Bebii BADILI TABIA, twenzet lunch bana. Tukale wapi leo?..... Nimetonywa KARIA mwenyewe kumbe katoka kufumaniwa juzi tu. Ataniulia dadaangu Yummy bana.Yummy atakumassage, msubirie hapo hapo
Nakumbuka sana hiyo.... nimeiserebuka sana tu hiyo makitu:violin::drum:You remember back in the days ofKanda Bongo man, Chakachaka and so many other pioneers of soukous style.
kijana karibu sana.....
natumaini shemeji yako Asprin kesha kusalimia, nitarudi baadae kidoga acha nikam-massage ...
kijana karibu sana.....
natumaini shemeji yako Asprin kesha kusalimia, nitarudi baadae kidoga acha nikam-massage ...
Hii inaitwa name calling.......... you have been warned!Kuanzia kushoto Erotica, charminglady, Zinduna na BADILI TABIA wakiwa kwenye kitchen party ya MwanajamiiOne HAWA NDIO ORIJINALI!!!!!!
Umeumbuka leo mzee mzima mie sipo hapo!!!na charminglady ni wapili sio wa kwanza
Hii inaitwa name calling.......... you have been warned!
Mi nlitaka kuona speed ya mgeni wetu we unaharibu deal....:flame:
BADILI TABIA unajipenda weye?Yummy atakumassage, msubirie hapo hapo
Asprin mi nani ako kwani????Bebii BADILI TABIA, twenzet lunch bana. Tukale wapi leo?..... Nimetonywa KARIA mwenyewe kumbe katoka kufumaniwa juzi tu. Ataniulia dadaangu Yummy bana.
Kwanza nipe hiyo pipi ndo nianze ukuwadi vizuri:llama:
Kwanza nipe hiyo pipi ndo nianze ukuwadi vizuri:llama:
Bebii BADILI TABIA, twenzet lunch bana. Tukale wapi leo?..... Nimetonywa KARIA mwenyewe kumbe katoka kufumaniwa juzi tu. Ataniulia dadaangu Yummy bana.
kijana karibu sana.....
natumaini shemeji yako Asprin kesha kusalimia, nitarudi baadae kidoga acha nikam-massage ...
Dah.... kweli nimeamini....hapa babu tuone niya ya Karia iko vipi kwanza. sikutumi yeye ndiye akutume kwangu.
kama ni pipi bora uombe tu usiitake kama malipo. teh teh