Habdavi
JF-Expert Member
- Mar 5, 2011
- 724
- 621
uzalishaji wa bidhaa za kitanzania na bidhaa hizo zipate soko ndiyo siri iliyo nyuma hiyo figure. Sasa kama uzalishaji mkubwa unafanywa na wageni ni dhahiri hutasikia impact ya hiyo 7% Rate of saving and investment nayo itakuwa inachangia. Kwa kifupi inabidi wazawa ndiyo wawe na share kubwa katika uzalishaji, lakini kama wamiliki wataendelea kuwa wageni, 7% utaisoma kwenye makabrasha tu.