Kati ya washauri wa raisi waliobobea wa uchumi ni marehemu Justinian Rweyemamu.
Justinian Rweyemamu - Wikipedia, the free encyclopedia
Alikuwa mzuri kiasi kwamba hadi hapo mbeleni alipotofautiana na Nyerere kuhusu policy za uchumi, alijiuzuru na kuendelea na profession yake ya uchumi kwengine.
Kuna haja ya Tanzania kuwa na timu ya washauri wa uchumi walio full-time ikulu, who are non-partisan. Kwani sioni umuhimu wa kuwa na payroll kwa ajili ya wakurugenzi, katibu wakuu wa mikoa / wilaya.
Hichi kifaa mkuu ila watawezana na mwanafunzi wake JK?