HOJA ya Zitto yawasilishwa kwa spika

Bunge linaloongozwa na CCM halitatusaidia kitu. Tusijidanganye.Naandaa majibu yangu binafsi ya kimatendo..
 
"@zittokabwe: Taarifa ya Maandishi ya kutaka kuleta hoja ya kutokuwa na imani na Waziri Mkuu (ibara 53A ya Katiba) imewasilishwa rasmi kwa Spika."

"@zittokabwe: Mchana Leo HOJA ya kutaka Azimio la kura ya kutokuwa na imani na Waziri Mkuu itakabidhiwa kwa Spika (kanuni 133(2)(3)). 'Taarifa vs Hoja'"
Good step, makamanda. OPERESHENI UWAJIBIKAJI in action
 
Safi sana Zitto, ustahili kuitwa Mh.Mbunge wa jimbo la Tanzania, najisikia fahari kodi ninayolipa kuliwa na mtu sampuli yako uwapo bungeni, songa mbele!
 
Back
Top Bottom