Holiday INN

Mi nacheka tu, hivi nyie kushangaa ni tatizo? Kama unajuwa unafikiri na wenzako wanajua? Acheni ulimbukeni nyie. Kila mtu ana haki ya kushangaa anavyoweza, kuna wengine wanajishebedua tu hapa hawajawahi ona hiyo ndege ikitua huko ila kwa sababu mmoja kaonyesha kushangaa ndiyo mumuone mshamba.

MXIIIIIIIIi
Si kila nikijuwacho mimi nawe unakijuwa.....na wala sitamuona mshamba mtu kwa kutojuiwa kitu nikijuwacho............. Mbona yapo mengi tu mnayajulia JF, magazetini, kwenye stori, n.k..... TATIZO LA WALIO WENGI NI KUWA HAWAJUI KUWA HAWAJUI............. Ni afadhari kwa anayejuwa kuwa hajui kwani atafanya juhudi za kujuwa........ LAKINI KWA ASIYEJUWA KUWA HAJUI..ATAKAA TUU AKIDHANI ANAJUWA KUMBE HAJUI........ TUKUMBUKE KUWA....A STUPID QUESTION WILL REMAIN STUPID UNTILL WHEN IT IS ASKED.............
 
dar ina uhusiano gani na mafisadi.
Nilitaka tu kuwaeleza kuwa kuwahi kuja Dar au kuchelewa au kuzaliwa dar haimaanishi au si lazima imaanishe wewe ni mjanja SAAAANAAAA........... NYIE WA DAR NDO MNAOINGIZWA MJINI KILA ........... Si mnamkumbuke yule aliyepigwa LAPTOP au wanaopigwa magari hasa pale MLIMANI CITY.........?!! HIVI MNADHANI WALE NI WAKISHUMUNDU..??? WA HAPA HAPA..........
 
mm nlikua sijui kama kuna helipad pale lakn nashkuru sana nimefahamu.., basi na aliyezaliwa anajua kila kitu aendelee kuchonga..., there is always first time for everything..., mambo mengine pretend ww ni m2 mzima., kwni kutojua kitu ni kosa? Mm nlidhani wengine wangesema hzo helipads zipo kwa mfano nyingine zpo aicc arusha,ngurdoto, zingine wapi huko sjui na mambo ka hayo
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom