Hivi unamwitaje mumeo/mkeo?

Tuko

JF-Expert Member
Jul 29, 2010
11,178
7,320
Katika mazingira ya kawaida... Wapo watu wa aina na umri tofauti, wazazi, au wakwe, au watoto, au wageni, au jirani. Nyumbani, au ofisini, au ugenini au pengine popote.

Hivi unamwitaje mumeo/mkeo?

Je unamwita jina lake, au baba/mama fulani? Au dadii.. au mamii.. au wewee...
N aunapenda mwenzio akuiteje?

Hapa naongelea unapomwita direct, sio unapomwaddress au kumuulizia kwa mtu.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom