Hizi Handbag za kinadada hizi mmmh?

Mademu wengine huwa wanabeba vitu hivyo ili akinanihiiiiiiiiiiiiii na mtu mumewe asijue, kwani vitu hivyo humfanya ajipodoe tena kama alivyo toka nyumbani baada ya kukunwa na kidumu chake, hivyo mumewe hataweza kumshitukia kirahisi!!!!!!!1
Kumbe eee 2meliwa sasa na huko chini c panakua pamelegea itakuaje ka akiombwa mechi au ndo anasingizia tumbo la ukubwa linauma?
 
Kwakweli mimi sijaelewa kinachowashangaza ninyi wanaume.jiulizeni ni kwann ninyi hamkubeba handbag sisi tukatembea na wallet .kwa mwanamke yeyote aliyepitia unyago na kitchen pati hawez kosa vitu vyote hivyo muhimu kwenye handbag yake.mfano mdogo,khanga ni muhimu kubeba maana jamaa zetu wengi wanafiwa na hatutaki kusumbuka kurudi home kufuata khanga.pia kwa mwanamke msafi khanga ni muhimu ili ikitokea dharula ya kuwepo guest,asitumie mataulo ya huko. 2. Chupi ni muhimu kwa dharula za guest au ktk mihangaiko ya muda mrefu then akapitiliza kwnye meeting flan.chupi safi humfanya mwanamke ajisikie fresh. Mmh,condom huwa tunabeba kama ikitokea bahati mbaya tukakutana na wabakaji,ni afadhali watubake lakini wasituachie ukimwi.pia sindano ni muhimu hasa inapotokea dharula zipu yako ya suruali imeachia wakati nafungua,ntaishona mwanaume usije umbuka barabarani.ya ziada yanapatikana unyagoni tu ila mwanamke makini hubeba kabati lake kwenye pochi ili kwenye dharula yeyote aweze kulala popote huku akiwa ktk mvuto ule ul
 
Pia Shaving machine ni muhimu wakati wote hasa guest km ukija na kichaka nipunguze usije nipa kazi ya kutumia darubini.wembe tunabeba km dharula ili kuwakata kucha zenu msije kutupa tetenas pale mnapopandisha mizuka.zaidi tunabeba sabuni ya kipande ili msishtukiwe na wake zenu kwa kunukia sabuni za guest.pedi huwa tunabeba zitusaidie wakati ule tunapojisikia kuwachuna na hatutaki kutoa huduma.mengi zaidi yanaendelea kupatikana kwenye kicheni pati
 
Pia Shaving machine ni muhimu wakati wote hasa guest km ukija na kichaka nipunguze usije nipa kazi ya kutumia darubini.wembe tunabeba km dharula ili kuwakata kucha zenu msije kutupa tetenas pale mnapopandisha mizuka.zaidi tunabeba sabuni ya kipande ili msishtukiwe na wake zenu kwa kunukia sabuni za guest.pedi huwa tunabeba zitusaidie wakati ule tunapojisikia kuwachuna na hatutaki kutoa huduma.mengi zaidi yanaendelea kupatikana kwenye kicheni pati
Ama kweli nahc kufa kumbe hz ped ni geresha 2?juz demu wangu kanivalia ped akidai yko vibaya kumbe niliibiwa!?.asante kwa kunifumbua ntakua sikubl tena.anyway umeichambua vzr mada asante kwa kuzitetea handbag mnastahil kuzibeba.
 
Siku izi sio handbag tena,,kwani ni kubwa mno kushika mkononi.

Wanazibeba mabegani.
 
kuna bags nyingine si kubwa sana za kuning'iniza mkononi hata mimi nazifagilia zinawapendeza no matter what is inside it, ila kubwa kuliko yale mabags makubwa kama viloba vya sembe ya Bakhresa HAMPENDEZI nayo kabisa!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
 
yani bora nimesoma hii leo, manake nilikuwa naiona tuuuu naiacha, sasa nimeisoma nimechaka sanaaaaa,
kweli inachekesha sana,
hapo hatujaweka hata fedha!! makaratasi kibao!!
nimekumbuka dadammoja mtanzania alieolewa na mdachi alikuja Tanzania kwa likizo fupi akaibiwa pochi/handbag. Hasara aliopata anajua malipo yake karibu miezi miwili Tz na mingine miwili Holand kuhangaikia alivyopoteza,
makaratasi kibao, hata sijui kwanini alikuwa anatembea nayo,
Mie mwenzenu huwa nahakikisha SINUNUI handbag kubwa kwani nitaijaza tu,
pia huwa weekend naipitia yote kuhakikisha sijaanza kulundika vitu ambavyo nikiibiwa pochi nitahamia polisi na maofisi yote kudai document mpya.
hayo ya vipodozi, ujanja ni kutafuta container ndogo kabisa unakuwa unarefill favourate zako mf perfume, poda na lotion,

Kuna rafiki yangu lazima awe na hivyo vyote ikiwamo kanga nyepesi na mtandio mwepesi (havijazi nafasi) sandals nyembaba sana huwa pia hazichukui nafasi kubwa. (huwa anaenda sana kwenye misiba)
bila kusahau sabuni special (ana alergy)
chupa special ya maji huwa anatumia ile biodisk!
 
....pedi huwa tunabeba zitusaidie wakati ule tunapojisikia kuwachuna na hatutaki kutoa huduma.
Hii iliwahi kunitokea demu kapaka lipstic kwenye pedi,kupiga hesabu alikuwa kwenye siku zake wiki 2 zilizopita nikakomaa kikaeleweka,wanawake noooma.
 
si mchezo,ni bora tu wajibebee vitu hivyo,kwani bila hivyo !pangekua hapatoshi.

inabidi kuanzishwe dressing tables za rodini,kuepusha mizigo mingi.
 
nilishahoji wee mpaka nimekubali matokea sasa mkitaka kutoka lazima mgombane mda wote kwenye kioo na akitoka kwenye gari wembe ni ule ule
 
Hayo yote ni maandalizi ya uchakachuzi!!!na wengi wabebao hivyo ni wake za watu.Kwani usipojilemba hampendezi??
 
nilishahoji wee mpaka nimekubali matokea sasa mkitaka kutoka lazima mgombane mda wote kwenye kioo na akitoka kwenye gari wembe ni ule ule
Tena hapo kama mna safar ndo kujpodoa weeeee
 
nilishahoji wee mpaka nimekubali matokea sasa mkitaka kutoka lazima mgombane mda wote kwenye kioo na akitoka kwenye gari wembe ni ule ule
Tena hapo kama mna safar ndo kujpodoa weeeee
 
Tatizo la wanaume ni kutokujua asili na tabia za wanawake. Wengine wanataka wanawake wawe sawa na wanaume. Haiwezekani. Mungu hakuumba hivyo. Muhimu ni kwa wanaume kujua mwanamke ni mwanamke na anatabia ya ndani na maelekeo tofauti kabisa na mwnaume. Hapo tutaheshimiana zaidi. Cha maana tu ni kwa wanawake kutozidisha na kuchukua tahadhari ya madawa...
 
Hayo yote ni maandalizi ya uchakachuzi!!!na wengi wabebao hivyo ni wake za watu.Kwani usipojilemba hampendezi??

Wanawake wengi au wote wanabeba pochi sasa vilivyomo ndani kuna vinavyofanana pia kutofautiana. Mfano mimi pochi yangu ndani kuna;

1. Make-up kit, hii ina kila kitu cha kujiremba mfano poda, enjofesi, kitana, chanuo,ribbon za nywele, lipstick&lipbam, mini perfumes,hand gel, tissues. Hiyo make-up kit inasaidia kuweka vikorokoro vyote pamoja ili pochi isichafuke au kuwa na mpangilio mbovu.
2. Diary na pen-kuwa na kumbukumbu zangu za kila siku na utekelezaji.
3. Simu moja
4. Wallet- ya pesa na cards kadhaa kama atm's, id's nk.
5. Pads za akiba-hata kama najiamini ila huwezi jua au kumsadia mwanamke mwenzangu akikutwa na dhoruba ghafla.
6. Funguo muhimu
7. Paracetamol na plasta
 
Wanaume mna inda nyie!
Mnadhani tunavyopendeza ni bure? Ukiona vyaelea vimeundwa!Nyie mabriefcase yenu mnaweka nini? tena ngoja nikaanzishe thread ya hili niwaumbue!
 
Sasa jamani leo mmetuletea matatizo wengine humu ndani ya kuta zetu. Mara simu inapigwa kutoka nyumbani:

"Daddy how are you"
"I'm fine pumpkin, whats wrong"
"Daddy I need a bigger mkoba"
"What?, wa nini na nimekununlia mwingine Krismass"
"Daddy, you know I'm a big girl now"
"Yes hunny, but why you need bigger mkoba?"
"Daddy, all my friends have one, why can't I get one".. mtu anazungumza kwa sauti ya huzuni kuuyeyusha moyo wa baba yeyote.
"Ok.. ok.. unataka mkoba gani?"
" I saw the the Gucci one"
"Why not and get one at Manzese those cheap one I don't want to spend a fortune"
"Daddy my friends will laugh at me!"
"Why don't you ask ur mom to give you one of hers" anakaa kimya kidogo consulting in the conspiracy of women conference!
"ooh Daddy she said she want a bigger one too"!!

Nikatahamaki na kuguna.

"Thats too big"
"Not its not, I have to put a lot of things in there"..
"Ok, Ill buy one"
"thanks Daddy, I luv u".. giggling..

Narudi nyumbani nakutana na mada hii!! Nashindwa hata pa kuanzia kumkatalia, kabinti kenyewe ndio kamoja hako hako.
 
Wanaume mna inda nyie!
Mnadhani tunavyopendeza ni bure? Ukiona vyaelea vimeundwa!Nyie mabriefcase yenu mnaweka nini? tena ngoja nikaanzishe thread ya hili niwaumbue!
Tausi yamekua hayo tena?haya ngoja nikaisome nione huko ndani kuna nini duuh mambo ndo yameanza.
 
Back
Top Bottom