Holiday INN

Ngalikihinja

JF-Expert Member
Sep 1, 2009
31,275
31,404
Kumbe hii hotel iliyoko azikiwe kule juu ni uwanja wa helikopta..! Nimeshuhudilea leo saa 3 asubuhi hii.
 
Kumbe hii hotel iliyoko azikiwe kule juu ni uwanja wa helikopta..! Nimeshuhudilea leo saa 3 asubuhi hii.

Pole sana kwa kushangaa shangaa, alikuwa anashushwa mgeni mashuhuri hapo hotelini, na sasa helikopita imeondka tena kwenda kunako, itarudi saa 8:30 kumchukua huyo mgeni. Safari hiyo nashauri usiendee kushangaa, onyesha kuwa hiyo hali umeizoea. Mwanzo Mwishoo!!!!
 
Asante. Ila tukumbuke kuna sababu nyingi zinazosababisha mtu usijuwe zaidi ya unyoyajuwa
 
Watu washamba sana duniani ndiyo maana Bush alikatisha mipango yake ya kujenga kiwanja cha golf baharini. Mitanzania ilivyo mishamba ingekuwa inashinda Kigamboni kila siku kushangaa shangaa tu. Sasa nimeelewa kwanini timu yetu ya taifa ikiendaga Morocco lazima ikalie kichapo.
 
Igunga washange Helkopta na wewe wa dar ushangae. Acha ujinga.
 
Watu washamba sana duniani ndiyo maana Bush alikatisha mipango yake ya kujenga kiwanja cha golf baharini. Mitanzania ilivyo mishamba ingekuwa inashinda Kigamboni kila siku kushangaa shangaa tu. Sasa nimeelewa kwanini timu yetu ya taifa ikiendaga Morocco lazima ikalie kichapo.

una MANENO MAZITO mjomba....au ako kajina ka MWITA ndo kanakupa title na justfcation ya kuwa na maneno km UNATAKA KUGECHANA?
achaizo .si nzuri kwa afya ya kibofu chako
 
Hahahahaaa!!
Prakata tumba!

...ttttumbaaa....tumbaaaaaaaaaaaaa....ainnhiiiiiii...io ahiiiiiiiii nataman unisikie wakat naimba....aiiiiiiiiiii..pakaratumba tumba tumba....lazima tu usahahu madeni kwa mda wakat unausikilizia u mwimbo....
 
ile ndo parking ya ile choppa.kitambo tu inapaki.huwa inapiga misele ya igunga na kurudi.
 
Mi nacheka tu, hivi nyie kushangaa ni tatizo? Kama unajuwa unafikiri na wenzako wanajua? Acheni ulimbukeni nyie. Kila mtu ana haki ya kushangaa anavyoweza, kuna wengine wanajishebedua tu hapa hawajawahi ona hiyo ndege ikitua huko ila kwa sababu mmoja kaonyesha kushangaa ndiyo mumuone mshamba.

MXIIIIIIIIi
 
Back
Top Bottom