi wazuri wa kiitikadi. Hatuwezi kuchukua ushauri wako kuwaweka watumishi wazuri kuwa viongozi wa kisiasa..Labda nirudie kusema hivi Mbowe na Dr.Slaa ni Wanasiasa na pengine Mbowe mzuri zaidi ya dr.Slaa ktk uongozi wa chama kwa sababu He is a born Politician, but again Dr.Slaa will make a better President!.
Lakini Zitto na Lissu hawa ni wabunge wetu, kusema kweli ni watu wanaolazimisha Siasa kwa kutumia zaidi elimu zao kufikisha ujumbe na kuhalalisha policies kwa ajili ya wananchi regardless...Na ndio maana Zitto wakati mwingi sana amekuwa akitoa maamuzi kinyume cha mtazamo wa chama (mrengo) au wanachama kwa kutumia elimu ya chuo. And correct me If I'm wrong Zitto ni kama mimi he is a conservative kama wale wazee wa CCM Asilia kina Butiku, Simba, Warioba, Sitta, Mwapachu, Sykes ambao walileta siasa za Uzawa na Uasilia.
Na ktk kumsoma hata Lissu nimegundua pia siasa anazilazimisha ingawa ni mwanasheria mzuri sana na yupo radhi kuitoa nafsi yake ktk kuetetea haki za wananchi regarless..Fikra kama hizi hazina mrengo wala itikadi na sio vizuri sana kuwapa mamlaka ya kichama wakati unawahitaji watu kama hawa ktk serikali kuu kwa hiyo kuwepo kwao ktk madaraka ya juu ya CDM kunaweza kuleta madhara kama ya CCM ambao leo hii wamekosa kabisa mwelekeo. Ni wao wanaunga mkono Ujamaa na Kujitegemea na wao pia ndio wapinzani wakuu wa Ujamaa na Kujitegemea!
Kuhusu ushindi wa Dr.Slaa bila shaka nilitegemea jibu hilo kutoka kwa mwana CCM kwaniu hakuna hata mmoja anayeweza kukubali kirahisi kwa sababu mfumo mzima ulijengwa na CCM ili kupokonya ushindi. sasa nikwambie kuhusu Wabunge na ushindi wake.
CUF ina wabunge nadhani karibu 23 ambao wanawakilisha wananchi wapatao chini ya millioni moja na Chadema kwa jimbo moja la Isamilo wana mbunge mmoja anayewakilisha hesabu zaidi ya population nzima ya wabunge wa CUF. Je ndio kusema maadam CUF ina wabunge 23 imepata ushindi mkubwa kuliko mgombea wa Isamilo kama ingekuwa tunahesabu kura zilizopigwa?.
Kwa hiyo kama utakubaliana na mfano wangu hapo juu ndicho nachozungumzia kuhusu Ushindi wa Dr.Slaa ambaye alichukua majimbo yote yenye hesabu kubwa ya wakazi isipokuwa Dar ktk wilaya za Kinondoni na Ilala. Na ushindi umetokana na ile dhana kwamba wapiga kura wengi wako vijijini lakini Chadema ilijikita mijini baada ya kutazama wingi wa population na wapiga kura hivyo kwa ujumla wake ktk kila wilaya walizoshinda zina population kubwa na hata waliposhindwa bado walipata kura nyingi sana za kiti cha Urais. Kifupi JK mijini alikwisha chokwa na anaendelea kuchokwa.
Sheria haziwezi kuzuia chama chochote kuanza kampeni za uchaguzi lakini sio kumnadi mgombea. Utaonekana mwendawazimu na nimetoa mfano wa US kwa sababu ni wakati wa kunadi wagombea ndani ya Republican hivyo wewe ulichotaka ni kwamba wakati CCM, CUF na TLP wanawanadi wagombea wake basi Chadema nayo ingefanya hivyo lakini tazama matokeo ya CUF na TLP - Lipumba alibakizwa Pumba na Mrema akaremea hadi akili.
Na kama unakumbuka CCM waliendeleza sana habari za Ukabila na kumpaka Mbowe na madeni ya NSSF, upinzani na Zitto na kadhalika wakifikiria ndiye mgombea na hakika watu wengi walikichoka chama lakini alipotokea dr.Slaa kuwa mgombea nyanga ziliwashuka. Na CCM hawakupata muda wa kumfitinisha kwani tayari muda wa kuendesha kampeni za uchaguzi zilipoanza..
Labda niseme tu silaha kubwa ya JK ni pale alipokataa kongamano na Dr.Slaa pia jinsi CCM walivyotumia mbinu za kuzuia vyombo vya habari kuwanadi CDM. Hizi ndio sababu kubwa sana zilizomkata makali dr.Slaa lakini sii kujitokeza kwake mapema kungesaidia kitu zaidi ya kuwasaidia CCM kuanzisha hizi siasa za majitaka na Udini mapema zaidi. Na sidhani kama ushauri wako wakuvunja sheria unaweza kuwasaidia CDM ikiwa CCM ndilo wanalolitafuta toka CDM kuwafungia au kuwaondosha wananchi imani. Sielewi kwa nini unataka CDM iwape CCM sababu za kukiua chama tena basi leo hii wajitangaze wao mgombea wakati swala la kuwaelimisha wananchihaki zao ni kubwa na lenye malengo mazuri zaidi kwa chama kuliko kumjenga mgombea mmoja..
Kifupi Ushauri wako mzuri tu kama unataka CDM wasiweze kushinda mwaka 2015, hajifichi mtu inajulikana ni lazima CDM watamsimamisha mgombea na wanachama ndio wenye uwezo wa kufanya uteuzi huo hatuwezi kusikiliza majungu ya watu..