wende
JF-Expert Member
- Sep 6, 2009
- 714
- 65
Sio kila hoja ni lazima uchangie, vingine potezea kulinda utu wako.Na. M. M. Mwanakijiji
Miye nitawaambia kitu; suala la kususia habari za kiongozi wa kisiasa kwa lolote analofanya ni counter productive. Kwanza ni kwa sababu siyo jukumu la vyombo vya habari kufurahishwa na viongozi au na serikali. Kwamba, wakikasirishwa basi wanatakiwa wasuse! Lakini la pili ni kuwa jukumu la vyombo vya ahbari kupasha habari - iwe kwa ajili ya kufahamisha, kujulisha, kuibua hoja au vinginevyo.
Siyo jukumu la vyombo vya habari kufanya uharakati wa kisiasa isipokuwa kama ni chombo cha habari cha kisiasa au chenye itikadi Fulani. Lakini, leo hii kama Serikali ikiamua kujibu mapigo kwa kusema chombo chochote cha habari huru ambacho kimegomea kutangaza habari za kisiasa au za serikali basi serikali itapiga marufuku taasisi zake zote kutoa matangazo yake huko au kuviruhusu kuwepo kwenye tukio lolote la kiserikali ni chombo gani kitasalimika; si itakuwa ni tit for tat!? Ilikuwa ni bora Zaidi kuendelea kumuandika anayedaiwa kuwa ni Bashite kuliko kumsusia.
Vyombo vya habari havipo ili kudekezwa, kubembelezwa au kufurahishwa. Wakati vyombo vya habari vinavyopoona vinashambuliwa, vinadharauliwa au kuminywa ndio wakati ambapo vinapaswa kufanya kazi kwa jitihada (zeal), kwa ufanisi zaidi na kwa umakini na ufanisi zaidi. Kususia kuandika habari za mtu au chombo chochote kile ni kujiwekea kisu shingoni na kujiminya wenyewe sehemu zisizotajika.
Vyombo vya habari vilivyomsusia Makonda viondoe zuio lao ili vifanye kazi yao bila kuonekana vina fikra au tabia za kitoto za kususa kisa wameonewa au wameumizwa. Watu pekee ambao wanaweza kumsusia kiongozi fulani ni wananchi wenyewe wakiwa na ufahamu wa kutosha wa kwanini wamsusie kiongozi au kundi hilo. Tena wanaweza hata kususisa chombo cha habari wakikiona kimepoteza uhuru wake.
Hii ni hoja fupi.
Well said.Na. M. M. Mwanakijiji

Too predictable
All those adjectives??!!!
Just for saying it's your opinion and you're entitled to it?
I think the one who's getting all that is you and you're projecting it on me.
Be easy
People change.Wahenga Mkuu hawakukosea kabisa waliposema, "Umdhaniaye ndiye kumbe siye"
Hii hoja yako imesukumwa zaidi na "usukuma" wako kuliko ufahamu wako. Mwanakijiji siku hizi kutokana na effect ya usukuma umekuwa na hoja dhaifu kama tu Lizaboni na makuku mengine ya Lumumba.Na. M. M. Mwanakijiji
Miye nitawaambia kitu; suala la kususia habari za kiongozi wa kisiasa kwa lolote analofanya ni counter productive. Kwanza ni kwa sababu siyo jukumu la vyombo vya habari kufurahishwa na viongozi au na serikali. Kwamba, wakikasirishwa basi wanatakiwa wasuse! Lakini la pili ni kuwa jukumu la vyombo vya ahbari kupasha habari - iwe kwa ajili ya kufahamisha, kujulisha, kuibua hoja au vinginevyo.
Siyo jukumu la vyombo vya habari kufanya uharakati wa kisiasa isipokuwa kama ni chombo cha habari cha kisiasa au chenye itikadi Fulani. Lakini, leo hii kama Serikali ikiamua kujibu mapigo kwa kusema chombo chochote cha habari huru ambacho kimegomea kutangaza habari za kisiasa au za serikali basi serikali itapiga marufuku taasisi zake zote kutoa matangazo yake huko au kuviruhusu kuwepo kwenye tukio lolote la kiserikali ni chombo gani kitasalimika; si itakuwa ni tit for tat!? Ilikuwa ni bora Zaidi kuendelea kumuandika anayedaiwa kuwa ni Bashite kuliko kumsusia.
Vyombo vya habari havipo ili kudekezwa, kubembelezwa au kufurahishwa. Wakati vyombo vya habari vinavyopoona vinashambuliwa, vinadharauliwa au kuminywa ndio wakati ambapo vinapaswa kufanya kazi kwa jitihada (zeal), kwa ufanisi zaidi na kwa umakini na ufanisi zaidi. Kususia kuandika habari za mtu au chombo chochote kile ni kujiwekea kisu shingoni na kujiminya wenyewe sehemu zisizotajika.
Vyombo vya habari vilivyomsusia Makonda viondoe zuio lao ili vifanye kazi yao bila kuonekana vina fikra au tabia za kitoto za kususa kisa wameonewa au wameumizwa. Watu pekee ambao wanaweza kumsusia kiongozi fulani ni wananchi wenyewe wakiwa na ufahamu wa kutosha wa kwanini wamsusie kiongozi au kundi hilo. Tena wanaweza hata kususisa chombo cha habari wakikiona kimepoteza uhuru wake.
Hii ni hoja fupi.
Ww nae unasumbuliwa na mihemko ya Ukabila kama sio UMBUMBU!Hii hoja yako imesukumwa zaidi na "usukuma" wako kuliko ufahamu wako. Mwanakijiji siku hizi kutokana na effect ya usukuma umekuwa na hoja dhaifu kama tu Lizaboni na makuku mengine ya Lumumba.
Inawezekana mimi nikawa MBUMBUMBU lakini najua kuwa Mwanakijiji amekuwa na hoja dhaifu sana lately ambazo zimesababishwa na usukuma wa mwenyekiti, sitasemea ukatoliki! Maskini JK kumbe kila siku alikuwa anaandamwa na msukuma mwanakijiji kwa sababu ya dini na kabila lake!Ww nae unasumbuliwa na mihemko ya Ukabila kama sio UMBUMBU!
Too predictable
Wabongo bhana full kukimbilia kucomment bila kujua maudhui na hoja za mada husika. tubadilike sasa duh!Kwa maoni yako wakimsusia ni kosa ila akiwavamia na silaha sio kosa.
Duh kweli m,sifie mtu akishafariki. Kwa hiyo kipindi chote alichofungiwa Bashite, hukuliona hili ndo umekuja kuona leo wakati serikali imepanga kuanza kufungia vyombo vya habari kwa hoja za uchochezi nk? Yaani unaandika uzi huu ili kesho serikali ikiviadhibu vyombo vya habari uje kufanya quotation ya hii habari kwamba ulionya ? Mkuu mtu wako hajui anaipeleka wapi nchi, na wewe ndo ulikuwa mpiga debe namba moja mitandaoni. Kubali tu kwamba ulidanganywa ukadanganyika. Magu amewaangusha , na sasa unaona things are falling apart at the greatest speed only God knows our terrible fate, we as Tanzanians.Na. M. M. Mwanakijiji
Miye nitawaambia kitu; suala la kususia habari za kiongozi wa kisiasa kwa lolote analofanya ni counter productive. Kwanza ni kwa sababu siyo jukumu la vyombo vya habari kufurahishwa na viongozi au na serikali. Kwamba, wakikasirishwa basi wanatakiwa wasuse! Lakini la pili ni kuwa jukumu la vyombo vya ahbari kupasha habari - iwe kwa ajili ya kufahamisha, kujulisha, kuibua hoja au vinginevyo.
Siyo jukumu la vyombo vya habari kufanya uharakati wa kisiasa isipokuwa kama ni chombo cha habari cha kisiasa au chenye itikadi Fulani. Lakini, leo hii kama Serikali ikiamua kujibu mapigo kwa kusema chombo chochote cha habari huru ambacho kimegomea kutangaza habari za kisiasa au za serikali basi serikali itapiga marufuku taasisi zake zote kutoa matangazo yake huko au kuviruhusu kuwepo kwenye tukio lolote la kiserikali ni chombo gani kitasalimika; si itakuwa ni tit for tat!? Ilikuwa ni bora Zaidi kuendelea kumuandika anayedaiwa kuwa ni Bashite kuliko kumsusia.
Vyombo vya habari havipo ili kudekezwa, kubembelezwa au kufurahishwa. Wakati vyombo vya habari vinavyopoona vinashambuliwa, vinadharauliwa au kuminywa ndio wakati ambapo vinapaswa kufanya kazi kwa jitihada (zeal), kwa ufanisi zaidi na kwa umakini na ufanisi zaidi. Kususia kuandika habari za mtu au chombo chochote kile ni kujiwekea kisu shingoni na kujiminya wenyewe sehemu zisizotajika.
Vyombo vya habari vilivyomsusia Makonda viondoe zuio lao ili vifanye kazi yao bila kuonekana vina fikra au tabia za kitoto za kususa kisa wameonewa au wameumizwa. Watu pekee ambao wanaweza kumsusia kiongozi fulani ni wananchi wenyewe wakiwa na ufahamu wa kutosha wa kwanini wamsusie kiongozi au kundi hilo. Tena wanaweza hata kususisa chombo cha habari wakikiona kimepoteza uhuru wake.
Hii ni hoja fupi.
Umezunguka mbuyu weee.... Kwani hawamwandiki kisa Hawampendi?.. Hamuandiki sababu aliwavamia tena kwa silaha... Wakaomba msamaha kutoka kwake akakataa.... Unataka nini?...Na. M. M. Mwanakijiji
Miye nitawaambia kitu; suala la kususia habari za kiongozi wa kisiasa kwa lolote analofanya ni counter productive. Kwanza ni kwa sababu siyo jukumu la vyombo vya habari kufurahishwa na viongozi au na serikali. Kwamba, wakikasirishwa basi wanatakiwa wasuse! Lakini la pili ni kuwa jukumu la vyombo vya ahbari kupasha habari - iwe kwa ajili ya kufahamisha, kujulisha, kuibua hoja au vinginevyo.
Siyo jukumu la vyombo vya habari kufanya uharakati wa kisiasa isipokuwa kama ni chombo cha habari cha kisiasa au chenye itikadi Fulani. Lakini, leo hii kama Serikali ikiamua kujibu mapigo kwa kusema chombo chochote cha habari huru ambacho kimegomea kutangaza habari za kisiasa au za serikali basi serikali itapiga marufuku taasisi zake zote kutoa matangazo yake huko au kuviruhusu kuwepo kwenye tukio lolote la kiserikali ni chombo gani kitasalimika; si itakuwa ni tit for tat!? Ilikuwa ni bora Zaidi kuendelea kumuandika anayedaiwa kuwa ni Bashite kuliko kumsusia.
Vyombo vya habari havipo ili kudekezwa, kubembelezwa au kufurahishwa. Wakati vyombo vya habari vinavyopoona vinashambuliwa, vinadharauliwa au kuminywa ndio wakati ambapo vinapaswa kufanya kazi kwa jitihada (zeal), kwa ufanisi zaidi na kwa umakini na ufanisi zaidi. Kususia kuandika habari za mtu au chombo chochote kile ni kujiwekea kisu shingoni na kujiminya wenyewe sehemu zisizotajika.
Vyombo vya habari vilivyomsusia Makonda viondoe zuio lao ili vifanye kazi yao bila kuonekana vina fikra au tabia za kitoto za kususa kisa wameonewa au wameumizwa. Watu pekee ambao wanaweza kumsusia kiongozi fulani ni wananchi wenyewe wakiwa na ufahamu wa kutosha wa kwanini wamsusie kiongozi au kundi hilo. Tena wanaweza hata kususisa chombo cha habari wakikiona kimepoteza uhuru wake.
Hii ni hoja fupi.
Habari zake zina maslai makubwa kwa umma kuliko yeye.Kususia ni kuadhibu umma.vyombo vya habari wako sahihi, jamaa ana nguvu (nyuma ya pazia) kuliko vyombo hivi hivyo hawana njia ya kupigana nae zaidi ya kumsusia
rejea jamii zilizo kuwa dhaifu kwa uvamizi wa ukoloni zilifanyaje?
kama unataka habari za ngosha mwenzio nenda blog ochwara zinamwandika sana tu