Hizi msg za Valentine za kufowadiana . . . .

CPU

JF-Expert Member
Jan 13, 2011
3,863
687
Yaani sijui watu hawazisomagi vizuri au hawajui maana yake???!!!

Namshangaa kweli, katumiwa msg ya u-valentine na jibaba lake usiku wa kuamkia leo halafu anai-fowadi kwangu saa hizi saa tatu na nusu asubuhi, eti "am the first to wish you happy valentine this night, sleep well my sweet"
 
mmmhhhh humpendi tu,lazima ikupe kichefuchefu......
Huyo jibaba ni mwanaume kama wewe na anastahili kupendwa,haihusu nani kamtumia,yeye kaona uzuri kukutumia wewe...na sijaona ubaya wa hayo maneno!!!
 
Sasa mwambie leo mbadilishane simu kama ishara ya upendo uone simu zitakazomiminika hapo utajua mpo wangapi. :)
 
Wakati we ndo ungefura kwa hasira ungeomba ban ingekuea umetumiwa wewe . . . .
 
Sasa mwambie leo mbadilishane simu kama ishara ya upendo uone simu zitakazomiminika hapo utajua mpo wangapi. :)

Bahati mbaya mtu mwenyewe yupo Morogoro mimi Dar. Sasa anadai ananipenda since alipoanza kunifahamu Jan, yaani nilihisi tu tangu mwanzo nadanganywa
 
Yaani sijui watu hawazisomagi vizuri au hawajui maana yake???!!!

Namshangaa kweli, katumiwa msg ya u-valentine na jibaba lake usiku wa kuamkia leo halafu anai-fowadi kwangu saa hizi saa tatu na nusu asubuhi, eti "am the first to wish you happy valentine this night, sleep well my sweet"
Kakuchakachua huyo mpe kibuti!!
 
Yaani sijui watu hawazisomagi vizuri au hawajui maana yake???!!!

Namshangaa kweli, katumiwa msg ya u-valentine na jibaba lake usiku wa kuamkia leo halafu anai-fowadi kwangu saa hizi saa tatu na nusu asubuhi, eti "am the first to wish you happy valentine this night, sleep well my sweet"

mmmhhhh humpendi tu,lazima ikupe kichefuchefu......
Huyo jibaba ni mwanaume kama wewe na anastahili kupendwa,haihusu nani kamtumia,yeye kaona uzuri kukutumia wewe...na sijaona ubaya wa hayo maneno!!!
Ubaya wake nipale penye red ndo ubaya wake!!

Haya ndio madhara ya copy and paste:clap2::clap2:
Kasahau maana mawazo yake yote nijinsi yakukudanganya kumbe kaishalikoroga!!
 
Wee acha tu;

Mimi ndo kwanza imetinga moja kwenye kiselula changu. Baada ya longolongo za kawaida inamalizia eti: "HAPPY VALENTINE SISTER"

But I am a Brother or lather a man. Nikampigia muhusika bahati akajibu kuwa na yeye alifowadiwa.

Whats the point?
 
Mi napenda kudanganywa CPU,em cheer up bwana,

HAPPY VALENTINE MY DEAR!!!!

Duuuh . . . kumbe siku zile nilivyokudanganya mpaka ukapewa ban ulifurahi, mi nilifikiri umenuna.
Happy Birthday My Dear . . . . oooh goshhhhh! Happy New Yea . . . mmmh! Yaani leo
nasema hivi HAPPY MICHELLE DAY . . . . shhhiiit, huu ulimi vipi leo?!!! Ngoja ninywe maji . . . . . gluuup . . . . gluup . . . . . aaaah
haya sasa nipo fresh
Happy Valentine Day Michelle
 
Wee acha tu;

Mimi ndo kwanza imetinga moja kwenye kiselula changu. Baada ya longolongo za kawaida inamalizia eti: "HAPPY VALENTINE SISTER"

But I am a Brother or lather a man. Nikampigia muhusika bahati akajibu kuwa na yeye alifowadiwa.

Whats the point?

Daaaah . . . . kumbe mi nina afazali? Watu wanafowadi mpaka jinsia wanakosea??!!
 
Sms huwa haina maana iwapo mtumaji hajaiandika mwenyewe hasa kuhusu suala la upendo.
Kwa nini usiandike sms wewe mwenyewe ili ueleze hisia zako badala ya ku send sms aliyoiandika mwenzako???
 
Bahati mbaya mtu mwenyewe yupo Morogoro mimi Dar. Sasa anadai ananipenda since alipoanza kunifahamu Jan, yaani nilihisi tu tangu mwanzo nadanganywa

Siku ukiwa karibu nae jaribu kuijepa simu yake JIDIPU uone amekusevu vipi, kama unatumatuma vocha usije ukashangaa kukuta umeseviwa vocha dar
 
Mitambo wakati wa siku kama hizi inalemewa, inawezekana ilitumwa usiku lakini ikafika hiyo saa 3:30 abh.
 
Aliongea na engineers wakamwambia kutakuwa na SMS Jam? Haaaa haaaah umeliwa huyo si wako!!!!!!
 
Back
Top Bottom