Hizi bra za kisasa za wasichana

Duh,,,,,
jamani hizi bra ,sijui sidiria za kisasa za
wasichana zinababaisha mno.......

I mean unakutana na msichana unamtazama kifuani
unakuta saa sita kamili,matiti yamejaa jaa...
Kimoyoyo unasema ntafaidi mimi....

Siku ya siku uko na huyo msichana chumbani,unayavamia
matiti na kuanza kusalula hiyo bra sijui sidiria...
Mara ghafla matiti yanadondoka chini pwaa....duh...kumbe
ni sidiria za kichina hizi sijui.....
Yaani.....ningeweza ningepiga marufuku hizo sidiria
manake unaweza zuzuka na matiti ya msichana kumbe
ni sidiria tu.....yaani.....

Really funny, lkn this serves right kwa wale wanaume ambao wanathink below the belt...Women who like faking it, naomba waendelee vivyo hivyo.
 
hizo booty pads zikiingia bongo
sipati picha........
Itafikia wakati unaingia chumbani na mrembo
mnaanza kugombana kwanza..............

........Booty pads mbona bongo zipo na zinavaliwa sana na baadhi ya wadada. Kweli wanaume wakwale mbona mtatamani sana wadada kumbe wana vitu fake.
 
Kuna mshkaji yangu mmoja alibeba kitu feki ya hizi bra....demu kagoma bra isivuliwe! Katikati ya gemu ngoma zikawa zinatoka zenyewe (zinatokea pembeni), zilikua zina'flow' kama mercury hivi......... you can't go beyond round one in this case.
 
Duh,,,,,
jamani hizi bra ,sijui sidiria za kisasa za
wasichana zinababaisha mno.......

I mean unakutana na msichana unamtazama kifuani
unakuta saa sita kamili,matiti yamejaa jaa...
Kimoyoyo unasema ntafaidi mimi....

Siku ya siku uko na huyo msichana chumbani,unayavamia
matiti na kuanza kusalula hiyo bra sijui sidiria...
Mara ghafla matiti yanadondoka chini pwaa....duh...kumbe
ni sidiria za kichina hizi sijui.....
Yaani.....ningeweza ningepiga marufuku hizo sidiria
manake unaweza zuzuka na matiti ya msichana kumbe
ni sidiria tu.....yaani.....

hahahahah The Boss umenichekesha sana ,,
 
ndo mtakoma na mi uroho yenu. wanaume uroho umewajaa utadhani fisi, hamuoni kitu mtaani mate yashawadondoka khaaaaaaaaaa. wachina oyeeeeeeeeeeeeeee
 
Duh,,,,,
jamani hizi bra ,sijui sidiria za kisasa za wasichana zinababaisha mno.......

I mean unakutana na msichana unamtazama kifuani unakuta saa sita kamili, matiti yamejaa jaa...
Kimoyoyo unasema ntafaidi mimi....

Siku ya siku uko na huyo msichana chumbani, unayavamiamatiti na kuanza kusalula hiyo bra sijui sidiria...
Mara ghafla matiti yanadondoka chini pwaa....duh...kumbe ni sidiria za kichina hizi sijui.....

Yaani.....ningeweza ningepiga marufuku hizo sidiria manake unaweza zuzuka na matiti ya msichana kumbe
ni sidiria tu.....yaani.....

mmh jamani kuna mdada tulikutana naye jana mitaa ya sinza kwa remi. Kwa kweli mchina alikuwa amefanya kazi hasa. Yaani huwezi amini mtu anayenihusu sana naye alimkodolea macho. mi kwa kuwa nilijua ni mambo ya guanghzou nikabaki nacheka tu.
 
Caren wewe ni orijinale?
 
Teh teh!baadhi ya wanawake mara baada ya kunyonyesha matiti yanadondoka usitegemee yatakuwa kama awali, The Boss nawasisi ukioa mkeo akinyonyesha matiti yakishadondoka utamkimbia wewe.
 
Anachoongea Boss ni wale wanaozuga na bra kwamba kitu saa sita lakini ukiondoa bra inakua balaa....
 
Duh,,,,,
jamani hizi bra ,sijui sidiria za kisasa za wasichana zinababaisha mno.......

I mean unakutana na msichana unamtazama kifuani unakuta saa sita kamili, matiti yamejaa jaa...
Kimoyoyo unasema ntafaidi mimi....

Siku ya siku uko na huyo msichana chumbani, unayavamiamatiti na kuanza kusalula hiyo bra sijui sidiria...
Mara ghafla matiti yanadondoka chini pwaa....duh...kumbe ni sidiria za kichina hizi sijui.....

Yaani.....ningeweza ningepiga marufuku hizo sidiria manake unaweza zuzuka na matiti ya msichana kumbe
ni sidiria tu.....yaani.....

Hata hizi hips zao na vi-box vya nyuma si lolote bali chupi aina ya boxer na skin tight - wewe tazama jezi ya chini ya goalkeeper - track suit or pitshot ilivyojaa pembeni, basi Wachina wamekwisha leta hizo kwa akina dada wa bongo ambao upenda kubadilisha muonekano wa miili yao kuanzia nywele mpaka kucha!.
 
Teh teh!baadhi ya wanawake mara baada ya kunyonyesha matiti yanadondoka usitegemee yatakuwa kama awali, The Boss nawasisi ukioa mkeo akinyonyesha matiti yakishadondoka utamkimbia wewe.

Tumeoa na tunajua kudondoka na kunyauka; hii inayoongelewa hapa ni ile ambayo yamegeuka na kuwa kama soksi iliyotiwa mchanga kiasi! Cjui unanielewa hapa?
 
Kuna mshkaji yangu mmoja alibeba kitu feki ya hizi bra....demu kagoma bra isivuliwe! Katikati ya gemu ngoma zikawa zinatoka zenyewe (zinatokea pembeni), zilikua zina'flow' kama mercury hivi......... you can't go beyond round one in this case.

Mpe pole huyo jamaa,kwani mercury inatisha ati!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom