Hivi tunajua Madhara ya Kuwahusisha Watoto katika Siasa mbovu za CCM na Chipukizi Taifa yake?

GENTAMYCINE

JF-Expert Member
Jul 13, 2013
56,709
109,143
Mnaacha Kuwahimiza Watoto wenu wajikite na Masomo ( Taaluma ) ili waje kuwa Msaada kwa Taifa nyie mko busy Kuwapigania waanze kuwa Viongozi huko CCM Chipukizi kama mlivyo nyie Wazazi wao Serikalini.

Na kuna Mtoto Mmoja nae nimemwona ameshaanza kuwa Tapeli na Muongo Muongo kama alivyo Baba yake na kwa nilivyomuona Kisaikolojia huyu huko Ukubwani akiwa Kiongozi tukimkera atatufokea na kutuambia kama tunaona Tanzania hakutufai basi twende kuishi Somalia au Eritrea.

Na baadhi yao nasikia hata huko Shuleni MONEY BOYS ni Weak Academically kama walivyokuwa Wazazi Wao ambao Wengine walilazimika hadi kununua Majina Bandia ambayo yametusaidia kupata Doctorates zetu za kutusaidia Kugombea Urais wa nchi mwaka 2030 kwa Jeuri ya Fedha zetu tulizoiba na Kuzificha huko Cyprus na katika Mabenki makubwa Marekani, China na Afrika Kusini.
 
Tumegundua kwenye siasa kuna pesa nyingi za wajinga, acha tuwaandalie meza watoto wetu mkuu.
 
Mnaacha Kuwahimiza Watoto wenu wajikite na Masomo ( Taaluma ) ili waje kuwa Msaada kwa Taifa nyie mko busy Kuwapigania waanze kuwa Viongozi huko CCM Chipukizi kama mlivyo nyie Wazazi wao Serikalini.

Na kuna Mtoto Mmoja nae nimemwona ameshaanza kuwa Tapeli na Muongo Muongo kama alivyo Baba yake na kwa nilivyomuona Kisaikolojia huyu huko Ukubwani akiwa Kiongozi tukimkera atatufokea na kutuambia kama tunaona Tanzania hakutufai basi twende kuishi Somalia au Eritrea.

Na baadhi yao nasikia hata huko Shuleni MONEY BOYS ni Weak Academically kama walivyokuwa Wazazi Wao ambao Wengine walilazimika hadi kununua Majina Bandia ambayo yametusaidia kupata Doctorates zetu za kutusaidia Kugombea Urais wa nchi mwaka 2030 kwa Jeuri ya Fedha zetu tulizoiba na Kuzificha huko Cyprus na katika Mabenki makubwa Marekani, China na Afrika Kusini.
Hivi vitoto vinajufunza ufisadi mapema. Hata wizi wa kura vinajifunza pia mapema. Vikikua vikubwa inakua mi bobevu na konki
 
Ccm oyeee...!

Chipukizi maana yake nini? Lengo ni nini? Kwanini chipukizi?

Sheta kaona kuliko kupiga kelele watoto wa viongozi ngoja na mimi wangu aende

Wewe piga kelele wakwako una Mficha kama mlemavu

Wahindi wanafundisha watoto wao biashara, wachezaji wanawafundisha watoto wao mpira, wasanii wa muziki pia (Jay Z alipata kumshirikisha mtoto wake akiwa na umri mdogo sana)

Viongozi nao wameona umuhimu wa kufanya hivyo baada ya kuona watoto wana muelekeo huo
 
maisha yako kasi sana wakuu.

1960-1990-----mwanetu soma uje kuwa na maisha mazuri.

1990-2000----mwanenetu wewe maliza chuo tu,mjomba wako au baba ako mkubwa atakufanyia mpango uingie aliko.

2000-2010 ---mwanetu soma lakini usisahau kutafuta na connection kwa watu wa system.

2010-2020---mwanetu soma,lakini kama unaweza hakikisha unajiunga ccm pia.

2020--- mwanetu inabidi uonyeshe kadi ya ccm toka ukiwa mtoto ndipo ufanikiwe.
 
Kuna vingine juzi vimefanya uchaguzi wao wa mkoa huko dodoma. Vitoto vinaanza kufundishwa undava bado vidogo hii ni hatari sana
 
Back
Top Bottom