Hivi jamani nakumbuka bunge lilibadilika kabisa those days gafla watu wakapewa uongozi na wengine
kutokomea kabisa huku wakipewa dozi za kumomonyoka ngozi
kuna huyumama yuko wapi sikuhizi aka eng :matomato???je bado ni mpambanaji??
Jamani mmesahau huyu mtoto wa moses alivyokuwa mstari wa mbele kuanika yale yaliyokuwa nayaendelea UVccm,kilichotokea alipewa udc kumfunga mdomo,leo amekiri serikali imekosea swala la madaktari,hivi katumwa au kanunuliwa kuongea hayo????? huyu ni kinyonga,Pamoja na mapungufu ya LOWASA bado tunamuhitaji kuondoa kutu sugu cimpigii debe
Manyanya na wenzie walikuwa wamesahaulika ktk mwaliko wa national cake,wakaamua kucharuka,wakatulizwa kila mmoja kwa style yake,wachonga ngenge kama yy wakalambishwa ukuu wa mkoa,mpiga zumari mkuu akapewa kitu cha Urusi,kimemzeesha na kinamla taratibu.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.