HOJA ya Zitto yawasilishwa kwa spika

Shukrani sana mh zitto, ikiwezekana na kamaa kanuni zinaruhuu liitihwe bunge la dharura baada ya hizo siku 14 ili liweze kujadili hoja hii kwa maslahi ya nchi yetu, ni gharama sana kuendelea na mzigo huu.
Zito hatuna cha kukulipa ila aliyeetuumba mambo haya hawezi kuyaacha hivihivi
 
Ccm ni shetani mkuu hata Tanzania Tuendelee Kufunga na Kuomba kwa Mwenyezi Mungu ili tuweze kulikabili
 
Jukumu la kukomboa nchi yetu ni letu sisi sote, tusimwachie mtu au kikundi cha watu wapigane dhidi ya haya majambazi.

Cha muhimu kama huwezi kukemea hadharani nenda hata uvunguni mwa kitanda chako unong'one kuwa naichukia CCM. Pili anza kuchukia rangi ya kijani popote uionapo.

Hawa watu hawana huruma hata kidogo. Kwanini tucheke na jambazi ambalo usiku likikuvamia linakuuwa.

Ni nani anafurahia kuona utajiri wa nchii unateketea mikononi mwa watu wachache then haohao wanatukashifu na kuturingishia utajiri wao?

nimeipenda hiyo!
 
ANAENDELEA HAPA
"@zittokabwe: Kanuni 27(4) Endapo manufaa ya Taifa yatahitaji....Spika anaweza, baada ya kushauriana na Kamati ya Uongozi....kuliita Bunge 'mapema' zaidi"

Hapa kazi kwa spika

Mnaelewa maana ya hayo maandishi yenye rangi nyekundu?
 
Nawaomba cdm wafanye semina za ndani, kuandaa wasimamizi/mawakala makini ili 2015 wasiibiwe. Waandaye viongozi ngazi zote kwa kuanza kuwekeza sera zake kwa kutoa mafunzo ya semina fupi fupi nchi nzima. CDM iandae watu wanao weza kuhamasisha, umuhimu wa kujiandikisha, kupiga kura na kuwakataa watu wanaotaka uongozi kwa masilai yao, hasa hawa MAGAMBA. Wengi wamehamasika na wanataka mabadiliko lakini hawajui hayo mabadiliko yatafanyikaje na ata CDM yenyewe hawaijui wala malengo yake.
Mwito wangu kwa Silaa, Mbowe, Lema, Zitto na wengineo, msibaki bungeni au kwenye mikutano na maandamano tuu, toeni elimu ya mnachotaka kufanya. Msilewe ushindi kidogo wa Arumeru au kuvua wachache magamba na kuwavalisha kombati! Kazi ni kubwa, pigeni kazi sana, msilale!
M4C ...
 
Hii hoja wakiikataa Zitto na wabunge wengine mliosaini kuunga mkono bila kuja itikadi zenu zungukeni nchi nzima kuwaamsha wananchi waitose serikali ya hii chakavu isiwajibika!
 
kasema hajiuzulu mtu eti huu ni upepo utapita tu kwa maana nyingine Watanzania ni ***** hatuwezi kufanya lolote.

Kama ikithibitika kama hii kauli ni kweli imetolewa na JK, nitashangaa sana; yaani ndivyo WaTZ tunavyozarauliwa na hawa viongozi kweli? sasa hii ni zaidi ya matusi tena ya nguoni! kwa kweli ni hatari sana tena sanaa.
 
well said.

Hakuna mjadala hoja itatupwa nje ya ulingo wa ndondi

Cheka leo kwa kufurahi haki kutotendeka lakin ipo siku ya kulia na kusaga meno,kwan haki ya mtu haipotei ila mtaichelewesha tu.Endelea kujidandanya ila jua pana leo,jana na kesho.
 
Zitto ubarikiwe sana na Mungu akupiganie kwenye maisha yako kweli wewe ni mkombozi wa nchi yetu tuko pamoja kaza kamba safari ndefu na usiongope vitisho Mungu wetu yupo atakulinda na mambaya yote
 
Tunataka watu wa maneno na vitendo. Tumechoshwa na maneno tu. Ongera Zitto Kabwe na wanaharakati wote.
 
Lunch time mtu amchukue makinda akampe vitu

Eeeehh!!!!!!!

Ni vitu gani hivyo vya kupeana. Na mimi navipenda huenda!!!!

CCM IPO HOI WARD ya ICU MUHIMBILI. NA MADAKITARI WAMEKATAA kuiTIBU KWA SABABU RAISI AMEGOMA KUONDOA WAZIRI MPONDA BADO YUPO WIZARANI.

NANI WA KUITIBU CCM?????/



MIZAMBWA
NABII MTARAJIWA!!!
 
Back
Top Bottom