Hizi Handbag za kinadada hizi mmmh?

Miye niliwahi kuona wakati mmoja dada kagongana na jamaa na mkoba ukaanguka na vikatapakanyikaa.. ni kweli vingi vilivyoonekana ndivyo hivyo vilivyotajwa na vingine ilibidi nilishwe yamini kutovitaja.. kitu pekee ambacho hakikuonekana kudondoka kwenye mikoba ni cash! no cash at all hata coins! Sasa leo najiuliza na baada ya kusoma vitu vyote vinavyobebewa hapa labda mtu mmoja tu alisema fedha kwenye hiyo mikoba.

a. Hivi huko wanakokwenda (guest) au mitaani kuna ATM?
b. Au wana uhakika kuwa cash si tatizo..?
 
Naona mzee unatafuta mzozo, haya ngoja waje
 
Umesahau na vitana kama sita hivi na khanga ukiona handbag ilivyotuna kama kuna hela vile ametoka benki kuna siku kibaka mmoja alimuibia dada mmoja begi lake ndani yake aliambulia eye shadow, lipstic, lip gloss, toilet paper, wembe, khanga, kulikuwa pia na pedi mbili ambazo hazijatumika
Ndiyo maana kuna mtu aliniambia linaitwa TOOL BOX!
 
Hayo yote ni maandalizi ya uchakachuzi!!!na wengi wabebao hivyo ni wake za watu.Kwani usipojilemba hampendezi??

Pomole sasa unataka kuharibu, ndani ya mabegi ya wake za watu ulikuwa unatafuta nini hadi ukayaona hayo!
 
Miye niliwahi kuona wakati mmoja dada kagongana na jamaa na mkoba ukaanguka na vikatapakanyikaa.. ni kweli vingi vilivyoonekana ndivyo hivyo vilivyotajwa na vingine ilibidi nilishwe yamini kutovitaja.. kitu pekee ambacho hakikuonekana kudondoka kwenye mikoba ni cash! no cash at all hata coins! Sasa leo najiuliza na baada ya kusoma vitu vyote vinavyobebewa hapa labda mtu mmoja tu alisema fedha kwenye hiyo mikoba.

a. Hivi huko wanakokwenda (guest) au mitaani kuna ATM?
b. Au wana uhakika kuwa cash si tatizo..?

Ndani hayo mabegi huwa tunabeba pochi ndogo mbili moja kwa ajili ya notes, IDs na business cards na kengine kadogo zaidi kwa ajili ya coins, kwa hiyo MzeeM kuona hivyo vikianguka live sio rahisi maana vinakuwa vimehifadhiwa vizuri tu
 
Ona wanavyojitetea mi simo
 
Hii iliwahi kunitokea demu kapaka lipstic kwenye pedi,kupiga hesabu alikuwa kwenye siku zake wiki 2 zilizopita nikakomaa kikaeleweka,wanawake noooma.

Uporoto mkuu inaelekea hujui kuhudhumia vizuri. Yaani mwanamke akupige chenga? Kama unampa huduma isiyosahaulika atakutafuta wewe na mkikutana tu ni lazima mdondoke. Ha ha ha improve fani!!!
 
Miye niliwahi kuona wakati mmoja dada kagongana na jamaa na mkoba ukaanguka na vikatapakanyikaa.. ni kweli vingi vilivyoonekana ndivyo hivyo vilivyotajwa na vingine ilibidi nilishwe yamini kutovitaja.. kitu pekee ambacho hakikuonekana kudondoka kwenye mikoba ni cash! no cash at all hata coins! Sasa leo najiuliza na baada ya kusoma vitu vyote vinavyobebewa hapa labda mtu mmoja tu alisema fedha kwenye hiyo mikoba.

a. Hivi huko wanakokwenda (guest) au mitaani kuna ATM?
b. Au wana uhakika kuwa cash si tatizo..?

Ulichungulia vizuri kweli? Hukuona hirizi? Ha ha ha kuna mama mmoja huwa anaficha sana bag yake, siku moja wakamtime wakapekua wakakutana na bahasha imewekwa hirizi ndani, huyo mama alikuwa mcha Munga sana!!! Ha ha ha. But hata wanaume wanaomanini nguvu za jiza wanajilinda na hirizi. Shiiit. Kwani hujasoma mpaka ulindwe na nguvu za radi? Kutojiamini huko! Ila wanawake ni maua, yanachanua na kusinyaa hivyo ni lazima yatiwe uhai, wapendeze. But msiweke san aile kitu inaitwa poda foundation zinaharibu sana ngozi, unazeeka na mwishowe huwezi kutoka bila kukandika tena uso wako. Just be natural and use very limited designers cosmetics!!! Hizo za wachina ni balaa!!
 
Mwanamke shurti kujiremba eehhh tena utuache umesahau na hivi:
Toilet paper
Deodorant
Perfume
Na vingine kibao

ah kweli, tena wale wa kinondoni wanakuwa na CO***m pia ni maandalizi in case of any emergency and sometimes katk mpango ya kando
 
Dena siku hizi mpaka maofisini tunapewa ziko kwenye madroo yani hata wasichana na wavulana wanatakiwa wawe nazo
 
Uporoto mkuu inaelekea hujui kuhudhumia vizuri. Yaani mwanamke akupige chenga? Kama unampa huduma isiyosahaulika atakutafuta wewe na mkikutana tu ni lazima mdondoke. Ha ha ha improve fani!!!
Alidai sio chai ninywe kila siku lol!
 
Dena siku hizi mpaka maofisini tunapewa ziko kwenye madroo yani hata wasichana na wavulana wanatakiwa wawe nazo

Hata kale tena wakinamama walikua wanabeba vikapu leo hii ni vipochi kwa ujumla kama binti anajitambua ni lazima kwenye begi or pochi yake awe na ivyo vitu specialy ilikua ni kwa ajili ya kuweka kanga so now wanaweka na vipodozi gud 4them
 
Ndio manaake huwezi jua unaweza pata dharura
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom