Maana siku za mwisho wataibuka manabii wa uongo.! Hii inamaanisha kwamba manabii wa Mungu wapo hata leo..just justification, ngoja miezi miwili ikatike tuone
Habari za kupikwa hizi na haya Mambwa ya Ulaya yanataka kuona Mgabe amekufa kwani wao wataenda wapi?!!! Mugabe ni kamanda na amewashinda sasa wanamangamanga na utabiri njaa..
oshua, who commands a large following in Nigeria
and beyond, said an African leader would die within 60 days.
He failed to hint on the location of the leader, leaving wild guesses to fly around
.
Kwa waliomsikiliza TB Joshua, hakusema siku,mwezi wala saa!!hapa watu wameamua kuongeza kwa sababu zao binafsi!!
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.