Ho to remove WinRar password

tigana

Member
Feb 20, 2012
22
1
wandungu naomba mweny utalamu wa ku-crack password za winrar anisaidie kuna file nimedowload hapa linazingua
 
Hivi WinRar nazo zinadai password? Mbona mimi naipakua tu na kuisanikisha bila ya kuhitaji neno la siri!
 
hivi winrar nazo zinadai password? Mbona mimi naipakua tu na kuisanikisha bila ya kuhitaji neno la siri!
naona u mbishi kaka kama ujakutana na rar file za kihivyo jaribu kuextract file nililo attach then liweke hapa tuone!!!!
 

Attachments

  • FUNGUA TUONE.rar
    826 bytes · Views: 49
Ukikuta. Zipped file iko password protected, kama kuna alternative, tafuta jingine coz even though wanadai kuna software za kucrack, it's almost impossible, I've tried it for days without success!!
 
Back
Top Bottom