Dr Lizzy
Platinum Member
- May 25, 2009
- 30,852
- 59,568
.... ndo mwisho wa kua na marafiki wa jinsia tofauti???
Nauliza kwasababu naona watu hua wanalaani sana msichana mwenye rafiki mwanaume aliyeoa au msichana aliyeolewa akiwa na rafiki mwanaume.
Upande wa wanaume sijasikia malalamiko sana na nnadhani hii inatokana na zile fikra kuhusiana na wanawake kua wepesi sana kushawishika pia kishawishi na bila kusahau wanawake kuwa wadhaifu.
Naomba kusema kwamba binafsi sioni tatizo iwapo heshima stahili ipo kwa pande zote na kila mmoja anajua mipaka ya urafiki wao.Mimi nimewahi kua na rafiki aliyeoa na hatukua na matatizo yoyote.Japo sikupata bahati ya kukutana na mke wake ila tulitambulishwa na kujuliana hali mara kadhaa.
Nwy nachojaribu kuonyesha ni kwamba kama kuna urafiki wa kweli bila kua zaidi ya urafiki sioni tatizo la watu wa jinsia tofauti wenye wenza wao kua na marafiki wa jinsia tofauti!!