Uchaguzi 2020 Hivi pamoja na "promo" yote ya mabango yaliyotapakaa nchi nzima, ni kwanini CCM inapelekwa mchamchaka na Tundu Lissu?

Nimeshuhudia udikteta kwa macho yangu. Mabango wamezuia,tv wamezuia,redio,magazeti. Mikutano yake mabomu. Binafsi sikua na mpango wa kupiga kura ila nitakwenda kupiga ili walau niondoe hasira nilizonazo. Amenyanyaswa sana.
Hakika raia wana jambo lao ifikapo hiyo October 28, kutokana na kuona haya maonevu wanayofanyiwa wapinzani, hususani chama kikuu cha upinzani nchini cha CHADEMA
 
Screenshot_20201013-063101.jpg
 
Slogan yetu watanzania ni hii:
" .......kufuli tunavunja, pombe tuna mwaga na Ikulu tunaingia, tumeamua Kwa ridhaa yetu wenyewe kumkataa shetani na kazi zake zote "

Masikini ni kiumbe kimoja dhaifu na jinga sana ,hataki tajiri awe na kitu ambacho yeye hana uwezo nacho kukimiliki, hanakuwa hana tofauti na mchawi.chadema hamjakatazwa kuweka mapicha na mabango.
Hujasikia maccm wakishusha bendera za Cdm?! Figisu kibao

Umma wa waTz tuna jambo letu oktoba 28
 
Masikini ni kiumbe kimoja dhaifu na jinga sana ,hataki tajiri awe na kitu ambacho yeye hana uwezo nacho kukimiliki, hanakuwa hana tofauti na mchawi.chadema hamjakatazwa kuweka mapicha na mabango.
Hatuna kodi nchi yenu
 
Tundu Lissu ndo anapelekwa mchakamchaka! Kashindwa kuzunguka nchi nzima amerudi tena kanda ya Ziwa, kama sio kihoro ni nini! TAL hapati hata 10% ya kura
 
Nimeamini kuwa Tundu Lissu ni sawasawa na Daudi wa kwenye Biblia.......

Wakati Daudi anamwendea Goliath, kupigana naye, aliamini kuwa Mungu ndiye anampa nguvu, watu wote walikuwa wakimcheka na hata Goliath mwenyewe anasema kileteni hicho "kitoto" nikile nyama...........

Lakini wote tunajua matokeo ya mpambano huo, ni kwa mbabe aliyeshindikana na ulimwengu nzima, Goliath kupigwa na manati na kufa na katoto kadogo Daudi!

Hakika October 28 itakwenda kuandika historia mpya ya nchi hii kwa Tundu Lissu kuweza kushinda uchaguzi mkuu, pamoja na chama cha CCM "kubebwa" na vyombo vyote vya dola nchini, vya Polisi, NEC na TISS!
Tangu lini lissu umfananishe na Daudi? Mtu mwenyewe hata Mungu hamuamini, rejea saga la korona, "eti Mungu hawezi kushinda sayansi" sasa mtu wa hivi umfananishe na mfalme Saudi. Lissu hashindi uchaguzi labda ashinde njaa!
 
Hivi nyinyi maccm bado tu hamjashikwa na kihoro kwa namna Tundu Lissu anavyowapeleka mchamchaka?
 
Hii imekaa hivi: unamkuta mwanafunzi wa kiwango cha A+ ambaye average score yake ni 98% anasoma saana, kila wakati yupo library na kulala masaa machache - wakati huohuo unamkuta yule boya wa kiwango cha 2% maneno mengi tu, porojo, kutwa kumsema yule wa 98%. Kunsingizia vitu vibaya mpaka hata uchawi!
Hili ndio jibu la swali lako.
CCM kuleta maendeleo na uongozi uliotukuka wanafanya kwa kiwango cha 98%, kupiga kampeni 98%, kutumia wasanii kusherekea utekelezaji wa ilani yao ya miaka 5 iliyopita ni 98% na kutangaza ilani ya CCM 20-25 pia kuombea washiriki kura wanaifanya 98%!
Sasa Lissu ni gredi ya 2% - hivyo hakuna mabango, hakuna kutangaza sera zozote, kuporomosha uongo na matusi, na hasa hasa hakuna cha kupoteza! Ni 2%.
Kuhusu umati wa watu anao ukusanya, hiyo ni sawasawa na tanker la petrol likianguka umati linaokusanya na madhara yake - waulize Morogoro mwaka juzi.
Hapa Segerea jana wamelazimisha kila mwenyekiti wa mtaa apeleke watu 30 ,ni nguvu siyo hiari lazima apeleke watu 30 kutoka kila mtaa kwenye mkutano wa Magufuli na costa zilikuwa zinapita ,kwa wewe ni mzuri hakuna haja kuforce, wachafu ndo huwa wanaforce na kutafuta attention ,kwahiyo ulichokiandika hapo ni utumbo na akili zako zimejaa makamasi
 
Ndugu yangu nakueleza tu ukweli ,CHADEMA nao wanapiga promo vibaya mno mi mwanzo nilikuwa najua watu wanafuatilia kupitia simu ndio wanajua mikutano ilipo lakini jana nilikuwa natokea Mwanza nikapumzika Tinde kwa siku mbili, huwezi amini matangazo kila dakika gari linapita wamekesha wakitangaza kuwa Lissu atapita kuhutubia hapo sasa kilichotokea ni kwamba hakuna aliyejitokeza kumsikiliza
akaamua kujiondokea mpaka Kahama, hoja yangu ni kwamba wanaojitokeza kwenye kampeni za Lissu hawajileti wanatafutwa kwa Matangazo na ushawishi kubwa kwa ujumla kuna usanii kwenye kampeni japo si sehemu zote.
 
Ndugu yangu nakueleza tu ukweli ,chadema nao wanapiga promo vibaya mno mi mwanzo nilikuwa najua watu wanafuatilia kupitia simu ndio wanajua mikutano ilipo lakini jana nilikuwa natokea mwanza nikapumzika tinde kwa siku mbili, huwezi amini matangazo kila dakika gari linapita wamekesha wakitangaza kuwa lissu atapita kuhutubia hapo sasa kilichotokea ni kwamba hakuna aliyejitokeza kumsikiliza
akaamua kujiondokea mpaka kahama, hoja yangu ni kwamba wanaojitokeza kwenye kampeni za lissu hawajileti wanatafutwa kwa Matangazo na ushawishi kubwa kwa ujumla kuna usanii kwenye kampeni japo si sehemu zote.
We kweli mpumbavu tu ,video zipo watu wamemsidikiza Lissu hotelini hadi wanatawanywa kwa mabomu ,halafu unasema watu hawakutokea ,nye watu wa CCM akili zenu hazina tofauti na nguruwe
 
Hii imekaa hivi: unamkuta mwanafunzi wa kiwango cha A+ ambaye average score yake ni 98% anasoma saana, kila wakati yupo library na kulala masaa machache - wakati huohuo unamkuta yule boya wa kiwango cha 2% maneno mengi tu, porojo, kutwa kumsema yule wa 98%. Kunsingizia vitu vibaya mpaka hata uchawi!
Hili ndio jibu la swali lako.
CCM kuleta maendeleo na uongozi uliotukuka wanafanya kwa kiwango cha 98%, kupiga kampeni 98%, kutumia wasanii kusherekea utekelezaji wa ilani yao ya miaka 5 iliyopita ni 98% na kutangaza ilani ya CCM 20-25 pia kuombea washiriki kura wanaifanya 98%!
Sasa Lissu ni gredi ya 2% - hivyo hakuna mabango, hakuna kutangaza sera zozote, kuporomosha uongo na matusi, na hasa hasa hakuna cha kupoteza! Ni 2%.
Kuhusu umati wa watu anao ukusanya, hiyo ni sawasawa na tanker la petrol likianguka umati linaokusanya na madhara yake - waulize Morogoro mwaka juzi.
Huna hoja zaidi ya kujifariji tu
 
Ndugu yangu nakueleza tu ukweli ,chadema nao wanapiga promo vibaya mno mi mwanzo nilikuwa najua watu wanafuatilia kupitia simu ndio wanajua mikutano ilipo lakini jana nilikuwa natokea mwanza nikapumzika tinde kwa siku mbili, huwezi amini matangazo kila dakika gari linapita wamekesha wakitangaza kuwa lissu atapita kuhutubia hapo sasa kilichotokea ni kwamba hakuna aliyejitokeza kumsikiliza
akaamua kujiondokea mpaka kahama, hoja yangu ni kwamba wanaojitokeza kwenye kampeni za lissu hawajileti wanatafutwa kwa Matangazo na ushawishi kubwa kwa ujumla kuna usanii kwenye kampeni japo si sehemu zote.
Hahahaaa endelea kujifariji! Eti Tinde iwe na watz wanaotufautiana sana mtizamo na Kagongwa, Kahama na Nzega na wakati hilo ni eneo moja linalofanana changamoto?
Danganya maccm wenzako tu
 
Ndugu yangu, madikteta duniani kote ndivyo walivyo. Hupenda kujiaminisha na kuuaminisha ulimwengu kuwa wanapendwa sana. Sasa hilo litimie, wateule (kv. ma RC, ma DC, maRPC, maOCD, ma NEC, nk) wao huwekwa roho juu kusimamia projekti hiyo ya 'kupendwa kwa dik'. Kila RC, DC, OCD wanahangaika na kushindana kila mmoja kuonesha amesambaza mabango kila pembe ya wilaya au mkoa wake, na vivyo hivyo amejaza nyomi mikutano ya kampeni ya dik. Ni mashindano ya kutetea tumbo ili dik aridhike. Ni kweli hizo pesa zingeweza kuelekezwa kuboresha huduma za kijamii. Sijui kama wanaelewa TAL akiwaambia maendeleo ya watu!
Dikteta huwa tumia watumishi wa umma kuonekana kuwa anapendwa sn
 
Back
Top Bottom