MGOGOHALISI JF-Expert Member Apr 16, 2011 1,984 2,587 Apr 23, 2012 #1 Hivi kuna namna wabunge wanaweza kumtoa spika kwenye nafasi yake kama hawaridhishwi na utendaji wake? Msaada wana jf
Hivi kuna namna wabunge wanaweza kumtoa spika kwenye nafasi yake kama hawaridhishwi na utendaji wake? Msaada wana jf
Mungi JF Gold Member Sep 23, 2010 16,975 9,566 Apr 23, 2012 #2 kwa kuwa walimchagua wana mamlaka ya kumwondoa pia