Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tanzania tuzo zinapendekezwa through Technical know who nasio technical know how.
Bi Elsi knows JK....
Tutajibeba tusie mjua mtu serikalini, hata kama ujuzi unao kama huna channel imekula kwako, vyeti vyako vitaozea stoo.
Awamu ya nne tulibeba marafiki, washikaji, vimada, nyumbandogo, and the like kuishi ikulu na kuwa washauri wa kuendesha nchi. Leo hii watu wanasema wana 'miss' hali hiyo!!Kati ya washauri wa raisi waliobobea wa uchumi ni marehemu Justinian Rweyemamu.
Justinian Rweyemamu - Wikipedia, the free encyclopedia
Alikuwa mzuri kiasi kwamba hadi hapo mbeleni alipotofautiana na Nyerere kuhusu policy za uchumi, alijiuzuru na kuendelea na profession yake ya uchumi kwengine.
Kuna haja ya Tanzania kuwa na timu ya washauri wa uchumi walio full-time ikulu, who are non-partisan. Kwani sioni umuhimu wa kuwa na payroll kwa ajili ya wakurugenzi, katibu wakuu wa mikoa / wilaya.
Na MSc Finance ya Strachlyde ya UK iliyopo IFM Dar.....Kumbe washauri wa uchumi wa Rais hawajasomea uchumi?
Duh, ndio maana vitu vinaharibika. Halafu what is US International University iliyopo Nairobi, Kenya??? Something is wrong here?
Asee hapo kwenye red umeamua kutuongopea tu. Chuo gani chenye walakini kati ya Hivyo? Williams College kina walakini? Strathclyde kina walakini? United States International University of Nairobi kina walakini? Basi vyuo vyote feki duniani. Na hiyo MA in Development Economics ni kitu gani hicho? Jiongeze mkuu."....Bi Kanza nayo Shahada ya BSc katika Uongozi wa Biashara za Kimataifa kutoka United States International University-Africa (USIA-A), Shahada ya Uzamili ya MSc katika Fedha kutoka Chuo Kikuu cha Strathclyde cha Uingereza na Shahada nyingine ya Uzamili katika Uchumi wa Maendeleo kutoka Williams College, Marekani..." HAYA JAMANI YALE YALEEE
1. HUYU BIBIYE HAJASOMEA UCHUMI
2.VYUO ALIVYOSOMA VINA WALAKINI
3.KUPITIA ELIMU YA HUYU BIBIYE NDO MAANA UCHUMI UMESHINDWA KUIMARIKA KAMA KWELI NI MSHAURI WA JK
4.TABIA YA KUTHAMINI WATU WALIOSOMA NJE HATA KAMA VYUO NI OVYO OVYO NDO IMELIPELEKEA TAIFA HAPA TULIPO
5.KAMISHENI YA VYUO VIKUU TZ HAIVITAMBUI VYUO HIVI
6.SIASA NDO IMETUFIKISHA HAPA
7.WATAALAM HAWATHAMINIWI BALI WANASIASA!
HALAFU HAWA WEF VIPI?MTU GANI MWENYE KIPAJI ANASOMEA VYUO FEKI?!!HAYA MACHO YETU.USANII HUU UTAISHA TU
Acha kutetea upuuzi wewe! MA hiyo inaweza kukufanya mchumi? hawa ni watu feki tuu walioneemeka kwa urafiki, tena wa kipuuzi tu. ukimuangalia youtube, haoneshi ufahamu kabisa zaidi ya kuiga matamshi ya lugha na anapojisahau kuigiza matamshi ya kibantu yanarudi kwa nguvu saaana!Asee hapo kwenye red umeamua kutuongopea tu. Chuo gani chenye walakini kati ya Hivyo? Williams College kina walakini? Strathclyde kina walakini? United States International University of Nairobi kina walakini? Basi vyuo vyote feki duniani. Na hiyo MA in Development Economics ni kitu gani hicho? Jiongeze mkuu.
Yumkini hujasoma uchumi. Siwezi ku-argue na wewe. Byebye.Acha kutetea upuuzi wewe! MA hiyo inaweza kukufanya mchumi? hawa ni watu feki tuu walioneemeka kwa urafiki, tena wa kipuuzi tu. ukimuangalia youtube, haoneshi ufahamu kabisa zaidi ya kuiga matamshi ya lugha na anapojisahau kuigiza matamshi ya kibantu yanarudi kwa nguvu saaana!
Acha kutetea upuuzi wewe! MA hiyo inaweza kukufanya mchumi? hawa ni watu feki tuu walioneemeka kwa urafiki, tena wa kipuuzi tu. ukimuangalia youtube, haoneshi ufahamu kabisa zaidi ya kuiga matamshi ya lugha na anapojisahau kuigiza matamshi ya kibantu yanarudi kwa nguvu saaana!
Rose kaingiaje hapa? PhD imekujaje hapa? Naona vyeti feki bado wana andika JF kumbe!Uko alipo wanamkubali. Angekuwa feki asingemudu maana huko hawana unafiki.
Ulitaka uende wewe?
Asha Rose na PhD yake aliishiaje kule UN? Usikremu jibu maana kuna siku utabadilishiwa angle kwenye mtihani.
Tulikuwa na serikali ya ajabu sana! Hata ukitambulishwa kwenye Disco, ilikuwa inatosha kabisa kukupa nafasi ya juu na yenye kishindo kwa maisha ya wengine bila kujali ubora wako.Hawa wote ni vijana WA JK. Bahati yake alisepa kabla ya Ngosha kushika hatamu. Vinginevyo angeisoma number.....