Mpwayungu Village
JF-Expert Member
- Jul 21, 2021
- 14,304
- 29,842
Mgeni nimekuja kuomba hifadhi naombeni mnistiri hodi humu ndani.
Karibu sanaMgeni nimekuja kuomba hifadhi naombeni mnistiri hodi humu ndani.
Asante saana kiongozi wanguKaribu sa
Karibu sana
Hapana sio ndugu yanguuna undugu na mpwayuwayu village? Naona surnames zimefanana
Siyo nduguyo kwa maana unamfahamu?Hapana sio ndugu yangu
Mtu mmoja huyuSiyo nduguyo kwa maana unamfahamu?
Nagulo ipo Bahi
Mpwayungu ipo Chamwino
Zote mkoani Dodoma.
Mhmhmhmj
uko seriousWelcome back Mpwayungu Village
Naona umetunukiwa big banMgeni nimekuja kuomba hifadhi naombeni mnistiri hodi humu ndani.