Hivi ni nani alipitisha Kikokotoo, mbona Wabunge wa CCM wanakikataa, au ni Utapeli wa kisiasa kuelekea Uchaguzi?

Erythrocyte

JF-Expert Member
Nov 6, 2012
117,914
218,700
Hakuna aliyesahau kwamba Waliopitisha Kikokotoo kwa kishindo ndani ya Bunge ni Wabunge wa CCM , Akiwemo huyu anayeitwa Musukuma, meza ziligongwa nusura zitoboke kwa kushangilia kikokotoo.

Sasa kinachotokea leo kwa Wabunge wa CCM kupambana na kutoa mapovu bungeni kupinga kikokotoo kinashangaza! Yaani wale waliopitisha kikokotoo hicho leo wanaonekana kukaza shingo na kumwaga povu kukipinga!

Huu bila shaka ni utapeli wa kiwango cha chini sana wa kisiasa kwa lengo la kuwadanganya wananchi ambao ccm imewafanya mabwege kwa zaidi ya miaka 60 na hili linatokana na uchaguzi unaokuja.

Lakini je Watanzania ni Mabwege kiasi cha kusahau kwamba Wabunge wa ccm ndio waliopitisha kikokotoo?

Ngoja tuone mwisho wa hii sinema.
 
Hakuna aliyesahau kwamba Waliopitisha Kikokotoo kwa kishindo ndanibya Bunge ni Wabunge wa CCM , Akiwemo huyu anayeitwa Musukuma , meza ziligongwa nusura zitoboke kwa kushangilia kikokotoo .

Sasa kinachotokea leo kwa Wabunge wa CCM kupambana na kutoa mapovu bungeni kupinga kikokotoo kinashangaza ! Yaani wale waliopitisha kikokotoo hicho leo wanaonekana kukaza shingo na kumwaga povu kukipinga !

Huu bila shaka ni utapeli wa kiwango cha chini sana wa kisiasa kwa lengo la kuwadanganya wananchi ambao ccm imewafanya mabwege kwa zaidi ya miaka 60 , na hili linatokana na uchaguzi unaokuja .

Lakini Je Watanzania ni Mabwege kiasi cha kusahau kwamba Wabunge wa ccm ndio waliopitisha kikokotoo ? Ngoja tuone mwisho wa hii sinema .
Hawa jamaa wanatengeneza tatizo halafu wanalisolve kimkakati
 
CCM ni laana
Wabunge wenyewe kwasasa hawajui wanachokitaka. Wanaweweseka. Hawajadili wizi wanataka kufita vitu walivopitisha juzi. Kazi kumsifia Rais sasa siametimiza wajibu? Siwaliahidi na mwenzake kwenye ilani?

Siwanatumia kodi zetu? Mbona wizi ukifanyika hawamlaumu? Wabunge baadhi hawastahili maana hata hawaeleweki msimamo wao. Mbunge lazima ujipambanue sio kusinziatu kama alivo waambia Makonda
 
Back
Top Bottom