Honestly, Isnt it Possible?? (Je ni Kweli haiwezekani kabisa??)

Fikiria ziara ilikuwa ya kukaa siku 3 matokeo yake nikakaa wiki 2 na nilienda na nguo nilizo vaa tu warembo wa Chuda kiboko
ha haaaaaaaaaa, next time ficha nguo moja uvunguni, akiloweka zilizo wazi, unachomoa zako ya uvunguni, unasepa. kama ziara ilikuwa ya masaa kadhaa na una nguo hiyo tu inakula kwako
 
FP nimebarikiwa sana na post ya ushuhuda wako. Ni imani yangu kuwa wale wote walioko katika changamoto za mapenzi na mahusiano wamepata la kuegemea. Ubarikiwe sana
 
Hapa Maty nimeelewa mpenzi mapenzi yes unawezaishi bila kwayo lakini si upendo ambao ninatumia definition ya Babu Asprin hapa. Ila hapo kwenye dozi hapo jamani mbona mnanichanganya zaidi?? Dozi inawezatolewa pasipo mapenzi? au ndo ya one nite stand tena? No emotions attached?

Haswaaaaa mjukuu kuna watu ambao anakua na mpenzi kwa sababu hawezi kuishi bila kufanya ngono, anaweza kujizuia kuwa na mpenzi ila hawezi kukaa wiki mbili au tatu bila ku do hawa hii inawafaa sana. Na hawa ndio matatizo kama unaweza kukaa muda mrefu bila kufanya ngono hata kukaa bila mpenzi unaweza kabisa kama kaunga alivyosema kuliko kupenda nusu nusu unatafuta vitu ambavyo vitakukeep busy na kukupa furaha
 
Hivi Maty kuna tofauti ya kufanya ngono na kufanya mapenzi?
Kama ipo naomba kuelimishwa kidogo.
 
Aksante aisee hii post yako imenitoa machozi!! nashukuru kwa kutupa moyo wale wote tulioangukia mikononi mwa modomo ya Mbwa mwitu maharamia wa mapenzi, ingawa ni ngumu kuamini tena katika hilo.!

kosa kubwa katika maisha ambalo mtu unawza ukautendea moyo wako, ni kuwaza kinyume always.
nasema ni kosa kwasababu zifuatazo:-
akili itakutuma kwamba maisha hayana kizuri wala chema ambacho unaweza kukipata milele daima.
nafsi itauongoza mwili wako badala ya akili yako kutumika kuongoza.
moyo wako utakuwa na maumivu ambayo daima hayatibiki na mwishowe huzaa sonono ama chuki ya maisha
akili yako inafungiwa ndani ya kuta haitapeleka ogani zako za faham ktk kuona yaliyo mazuri.
daima nafsi huiua akili na moyo hudanganya mara nyingine.

katika mapenzi hakuna kanuni ila kuna kanuni ya kutembea katika mapenzi nayo inasema hivi tizama unakokwenda ama nenda unakotizama. na huu ndio ukweli kwenye maisha my dearest.
 
Mapenzi bana!

Kuishi bila mapenzi(hapa natoa ya kaka na dada au mzazi na mtoto) inategemea na 'strength' ya akili yako.

Unaweza kaa kipindi kirefu bila kuwa kwenye mahusiano, lakini jua at some point you will break down hasa kama ulishawahi kupenda au kupendwa.
Ni kama mtu aliyekuwa teja akaamua kuacha kwa sababu anazozijua mwenyewe, kuna wakati anapata 'relapse' ni kitu cha kawaida.

Natumnaini wakati unaandika huu uzi haukuwa kwenye kipindi cha 'relapse' (joking)

Kama kuna vitu vingine vya kuku-keep busy kama kazi, watoto na jamaa wengine, unaweza jikuta hata unapitisha miaka kadhaa bila kuwa na mahusiano ya kimapenzi bila wasi wasi (relapse zimo) wowote.

Tatizo linakuja pale mtu anapotaka kufanya kata mti panda mti, lazima ataishia kuumizwa tu

Ila kukaa kwa muda mrefu sana bila mahusiano ya kimapenzi inaifanya akili iwe na kutu hivi.

Afu kuna umri ukifika, huwa sioni kwa nini (hasa kwa BAADHI ya wadada) anasema katumiwa na mwanammme.
Unakuta mtu ana miaka 30+ analalamika fulani alinitumia, kweli?? Hadi umri huo bado hujaweza soma mchezo wa wanamme?
Kama mwanamme si mmeo, just play along, be mbayuwayu, sababu lazima ujue unachotaka nini na yeye anachotaka nini.
Hii penda penda hii, sijui! ! !
Kongosho, kuna kitu ambacho mie huwa nasema kwenye mapenzi hakuna kanuni ila kwenye kutembea katika mapenzi kuna kanuni nayo inasema tizama unakokwenda ama nenda unakotizama basi. na hii ni rahisi sana manake hata mtu akikuvunja moyo hutoangalia nyuma utatizama unakokwenda ila ukichukulia kwamba mtu kanishkilia pasi yy siwez amini mwisho wa siku utalia kanitumia kaniacha.

alwayz huwa nakumbuka mkasa wangu, sikufanya kuvumilia kwasababu sikuwa na option nyingine bali nilipotazama ninapokwenda nilisema sitaangalia nyuma kamwe na ndipo nilipofisha moyo wa hisia na kuvaa moyo wa jiwe.
 
Last edited by a moderator:
Nakubaliana na nyie kabisa,

Sina hakika kama najua hata maana ya mapenzi yanayoongelewa hapa....

Kama hii mada ingekuwa inaongelea upendo ambao unaweza kuwa ule wa binadamu kwa mwenzake halafu ukavuka mipaka kidogo kuelekea kwa watu jinsi mbili tofauti labda ningeelewa!

Haya maigizo mengine huwa siyaelewi kabisa!

Babu DC!!

Ni ngumu kuelewa BABU Dark City, the whole issue is complicated and polluted.

I mekuwa vigumu kuelewa km anaekwambia anakupenda anamaanisha au anakuibia. Na ukijiaminisha tu kuwa unapendwa nawe ukalove back honestly, malipo utayopata hutayategemea.
 
Hapa Maty nimeelewa mpenzi mapenzi yes unawezaishi bila kwayo lakini si upendo ambao ninatumia definition ya Babu Asprin hapa. Ila hapo kwenye dozi hapo jamani mbona mnanichanganya zaidi?? Dozi inawezatolewa pasipo mapenzi? au ndo ya one nite stand tena? No emotions attached?

Duuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuu,

Ningekuwa nina guts...swali langu lingekuwa...how old are??

Yale ma-plastic yanayouzwa kila siku, tena nasikia huku bongo ni hot cake yanatumika kwa kazi gani vile?

You can't be that naive MJ1!!

haya mambo ya dose nadhani nawaelewa sana mababu zetu Asprin na Dark City. nadhani wakaka wengi hawajali sana emotions kwenye kupata dose, ndo maana wanaweza wakawa na watu 10 kwa wakati mmoja na kwao ikawa sawa tu. watu kama mimi, kwanza hadi niwaze kupata hiyo dose ni lazima uwe umeujaza moyo wangu, sembuse kupata dose ya uhakika. sasa kusema niwe na upendo tu na nitegemee kupata dose ya uhakika mara moja moja hii hai-work kwangu.
 
Last edited by a moderator:
Duuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuu,

Ningekuwa nina guts...swali langu lingekuwa...how old are??

Yale ma-plastic yanayouzwa kila siku, tena nasikia huku bongo ni hot cake yanatumika kwa kazi gani vile?

You can't be that naive MJ1!!

Babu DC!!
babu hapo tatizo siyo umri, ni jinsi unavyojisikia................ mimi naamini ni old enough lakini bado siamini katika sex bila mapenzi.
 
Ukiwa desperate for love lazma utendwe na kutendwa tena! Ni muhimu ukawa precise na kile utakacho maishani. Daring to say I am not afraid to move on. Usikubali mtu asielipa rent moyoni mwako kukutia headache!
Take your time, focus on the good things that life has to offer! Halafu don't chase love, let love chase you. Hakuna starehe kubwa kama stopping chasing and be chased,lol! Be evil!

this is so cool
 
babu hapo tatizo siyo umri, ni jinsi unavyojisikia................ mimi naamini ni old enough lakini bado siamini katika sex bila mapenzi.

Yes FP, ila hakuna shida kamba abundance...it corrupts more than you can imagine!

Kuna binti mmoja alikuwa anashangaa kwamba inawezekanaje watu wakala ugali kwa dinner kwa sababu kwao hajawahi kuona kitu kama hicho!!

May be na wewe ni mmoja wa watu wa namna hiyo....

Babu DC!!
 
Ni ngumu kuelewa BABU Dark City, the whole issue is complicated and polluted.

I mekuwa vigumu kuelewa km anaekwambia anakupenda anamaanisha au anakuibia. Na ukijiaminisha tu kuwa unapendwa nawe ukalove back honestly, malipo utayopata hutayategemea.

Hahahahahahah, mbona unataka kunivunja mbavu wewe Koku??

Mtu ukiwasikiliza watu wa namna hiyo basi watakugeuza ngoma ya kijiji.....ambayo kila mtu ana ruksa ya kuipiga wakati wowote anapotaka!

Hivi utaachaje kumwambia mtu kwamba unampenda saanaau ni mzuri kuliko wanawake wote duniani wakati unahitaji huduma yake??

Kwani baada ya service huwa na mnapewa feedback na kumwagiwa maneno matamu kama mliyopewa mwanzo??

Men are MEN and not a different version of WOMEN..Please ....watu wanatakiwa kuwa mbayu wayu wakati wote!

Babu DC!!
 
Kongosho, kuna kitu ambacho mie huwa nasema kwenye mapenzi hakuna kanuni ila kwenye kutembea katika mapenzi kuna kanuni nayo inasema tizama unakokwenda ama nenda unakotizama basi. na hii ni rahisi sana manake hata mtu akikuvunja moyo hutoangalia nyuma utatizama unakokwenda ila ukichukulia kwamba mtu kanishkilia pasi yy siwez amini mwisho wa siku utalia kanitumia kaniacha.

alwayz huwa nakumbuka mkasa wangu, sikufanya kuvumilia kwasababu sikuwa na option nyingine bali nilipotazama ninapokwenda nilisema sitaangalia nyuma kamwe na ndipo nilipofisha moyo wa hisia na kuvaa moyo wa jiwe.

Huku ukisaidiwa na....

weed-we-trust.jpg
 
Hahahahahahah, mbona unataka kunivunja mbavu wewe Koku??

Mtu ukiwasikiliza watu wa namna hiyo basi watakugeuza ngoma ya kijiji.....ambayo kila mtu ana ruksa ya kuipiga wakati wowote anapotaka!

Hivi utaachaje kumwambia mtu kwamba unampenda saanaau ni mzuri kuliko wanawake wote duniani wakati unahitaji huduma yake??

Kwani baada ya service huwa na mnapewa feedback na kumwagiwa maneno matamu kama mliyopewa mwanzo??

Men are MEN and not a different version of WOMEN..Please ....watu wanatakiwa kuwa mbayu wayu wakati wote!

Babu DC!!

Babu vunjika mbavu tu, maisha mafupi sana sana.

Nauchukua ushauri wako completely, hakuna kuruhusu any man to play fool of woman.

Maneno matamu yamekuwa litulgia siku hizi, yanatamkiwa mdomoni na siyo moyoni na ni only when a man is hunting, but after getting the meet, km ulivyosema you will not understand the same man at ALL.

Kaazi kweli kweli.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom