Hodi hodi mimi ni mgeni naomba kukaribia.

mukwano

Member
Feb 21, 2011
50
1
Wapendwa mimi huwa nasoma hii Forum lakini sasa nimeamua kujiunga na watu makini, wenye mawazo ya kujenga hii nchi yetu ya Tanzania. Niweze kuchangia pia. Naomba kukaribishwa!!
 
karibu lakini mbona tayari uko sebuleni na umekaa then unabisha hodi?

tunataka mawazo chanya toka kwako........
 
Karibu sana

Lkn, Kama una nguo za kijani tafadhali sana ziache hupo getini ukitoka utazipitia.

Jipige sachi mwenyewe kama umebeba kitabu chchote cha dini yoyote kiache huko nje, humu hatuhubiri udini wala kuzungumzia mambo ya din yoyote. Pia, kama umesahau katiba ya JMT pliz geuza fasta ukaitafute kwanza maana twaweza kukuacha nyuma sana ktk mchakato.

Hebu jisachi mfukoni..je unakachembe kokote ka-ukabila..mmh hako hakatakiwi kabisa huku. kama unako mzee, hebu rudi nyuma kdogo, geuka nyuma,chimba shimo la sawa na urefu wako na ukafukie kaozee huko. ndio uje kuingia ukiwa msafi kabisaa.

Kama umetiliza hayo karibu on board, tutakupa viza ya maisha humu.
 
Wapendwa mimi huwa nasoma hii Forum lakini sasa nimeamua kujiunga na watu makini, wenye mawazo ya kujenga hii nchi yetu ya Tanzania. Niweze kuchangia pia. Naomba kukaribishwa!!

shukran kwa ku2juza,karibu sana!
 
karibu lakini mbona tayari uko sebuleni na umekaa then unabisha hodi?

tunataka mawazo chanya toka kwako........

Edson hawa ndio wageni wanaotakiwa, karibu sana mgeni.... jisikie uko nyumbani kwa kutoa michango na hoja motomoto kama mvua :rain:....
 
Hi all mimi naitwa mary nimgeni hapa. ningependa kukaribishwa niko nje naningefurahi kupata marafiki mbalimbali.
 
Mukwano na Mary-Willy, wote majina yenu yanaanzia na M, yaani kwa pamoja mnakuwa double M, karibuni sana akina M, na mimi jina langu linaanzia na M, hivyo sisi watatu majina yetu yanaanzia na M, tukiwa pamoja tunakuwa triple M, haya mwaya karibuni kikaangoni jf, mkizingatia maelekezo vizuri hamtapigwa ban, hivyo mjiepushe na maneno ya uchochezi na matusi ya nguoni, humu hayaruhusiwi. You're warmly welcome!
 
Back
Top Bottom