Sipendi tabia ya mama kuingia chumbani kwangu bila hodi pamoja na kunilazimisha kunyoa ndevu zote

Am For Real

Senior Member
Nov 21, 2023
165
451
Kwanza kabisa salamu wapendwa,Mimi ni mwanaume wa Miaka 26 naishi na Mama nyumbani. Tunaishi vizuri lakini kuna Baadhi ya mambo yananikera sana nikiwa nyumbani;

1 .Hii tabia ya mama kuingia chumbani kwangu bila kubisha hodi, muda mwingine anaweza akaingia akanikuta nimevaa bukta tu au boxer. Nimeongea lakini naona hii hali inajirudia na akiingia chumbani anikute na bukta muda mwingine nasonya na kujificha.

2. Kunipangia kuhusu ndevu zangu. Ndevu ni zangu lakini anataka ninyoe zote, nikikataa naonekana mimi ni mbaya sifai, kuna muda hadi nanuna.

Ishi sana mama, nakupenda na kukutegemea wewe.
 
Kwanza kabisa salamu wapendwa,Mimi ni mwanaume wa Miaka 26 naishi na Mama nyumbani.Tunaishi vizuri lakini Kuna Baadhi ya mambo yananikera Sana nikiwa nyumbani.

1.Hii tabia ya mama kuingia chumbani kwangu BIla kubisha hodi.Muda mwingine anaweza akaingia akanikuta nimevaa bukta tu au boxer.Nimeongea lakini naona hii hali inajirudia na akiingia chumbani anikute na bukta muda mwingine nasonya na kujificha.

2. Kunipangia kuhusu ndevu zangu.Ndevu ni zangu lakini anataka ninyoe zotee.Nikikataa naonekana Mimi ni Mbaya sifai.Kuna muda Hadi nanuna

## ISHI SANA MAMA NAKUPENDA NA KUKUTEGEMEA WEWE##
Kama unataka uhuru tafta kwako mzee.
 
Ukiwa chumbani jitahidi ufunge mlango. Ili MTU akigonga mlango wewe uvae na ufungue (KUJILINDA)

Kuhusu ndevu muelimishe Kwa kumuambia kuwa mwonekano wa MTU Kama nywele au ndevu ni sehemu ndogo ya binadamu wala haimaniishi wewe ni muhuni bali mwonekano ni Kama cover la simu tu.

Then Kwa umri Wa 26 yrs hakikisha unajiwekea mipaka Sana . ongeza upendo Kwa watu Ila punguza mazoea na WATU.
 
Kwanza kabisa salamu wapendwa,Mimi ni mwanaume wa Miaka 26 naishi na Mama nyumbani. Tunaishi vizuri lakini kuna Baadhi ya mambo yananikera sana nikiwa nyumbani;

1 .Hii tabia ya mama kuingia chumbani kwangu bila kubisha hodi, muda mwingine anaweza akaingia akanikuta nimevaa bukta tu au boxer. Nimeongea lakini naona hii hali inajirudia na akiingia chumbani anikute na bukta muda mwingine nasonya na kujificha.

2. Kunipangia kuhusu ndevu zangu. Ndevu ni zangu lakini anataka ninyoe zote, nikikataa naonekana mimi ni mbaya sifai, kuna muda hadi nanuna.

Ishi sana mama, nakupenda na kukutegemea wewe.

Acha kutujazia server...
 
madhara ya mtu mzima kuishi kwa wazazi ni pamoja na hilo 🐒

vumilia huku ukijipanga kuexit hapo, umekua sasa...
 
Back
Top Bottom