Hivii kuoa/kuolewa...

Keep thinking that way and see if you’ll get a man willing to put a ring on it. And if and when he does, keeping talking to your other guy friends and see what will happen.
Hahhhhaha...funny stuff!!
 
Hahahaa Bossman…..a good soldier never telegraphs his next move!

Yaani umwambie kuwa akifanya hivi na vile kitatokea hiki na kile? Huoni kama hapo utamfanya naye aboreshe mbinu zake za wewe kutokugundua alichokifanya?

unajua funny thing kuna watu tumezaliwa
na kama a very sharp sixth sense....
i mean unaweza kuchelewa tu
but eventually utajua.....

unaweza hata kuoteshwa usiku
na kuona who is sleeping with ur wife lol
 
Sifa gani hizo unazonipa? Hilo neno gubbe limekaa kama tusi tusi flani hivi. Na sijui umeliokota wapi. Tafuta neno jingine bana.gubbe silitaki mimi.

.
gubbe = Paka Shume lililoshindikana mtaani, kwa wale waliokaa au wako Tanga, gubbe = Gwagu.
.
 
mtu umezaliwa, umesoma, say na kubahatika kupata kazi maishani pia kwa mlolongo wote huo umejijengea marafiki kwanini ukioa au kuolewa upoteze marafiki zako?? watu wengine wana 'misuse' maana ya urafiki kwa kutembea na wake/waume wa rafiki zao vilevile kukombanisha wanandoa kwa umbea, uongo na wivu. hakika huo sio urafiki mwema kabisa.
 
Hapo sasa...utadhani anakubinafsisha kwa kila kitu!!
 
Kama mambo yenyewe ndio hayo basi ni bora kuendelea kuishi ki-ugumu!.
 
Nyaniizzo na Sipiyu kama nawaona vile mnavyoandika kwa hisia!!Poleni bana ila kumuoa mtu haina maana una hati miliki mpaka umbadili hata kwa yale yasiyo ya lazima!!

We Lizzinnho weweeee
Supibi zamu yako ifike halafu ndo utajua is it possible practically or not
Mimi nitasema wazi SIYAWEZI.
Sitaruhusu mianya ya usaliti ktk ndoa yangu.
Unachelewa kurudi home unadai ulikuwa kwa best wako Juma??? :confused2::confused2::confused2:
Aiseeee . . . . . .
 
Sanaa!Naungana na wewe 100%Yani sishauri hata kidogo,practically NOT applicable to me.

Thanx my dia B
Ndoa sio disko bana kwamba unajiachia na mtu yeyote
Utakumbana na vishawishi vikakushinda, halafu utasingizia nini sijui
 
mtu umezaliwa, umesoma, say na kubahatika kupata kazi maishani pia kwa mlolongo wote huo umejijengea marafiki kwanini ukioa au kuolewa upoteze marafiki zako?? watu wengine wana 'misuse' maana ya urafiki kwa kutembea na wake/waume wa rafiki zao vilevile kukombanisha wanandoa kwa umbea, uongo na wivu. hakika huo sio urafiki mwema kabisa.

My dia
Hili ndo haswaaaa ambalo Lizzy huyu huyu halijui
Hajui kwamba unaweza ku-misuse urafiki na ukafanya kweli.
Na kumtambua misuse person ndo issue, coz hana sura.
Hata rafiki yako wa siku nyingi akiona unafaidi sana kwa mumeo, wivu/umbea/tamaa vikimkolea anakugeuka
Ndio hicho kinachotutisha hata sisi wanaume.
Best wangu kamzoea waifu wangu, waifu nae kila saa hakosi kwa jamaa (kwa kisingizio cha urafiki wa kawaida)
Mara unashangaa, siku unawakuta bichi wanaogelea. Waifu kavaa bikini, jamaa kavaa andawea tu.
Ukiuliza unaambiwa "Tunaogelea tu jamani, kwani kuna tatizo gani"
And the movie goes on . . . .
 
Hapo sasa...utadhani anakubinafsisha kwa kila kitu!!

Halafu siku umekuta mumeo anaogelea na mdada mwingine wa haja, then baada ya kumuuliza kulikoni, anajitetea

"Aaah . . . huyu ni rafiki yangu tangu tulivyokuwa Secondary, tulikuwa tunaogelea hivi weekend, wala usihofu waifu hatuna uhusiano wowote zaidi ya urafiki"
Utaelewa?
Acha kuelewa katikati ya mistari kana kwamba hii inagusa wanawake tu au kama vile lengo ni kukubana au kukubinafsisha.
Lengo ni kuondoa njia zote zinazoweza kutumika kusaliti ndoa.
Kwani ukiwa na marafiki wa jinsia yako uliozoeana nao kuna shida gani, mpaka uzoee mume wa mtu??
Mtu akioa/akiolewa anabadilisha status ya maisha yake, hivyo hata kitabia yapaswa abadilishe baadhi.
Hasa zile zinazoweza kuleta picha mbaya kwa mwenza wako na jamii pia.
Kama mmekubaliana sawa, lakin kama mwenza wako hawezi kustahimili badilika bana, mbona ni kitu kidogo tu.
Unapoteza nini ukiacha kuzoeana na mume wa mtu?
 
We Lizzinnho weweeee
Supibi zamu yako ifike halafu ndo utajua is it possible practically or not
Mimi nitasema wazi SIYAWEZI.
Sitaruhusu mianya ya usaliti ktk ndoa yangu.
Unachelewa kurudi home unadai ulikuwa kwa best wako Juma??? :confused2::confused2::confused2:
Aiseeee . . . . . .

Dah!!!Nwy ni vizuri unajua mapema kwamba huwezi...sasa nakushauri ukimpata waubani wako myaongelee haya mapema msije mkasumbuana mkiwa ndani ya ndoa tayari!!!
 
  • Thanks
Reactions: CPU

inauma sana asee!!! umejuaje???!!!
 
Dah!!!Nwy ni vizuri unajua mapema kwamba huwezi...sasa nakushauri ukimpata waubani wako myaongelee haya mapema msije mkasumbuana mkiwa ndani ya ndoa tayari!!!

By default sitegemei kuona waifu anaendeleza tabia zile zile tangu kabla sijamuoa, hasa zile ambazo zinaleta picha ya usaliti.
Ndoa si disko.
Ushauri wako umefika ila hilo wazo ninalo tangu nilipojua WHAT IS LOOVE LOVE LOVEEE
 
Back
Top Bottom