Ngalikihinja
JF-Expert Member
- Sep 1, 2009
- 31,284
- 31,437
Kumbe hii hotel iliyoko azikiwe kule juu ni uwanja wa helikopta..! Nimeshuhudilea leo saa 3 asubuhi hii.
We kadala wenga!endelea kushuhudia....utaona meli inatia nanga mda si mrefu...usiondoke mtuwangu apo apo tulia....
Kumbe hii hotel iliyoko azikiwe kule juu ni uwanja wa helikopta..! Nimeshuhudilea leo saa 3 asubuhi hii.
Asante. Ila tukumbuke kuna sababu nyingi zinazosababisha mtu usijuwe zaidi ya unyoyajuwaPole sana kwa kushangaa shangaa, alikuwa anashushwa mgeni mashuhuri hapo hotelini, na sasa helikopita imeondka tena kwenda kunako, itarudi saa 8:30 kumchukua huyo mgeni. Safari hiyo nashauri usiendee kushangaa, onyesha kuwa hiyo hali umeizoea. Mwanzo Mwishoo!!!!
endelea kushuhudia....utaona meli inatia nanga mda si mrefu...usiondoke mtuwangu apo apo tulia....
Jf is never boring..
endelea kushuhudia....utaona meli inatia nanga mda si mrefu...usiondoke mtuwangu apo apo tulia....
like !!!!!!endelea kushuhudia....utaona meli inatia nanga mda si mrefu...usiondoke mtuwangu apo apo tulia....
like !!!!!!
Watu washamba sana duniani ndiyo maana Bush alikatisha mipango yake ya kujenga kiwanja cha golf baharini. Mitanzania ilivyo mishamba ingekuwa inashinda Kigamboni kila siku kushangaa shangaa tu. Sasa nimeelewa kwanini timu yetu ya taifa ikiendaga Morocco lazima ikalie kichapo.
Hahahahaaa!!
Prakata tumba!