Hivi wapi Eng Manyanya, bado ni mmoja wa wapambanaji??

Pdidy

JF-Expert Member
Nov 22, 2007
50,462
21,334
Hivi jamani nakumbuka bunge lilibadilika kabisa those days gafla watu wakapewa uongozi na wengine
kutokomea kabisa huku wakipewa dozi za kumomonyoka ngozi
kuna huyumama yuko wapi sikuhizi aka eng :matomato???je bado ni mpambanaji??
 
Kushney, karushiwa fupa la title kama Njelu Kasaka, chezea sirikali eeh!
 
Ilikua njaa inamsumbua. Sasa hivi kapewa cheo kimoja fake kitakachofutwa katika Katiba mpya!
 
Anapambana na wachafuzi wa mazingira huko Rukwa kwa kuingia front kufagia barabara na kukusanya taka.
 
Jamani mmesahau huyu mtoto wa moses alivyokuwa mstari wa mbele kuanika yale yaliyokuwa nayaendelea UVccm,kilichotokea alipewa udc kumfunga mdomo,leo amekiri serikali imekosea swala la madaktari,hivi katumwa au kanunuliwa kuongea hayo????? huyu ni kinyonga,Pamoja na mapungufu ya LOWASA bado tunamuhitaji kuondoa kutu sugu cimpigii debe
 
Manyanya na wenzie walikuwa wamesahaulika ktk mwaliko wa national cake,wakaamua kucharuka,wakatulizwa kila mmoja kwa style yake,wachonga ngenge kama yy wakalambishwa ukuu wa mkoa,mpiga zumari mkuu akapewa kitu cha Urusi,kimemzeesha na kinamla taratibu.
 
Kati ys kULISHWA SUMU NA MADARAKA ALICHAGUA MADARAKA.......................SASA HIVI NI NYUMBA NDOGO YA ..............
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom