Hizi Handbag za kinadada hizi mmmh?

Na nyie kina dada mijadala kama hii inayowahusu mambo yenu binafsi kwanini hamuipotezei?

Mwisho wa siku itaanzishwa sredi hapa kwanini kina mama wanavaa khanga misibani?

Mkuu mbona unatafuta sympath kwao.
Au ni kale ka treak ketu ka kuwang'oa kiulaini?
 
Jamani hvi vi2 vyote vya nini?wakati umetoka home tayari ushajipodoa?

kwa upande wangu ni:
Kioo-Kujitazama je niko vizuri au kuna kasoro fulani.
Poda-kujipaka kupunguza jasho
Wanja-wa kujiremba
Lips shine-lips zivutie kwa mng'aro
Lips stik-situmii
Handchef-kufuta jasho na vumbi vumbi
Lotion-nikipauka
Ch**i-sina tabia ya kubeba
Kanga- ya nini natumia hm
Wembe-sihitaji mpaka nikiwa home
Pedi-nabeba nikiwa siku nzito
Kitana-kuchana nywele, zinaweza kutibuka, ukiwa njiani kuwahi ofisini.
uzi na sindano-bahati mbaya nguo ichanike au kifungo cha shati la bosi kitoke nakirudishia
Perfume-Kunukia muhimu
Deodorant-mara moja moja. Hii sio ya kuizoea ina madhara
Sticks-wengine tunapenda kutafuna nyama

Sasa kama uzi na sindano unabeba kwa ajili ya bosi,, kwanini usibebe pedi kwa ajili ya emegence ya mwenzaka hata kama we siku iyo huihitaji?

Au ndo kale kamsemo ka 'huwa hampendani'
 
Jamani hvi vi2 vyote vya nini?wakati umetoka home tayari ushajipodoa?
Kioo
Poda
Wanja
Lips shine
Lips stik
Handchef
Lotion
Ch**i
Kanga
Wembe
Pedi
Kitana
Je vyote hv vya nini jamani yani kama vile mnakwenda vitani?ok nyie kinadada 2ambieni hv vyote vya nini?Utakuta hata kwenye daladala anatoa kijikioo kidogo either kimepasuka au la anaanza mambo yake.yani ukibahatika kuuokota huambulii ki2

Akipata serengeti boys njiani atajipodoaje tena mkuu?
 
Niliwahi ku -do demu baada ya show nikaona kakunja ch**pi yake nikdhani havai tena nini kaamua kwenda free kumbe akazama kwenye limkoba lenye uwezo wakuficha bajaji akatoa pichu mpwa akavaa nikaona hii kiboko kumbe wakienda nazo mbili wa na maana yao maana midune mingine baada yasho utumia pichu hizi kufutia....lol!
 
Kakakìiza pole ungemchunguza ungeziona nyingne duu noma kwel
 
Kakakìiza pole ungemchunguza ungeziona nyingne duu noma kwel
<br />Nilikutana naye kwenye tamasha karimjee jua limemchoma nikamwingiza kwenye kipupwe akasahau shida!Akala nyama ya foil na bia baridi kwakisamo conteiner kwanini namimi asinishukuru kwa njia hiyo??naleo sijui yupo wapi!!ila nitamtafuta anajua kupiga show yaukweli!!wanafunzi noma!
 
Mademu wengine huwa wanabeba vitu hivyo ili akinanihiiiiiiiiiiiiii na mtu mumewe asijue, kwani vitu hivyo humfanya ajipodoe tena kama alivyo toka nyumbani baada ya kukunwa na kidumu chake, hivyo mumewe hataweza kumshitukia kirahisi!!!!!!!1
 
Niliwahi ku -do demu baada ya show nikaona kakunja ch**pi yake nikdhani havai tena nini kaamua kwenda free kumbe akazama kwenye limkoba lenye uwezo wakuficha bajaji akatoa pichu mpwa akavaa nikaona hii kiboko kumbe wakienda nazo mbili wa na maana yao maana midune mingine baada yasho utumia pichu hizi kufutia....lol!

kama wewe ulivyofanya baada ya ku-do!!!!!!
 
Pamoja na LIGHUFULI, moja, mbili.............incase!!!!!!!!!!!!!
 
Back
Top Bottom