Hongera Bi. Elsie Kanza, mshauri wa Uchumi wa Rais Kikwete!

Elsie S. Kanza was appointed to the Presidency in March 2006, as Personal Assistant to
H.E. Jakaya Mrisho Kikwete, President of the United Republic of Tanzania responsible
for Economic Affairs.
Prior to that, she worked with the Ministry of Finance from 2002 to 2006 on secondment
from the (central) Bank of Tanzania. At the Ministry, Elsie served as Personal Assistant
to the Permanent Secretary to the Treasury (2004 – 2006), Acting Commissioner for Debt
Policy and Principal Policy Analyst for Finance and Capital Markets (2002 – 2004).
While at the Ministry she was instrumental in the successful preparation of Tanzania's
proposal for eligibility for USA's Millennium Challenge Account assistance,
development of government credit guarantee schemes, establishing frameworks to
facilitate private sector lending in the mortgage finance sector, and concluding HIPC debt
cancellations with 16 countries.
From 1997 to 2002 Elsie worked with the Bank of Tanzania as a Financial Market
Analyst and as a Money Market Dealer in the Directorate of Financial Markets. Elsie was
instrumental in the computerization of the Government Securities auction system, as well
as introducing Government Treasury Bonds and Repurchase Agreements.
Elsie holds a BSc (cum laude) in International Business Administration from the United
States International University – Africa, an MSc in Finance from the University of
Strathclyde and an MA in Development Economics from Williams College. She is also
an Archbishop Desmond Tutu Leadership Fellow (2008), an Honorary Committee
Member of the 1x1microcredit.org, and is a Member of the World Economic Forum's
Regional Agenda Council on Africa for 2010-11.

nanusa kama kuna ka EPA kwenye hizo RED
huyo anajua deal nyingi JK kamuweka karibu hana uzoefu wa kutosha bana
 
Tunataka kuona output ya kazi zake kama shilingi kila siku inaporomoka na uchumi unashuka na mfumuko wa bei ndio balaa, basi utendaji wake una walakini nafikiri hata nafasi si mahala pake bora wampeleke ubunge wa kuteuliwa akapige meza bungeni na kusema ndiyo
 
The President of the United Republic of Tanzania, His Excellency Jakaya Mrisho Kikwete has congratulated his Personal Assistant for Economic Affairs, Miss Elsie Kanza (pictured), on her appointment to the position of Head of Africa at the prestigious Institution – The World Economic Forum. Her appointment takes place effective Monday, August 8, 2011.

In his statement, today, Friday, August 12, 2011, the President has thanked Miss Kanza for the “wonderful service” she rendered to the nation in the six years she served as the Personal Assistant to the President on Economic Affairs since March, 2006.

The president appreciates her intellect, knowledge and above all commitment and dedication to work and has no doubt in his mind that Miss Kanza will raise to the challenges of her new responsibilities and she will excel.

The President believes that her appointment is, indeed, an honour for Tanzania and on return she will have gained new horizons of experience which will be useful for the country. The President wishes her success and best of luck in her new responsibilities.

The President appreciates her intellect, knowledge and above all her commitment and dedication to work. The President has no doubt in his mind that Miss Kanza will rise to the challenges of her new responsibilities and excel. It is indeed, an honour for Tanzania and the President believes that on return she will have gained new horizons of experience which will be useful for the country. The President wishes her success and best of luck in her new responsibilities.

Released by:
Directorate of Presidential Communications,
State House,
DAR ES SALAAM.
12th August, 2011
 
hii ni chakula ya mzee
kama tunasubiria any good to the economy tumeliwa
hayo maforum ni kama hapa JF tu hakuna la maana
shillingi imemalizwa na huyu mlimbende wa mkuu
toka hiyo 2006 alipoteuliwa mpaka sasa hali inazidi kuwa mbaya tu kwenye shillingi
 
The President of the United Republic of Tanzania, His Excellency Jakaya Mrisho Kikwete has congratulated his Personal Assistant for Economic Affairs, Miss Elsie Kanza (pictured), on her appointment to the position of Head of Africa at the prestigious Institution – The World Economic Forum. Her appointment takes place effective Monday, August 8, 2011.

In his statement, today, Friday, August 12, 2011, the President has thanked Miss Kanza for the "wonderful service" she rendered to the nation in the six years she served as the Personal Assistant to the President on Economic Affairs since March, 2006.

The president appreciates her intellect, knowledge and above all commitment and dedication to work and has no doubt in his mind that Miss Kanza will raise to the challenges of her new responsibilities and she will excel.

The President believes that her appointment is, indeed, an honour for Tanzania and on return she will have gained new horizons of experience which will be useful for the country. The President wishes her success and best of luck in her new responsibilities.

The President appreciates her intellect, knowledge and above all her commitment and dedication to work. The President has no doubt in his mind that Miss Kanza will rise to the challenges of her new responsibilities and excel. It is indeed, an honour for Tanzania and the President believes that on return she will have gained new horizons of experience which will be useful for the country. The President wishes her success and best of luck in her new responsibilities.

Released by:
Directorate of Presidential Communications,
State House,
DAR ES SALAAM.
12th August, 2011
hiyo RED ni michezo ya siasa za jk tumuone anaweza, hiyo ilikuwa ni tafasi ya mtanzania yeyote kama ilivyokuwa kwa ASHA MIGIRO
tunataka matokeo sio porojo
 
jamani wana jf tafadhali mwenye CV ya Bibi Elsie Kanza, Mshauri wa Uchumi wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Jakaya Mrisho Kikwete, atuwekee hapa au kama unamfahamu vizuri please tell us tujue.
 
Kitendo tuu cha kuwa mshauri wa raisi kuhusu uchumi kinamfanya awe na mengi ya kujibu kulingana na hali ya uchumi ya sasa, competence and credits given notwithstanding
 
Bibi Elsie Kanza, Mshauri wa Uchumi wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Jakaya Mrisho Kikwete amechaguliwa na Taasisi ya World Economic Forum (WEF) kuingia katika kundi dogo la heshima la vijana waliothibitisha vipaji vya uongozi la Viongozi Vijana Duniani (Young Global Leader- YGL)) kwa mwaka huu wa 2011.

Bibi Kanza ni mmoja wa kinamama wawili Watanzania vijana waliotangazwa na WEF mjini Geneva, Uswisi, leo, Jumatano, Machi 9, 2011, kujiunga na kundi la YGL ambalo linashirikisha Waafrika 14 miongoni mwa vijana 190 waliochaguliwa kutoka nchi 65 duniani kujiunga na kundi la vijana la Young Global Leaders kwa mwaka huu wa 2011.

Mtanzania mwingine aliyechaguliwa ni Susan Mashibe, Mkurugenzi Mtendaji wa makampuni mawili – TanJet na Kilimanjaro Aviation Loegistic Centre - ambayo yanashughulika na usafiri wa anga.

Mabibi Kanza na Mashibe wamechaguliwa kutoka miongoni mwa viongozi vijana 5,000 waliopendekezwa kutoka duniani pote na hatimaye kuchaguliwa kwenye mchujo mkali na Kamati Maalum chini ya uenyekiti wa Malikia Rania Al Abdullah wa Ufalme wa Hashemite wa Jordan.

YGL wa mwaka huu wanajiunga katika kundi la viongozi vijana wengine 668 walioteuliwa miaka ya nyuma, na miongoni mwao yumo aliyekuwa Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Bwana Lawrence Masha.

Kila mwaka WEF hutoa heshima hiyo ya YGL ili kutambua vipaji vya uongozi vya vijana kutoka pote duniani kwa mchango wao katika uongozi, mafanikio ya kitaaluma ana ari yao ya kuleta mabadiliko katika jamii na huchaguliwa kutoka nyanja zote za maisha ikiwemo biashara, serikali, vyuo vikuu, habari na mawasiliano, taasisi zisizokuwa za kiserikali, utamaduni na sanaa.

Bibi Kanza aliteuliwa kuwa Mshauri wa Uchumi wa Rais Kikwete tokea Machi mwaka 2006. Kabla ya hapo alifanya kazi katika Wizara ya Fedha (2002-2006) na Benki Kuu ya Tanzania (1997-2002).

Anayo Shahada ya BSc katika Uongozi wa Biashara za Kimataifa kutoka United States International University-Africa (USIA-A), Shahada ya Uzamili ya MSc katika Fedha kutoka Chuo Kikuu cha Strathclyde cha Uingereza na Shahada nyingine ya Uzamili katika Uchumi wa Maendeleo kutoka Williams College, Marekani.

Bibi Kanza ndiye alikuwa Mratibu wa Taifa wa Mkutano wa WEF-Afrika uliofanyika kwa mafanikio makubwa mjini Dar es Salaam Mei, mwaka jana, 2010 na pia ametunukiwa Tuzo la Uongozi la Askofu Mkuu Desmond Tutu wa Afrika Kusini.

Wengine waliojiunga na YGL mwaka huu ni pamoja na Makamu wa Rais (Uhandisi) wa Kampuni ya Google kutoka Ukraine, mwanahewa mmoja kutoka Japan, mtangazaji mmoja wa habari wa televisheni ya CNN, mwandishi mmoja wa habari kutoka Nigeria, msanii wa filamu kutoka China, Meya wa Jiji la Calgary, Canada.

Imetolewa na:

Kurugenzi ya Mawasiliano ya Rais,
Ikulu
DAR ES SALAAM.
Nampa Hongera kwa kupewa shavu!Ila Kiukweli kwa CV Hii hakustahili kuwa mshauri wa rais kwa eneo lolote!
kwa nchi masikini mshauri wa rais anatakiwa awe ni mtu aliebobea kiutafiti na elimu ya kutosha ktk eneo analoshauri rais,vinginevo angekuwa ni mtumishi ktk ofisi ya mshauri wa rais!kwa mtindo huu uchumi wetu haupai ng'o
 
Kwani Mkuu Wa Nchi si "Mchumi" naye vilevile kutoka UDSM? Jee, kulikoni hudadisi uelewa wake wa "microeconomics", "macroeconomics", "econometrics", "Policy Formulation", "Quantitative Analysis", "Financial Theory", "Financial Engineering", and what not?
ujue watu wanaropoka na kumwona kikwete hajui lolote kuhusu uchumi...kuna mtu aliniambia eti"raisi wetu ni mtu asiejua uchumi ,kasoma sana siasa ndio maana"sasa nikaona watu hawajui vizuri.kikwete ni mchumi mzuri tu.tatizo ni uwajibikaji wa viongozi wanaoteuliwa ,sasa hapo tunakuja kuona kote kumeharibika na ubovu wa kutowajibika ipasavyo. ..
huyu dada yupo powa sana ndio maana kaingia kwenye GYL bwana.
 
Nampa Hongera kwa kupewa shavu!Ila Kiukweli kwa CV Hii hakustahili kuwa mshauri wa rais kwa eneo lolote!
kwa nchi masikini mshauri wa rais anatakiwa awe ni mtu aliebobea kiutafiti na elimu ya kutosha ktk eneo analoshauri rais,vinginevo angekuwa ni mtumishi ktk ofisi ya mshauri wa rais!kwa mtindo huu uchumi wetu haupai ng'o
lakini mi nazani tatizo si elimu aliyonayo.MBONA KUNAWATU HAWANA PHD LAKINI NI WATENDAJI BORA KULIKO HATA MA PROFESA AMBAO WENGI WAO WANAKUWA NI WAONGEAJI TU NA POROJO ZA KULA MPUNGA MREFU TU.
 
nampa hongera kwa kupewa shavu!ila kiukweli kwa cv hii hakustahili kuwa mshauri wa rais kwa eneo lolote!
Kwa nchi masikini mshauri wa rais anatakiwa awe ni mtu aliebobea kiutafiti na elimu ya kutosha ktk eneo analoshauri rais,vinginevo angekuwa ni mtumishi ktk ofisi ya mshauri wa rais!kwa mtindo huu uchumi wetu haupai ng'o
sizani hata kama john maynard keynes alikuwa ni profesa.ni ubobeaji wa mambo tu na uzoefu,mbona ana masters ya uchumi...uongozi na competency ni zaidi ya cv
 
Bibi Elsie Kanza, Mshauri wa Uchumi wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Jakaya Mrisho Kikwete amechaguliwa na Taasisi ya World Economic Forum (WEF) kuingia katika kundi dogo la heshima la vijana waliothibitisha vipaji vya uongozi la Viongozi Vijana Duniani (Young Global Leader- YGL)) kwa mwaka huu wa 2011.

Bibi Kanza ni mmoja wa kinamama wawili Watanzania vijana waliotangazwa na WEF mjini Geneva, Uswisi, leo, Jumatano, Machi 9, 2011, kujiunga na kundi la YGL ambalo linashirikisha Waafrika 14 miongoni mwa vijana 190 waliochaguliwa kutoka nchi 65 duniani kujiunga na kundi la vijana la Young Global Leaders kwa mwaka huu wa 2011.

Mtanzania mwingine aliyechaguliwa ni Susan Mashibe, Mkurugenzi Mtendaji wa makampuni mawili – TanJet na Kilimanjaro Aviation Loegistic Centre - ambayo yanashughulika na usafiri wa anga.

Mabibi Kanza na Mashibe wamechaguliwa kutoka miongoni mwa viongozi vijana 5,000 waliopendekezwa kutoka duniani pote na hatimaye kuchaguliwa kwenye mchujo mkali na Kamati Maalum chini ya uenyekiti wa Malikia Rania Al Abdullah wa Ufalme wa Hashemite wa Jordan.

YGL wa mwaka huu wanajiunga katika kundi la viongozi vijana wengine 668 walioteuliwa miaka ya nyuma, na miongoni mwao yumo aliyekuwa Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Bwana Lawrence Masha.

Kila mwaka WEF hutoa heshima hiyo ya YGL ili kutambua vipaji vya uongozi vya vijana kutoka pote duniani kwa mchango wao katika uongozi, mafanikio ya kitaaluma ana ari yao ya kuleta mabadiliko katika jamii na huchaguliwa kutoka nyanja zote za maisha ikiwemo biashara, serikali, vyuo vikuu, habari na mawasiliano, taasisi zisizokuwa za kiserikali, utamaduni na sanaa.

Bibi Kanza aliteuliwa kuwa Mshauri wa Uchumi wa Rais Kikwete tokea Machi mwaka 2006. Kabla ya hapo alifanya kazi katika Wizara ya Fedha (2002-2006) na Benki Kuu ya Tanzania (1997-2002).

Anayo Shahada ya BSc katika Uongozi wa Biashara za Kimataifa kutoka United States International University-Africa (USIA-A), Shahada ya Uzamili ya MSc katika Fedha kutoka Chuo Kikuu cha Strathclyde cha Uingereza na Shahada nyingine ya Uzamili katika Uchumi wa Maendeleo kutoka Williams College, Marekani.

Bibi Kanza ndiye alikuwa Mratibu wa Taifa wa Mkutano wa WEF-Afrika uliofanyika kwa mafanikio makubwa mjini Dar es Salaam Mei, mwaka jana, 2010 na pia ametunukiwa Tuzo la Uongozi la Askofu Mkuu Desmond Tutu wa Afrika Kusini.

Wengine waliojiunga na YGL mwaka huu ni pamoja na Makamu wa Rais (Uhandisi) wa Kampuni ya Google kutoka Ukraine, mwanahewa mmoja kutoka Japan, mtangazaji mmoja wa habari wa televisheni ya CNN, mwandishi mmoja wa habari kutoka Nigeria, msanii wa filamu kutoka China, Meya wa Jiji la Calgary, Canada.

Imetolewa na:

Kurugenzi ya Mawasiliano ya Rais,
Ikulu
DAR ES SALAAM.

Katika Kiswahili hatusemi tuzo la bali ni tuzo ya weee Kurugenzi!
 
Nisaidieni kama nakosea. Mbona siku hizi Waserikali wanashabikia kutangaza hata vijituzo vidogo vinavyotolewa ili mradi nje ya nchi? Mimi nasoma hilo kuwa serikali imeishiwa na inataka 'kusadikika' kwa njia yeyote ile. Mara JK kapewa hiki, mara huyu wa serikali kapewa kile......Kwanza lazima ifahamike, hizi zawadi, hasa za hawa wazungu hazimaanishi ufanisi wa mtu katika kutumikia jamii yake, bali mara nyingi ni reflection ya mtu huyo alivyo 'mzuri' kwao!
 
hizi zawadi, hasa za hawa wazungu hazimaanishi ufanisi wa mtu katika kutumikia jamii yake
nd she's now Director of WEF Africa na kama bado unaamin anapewa kama gift na sio kutokana na uwezo wake bac hatuna sababu ya kulalamika tunaporushiwa ndizi kinyaninyani manake hatujitambui kwamba tuna uwezo---
 
Hongereni kurugenzi kwa kazi zenu za kutuhabarisha ila mkitakiwa mtoage ufafanuzi mambo yakienda kombo hamuonekaniki.
 
Hongera zake sana. Tunashukuru kwa taarifa hii.

Naomba kujua umri wa huyu dada maana ameingia kwenye rekodi za viongozi vijana. Nikiangalia CV yake amenza kazi tangu 1997 alikuwa na umri gani? Au vijana kwa hii tuzo inamaanisha umri gani? Just want to know.

Hiii kitu imenishtua......kijana saiv AF kazi kaanza 97 apo mi na miaka 6..nahisi aliNza kazi kabla hata hajamLza LA saba
 
Back
Top Bottom