Hivi ni kweli UCHUMI wa TZ unakua kwa 7%

uzalishaji wa bidhaa za kitanzania na bidhaa hizo zipate soko ndiyo siri iliyo nyuma hiyo figure. Sasa kama uzalishaji mkubwa unafanywa na wageni ni dhahiri hutasikia impact ya hiyo 7% Rate of saving and investment nayo itakuwa inachangia. Kwa kifupi inabidi wazawa ndiyo wawe na share kubwa katika uzalishaji, lakini kama wamiliki wataendelea kuwa wageni, 7% utaisoma kwenye makabrasha tu.
 
uzalishaji wa bidhaa za kitanzania na bidhaa hizo zipate soko ndiyo siri iliyo nyuma hiyo figure. Sasa kama uzalishaji mkubwa unafanywa na wageni ni dhahiri hutasikia impact ya hiyo 7% Rate of saving and investment nayo itakuwa inachangia. Kwa kifupi inabidi wazawa ndiyo wawe na share kubwa katika uzalishaji, lakini kama wamiliki wataendelea kuwa wageni, 7% utaisoma kwenye makabrasha tu.
 
Tatizo ni formula ya kupata ukuaji uchumi, kama Shark alivyoeleza ndio ukweli sana sana pengo la walio nacho na wasio nacho linazidi kuongezeka
 
  • Thanks
Reactions: FJM
Ukifanya comparative analysis utagundua kuwa nchi za kimasikini uchumu ndiyo unakuwa kwa asilimia kubwa lakini kama nchi tayari ina maendeleo basi uchumi haukui kwa kasi sasa. Chukulia tu mfano huu. Mtoto akiwa mchanga ndipo unapo ona kasi kubwa ya ukuaji lakini mtu akishakuwa mtu mzima kasi ya ukuaji ni ndogo sana. kwa hiyo asilimia hiyo 7 ni ishara tu ya umasikini wetu.

fig4-1.gif

Source: World Bank

Kwenye yellow ni "Low-income countries" na ukiangalia GNP yao inakuwa kwa wastani wa 5.9% na nyekundu ni "High income countries" na uchumi wao unakuwa kwa wastani wa 2.8%.

Tukija kwenye GNP per capita Low income countries zinakuwa kwa kasi ya 3.8% wakati High income countries zinakuwa kwa wastani wa 2.1%

Kwa hiyo mtu asipo jua kusoma data za ukuaji wa uchumi ndiyo hivyo anaweza kudanganyika na hiyo 7% ila ukweli ni kwamba nchi karibia zote masikini zinaonyesha ukuaji mkubwa zaidi kwa sababu kuna gap kubwa zaidi ya kucover. Au kweli mtu anaweza akaja na kutudanganya kuwa uchumi wa Tanzania unaokuwa kwa asilimia 7 una nafuu kuliko wa hizi nchi tajiri zinazo kuwa kwa asilimia 2.8?

Hapo nimekuelewa mkuu...thanx for the info. Haya ndo mambo watanzania wanatakiwa waeleweshwe, sio wanadanganywa uchumi unakua!!!
 
Ukifanya comparative analysis utagundua kuwa nchi za kimasikini uchumu ndiyo unakuwa kwa asilimia kubwa lakini kama nchi tayari ina maendeleo basi uchumi haukui kwa kasi sasa. Chukulia tu mfano huu. Mtoto akiwa mchanga ndipo unapo ona kasi kubwa ya ukuaji lakini mtu akishakuwa mtu mzima kasi ya ukuaji ni ndogo sana. kwa hiyo asilimia hiyo 7 ni ishara tu ya umasikini wetu.
fig4-1.gif
Source: World BankKwenye yellow ni "Low-income countries" na ukiangalia GNP yao inakuwa kwa wastani wa 5.9% na nyekundu ni "High income countries" na uchumi wao unakuwa kwa wastani wa 2.8%. Tukija kwenye GNP per capita Low income countries zinakuwa kwa kasi ya 3.8% wakati High income countries zinakuwa kwa wastani wa 2.1%Kwa hiyo mtu asipo jua kusoma data za ukuaji wa uchumi ndiyo hivyo anaweza kudanganyika na hiyo 7% ila ukweli ni kwamba nchi karibia zote masikini zinaonyesha ukuaji mkubwa zaidi kwa sababu kuna gap kubwa zaidi ya kucover. Au kweli mtu anaweza akaja na kutudanganya kuwa uchumi wa Tanzania unaokuwa kwa asilimia 7 una nafuu kuliko wa hizi nchi tajiri zinazo kuwa kwa asilimia 2.8?
Ni kweli kabisa. Maana asilimia7 ya huo uchumi, hauenndani na idadi ya watu tuliopo kwa sasa.unajuwa kipimo cha kupanda kwa uchumi,tusiangalie sana humu mijini na haya majedwali.hivi mwananchi wa kawaida hasa yule wa kijijini hizo asilimia 7 zina msaada gani kwake. Kuwa na msongamano wa magari barabarani na kumiliki simu tatu,nne na nk sio kigezo cha uchumi kupanda.mimi nadhani hizo 7 asilimia ni utofauti wa pengo kati ya walionacho na wasionacho.
 
Kuna indicators na impactors. Sasa hawa wanaangalia indicators tu lakini ni bora uchumi ungekuwa hata kwa asilimia nne bla impactors kama inflation kuwa katika double figure.

Economy sio tu issue ya kuongeza GDP tu. Ndio maana Ni nchi kama Norway , sweeden na scandnavia ndio zimeendelea zaidi hata na sio USA au japan.

Unaweza kuwa na uchumi unakuwa sana lakini sio healthy. Kuna mabilionea wengi wako USA lakini pia kuna masikini wakutupwa wengi vile vile. While nchi kama Norway inaweza isiwe na hata mtu moja katika 300 top richest ppl lakini wananachi wake generaly abaove avarage wanaishi kaika kipato cha kati au juu kwa viwango vya UN.

Tanzania bado hata uchumi ukikuwa 10% hizo hela zinaishia serialini na serikali ndo hivyo inabidi ilipe bili kina IPTL, na wengineo. Distrubution of wealth haiwafikii wananchi. yaani mzunguko wa pesa. hapa bongo.................... ahaaaaaa ngoja nikapombeke tu.
 
  • Thanks
Reactions: FJM
Ulizeni wazee wenu kama waliweza hata kuyaongea hayo miaka 25 iliyopita, ndio mtajua kama uchumi unakua au unashuka.

Nadhani hapa FaizaFoxy unataka kusema miaka 25 iliyopita uchumi ulikuwa umeshuka sana. Lakini kumbuka wakati huo Tanzania ilikuwa a closed economy na ulitegemea zaidi kilimo. Hata hivyo uchumi huo wa pareto, pamba n.k ulitosheleza kutoa huduma za afya bure, elimu bure, kujenga reli, kununua ndege, na mtu aliweza kuishi kwa mshahara wake. Na ni mara chache sana tulisikia viongozi wetu wakiongea ukuaji wa uchumu in statistical terms. Kwa mwananchi wa kawaida whether uchumi unakuwa kwa 1% au kwa 20% is of no value kwake kama maisha yake ni duni na hana huduma muhimu i.e maji, matibabu, chakula na malazi bora.

Na hiki ndicho watu wanaongelea kwa sasa kwamba hizi number wanazotupa viongozi wetu wanatoa wapi hasa wakati in reality watu wanabangaiza maisha? Mara zote viongozi hawa wanaongelea GDP, lakini nadra kuongelea GNP. It will also be interesting kama wangeongelea Gini-coefficient (hii inaonesha gap kati ya maskini na matajiri). Then fact in Inflation ambayo kwa Tanzania wana-calculate wanavyojua! Utakuta hiyo 7% ni hewa.
 
Nadhani hapa FaizaFoxy unataka kusema miaka 25 iliyopita uchumi ulikuwa umeshuka sana. Lakini kumbuka wakati huo Tanzania ilikuwa a closed economy na ulitegemea zaidi kilimo. Hata hivyo uchumi huo wa pareto, pamba n.k ulitosheleza kutoa huduma za afya bure, elimu bure, kujenga reli, kununua ndege, na mtu aliweza kuishi kwa mshahara wake. Na ni mara chache sana tulisikia viongozi wetu wakiongea ukuaji wa uchumu in statistical terms. Kwa mwananchi wa kawaida whether uchumi unakuwa kwa 1% au kwa 20% of no value kwake kama maisha yake ni duni na hana huduma muhimu i.e maji, matibabu, chakula na malazi bora.

Na hiki ndicho watu wanaongelea kwa sasa kwamba hizi number wanazotupa viongozi wetu wanatoa wapi hasa wakati in reality watu wanabangaiza maisha? Mara zote viongozi hawa wanaongelea GDP, lakini nadra kuongelea GNP. It will also be interesting kama wangeongelea Gini-coefficient (hii inaonesha gap kati ya maskini na matajiri).

Usidhani kwa kichwa changu, kama hujaelewa niulize, kwa nini udhani kuhusu mimi nilitaka kusema nini sijui? Unanshangaza.

Kula hakuna, watu wanakula unga wa yanga! halafu hiyo dawa utaitoa wapi? watu wanakufa hovyo mahospitali, ni jina tu bure. elimu ni jina tu. Ndio maana leo unaona Tanzania ni nchi ya mwisho katika Afrika Mashariki kwa kuwa na wenye elimu za juu wachache kuliko wenzetu.

Hivi ulikuwepo au unasoma kwenye magazeti hali ilivyokuwa siku hizo? Mimi nilikuwepo na nimeyaona, usiombee kuwepo katika hali tuliyopitia.
 
Yote haya yanafanywa na ndulu BOT. Hakuna kitu kama 7% growth Tanzania, kitu tunachofanywa na ofisi ya kikwete na ndulu ni kila mwaka wanakaa kuandika projections kwa malengo maalumu ya kuomba misaada kwa donors, WB and IMF. Ukiangalia vidhibitisho vya hiyo 7% hakuna na kwa kifupi ni kwamba serikali ya Tanzania kupitia huyu anayejiita book smart ndulu, wanafanya kazi ya kukusanya data za TRA na kuonyesha kuna funds zilizokusanywa na hii ndio ushahidi wenyewe. The problem ya hizi record ni kwamba tunarudi palepale 'hakuna transparency' culture na itikadi za ccm ni kuficha kila kitu ili waendelee kuwadanganya wanaodanganyika. The foolishness ya hawa wahujumu wa taifa, wanasahau kwamba kitu growth lazima viwe na back up na sisi tunaishi Tanzania tunajua wazi 7% growth doesn't feel like this and it's not even 2% growth.

Tukiangalia sectors mbalimbali za uchumi vitu vingi vipo screw up na mifano ni hii, sector ya utalii hakuna watalii ukilinganisha na miaka ya hapo nyuma na zaidi the recession kwenye nchi nyingi za europe na US imefanya wananchi wao kushindwa kutembea na kusafiri na ku-spend duniani, sasa hiyo 7% inatoka wapi? Ukichunguza sector ya madini, unaona wazi ndipo pekee taifa linaendeshwa na kutegemea haya mauzo lakini ukiangalia corruption zilizopo ndani ya hii sector tunajua wazi 'taifa linapata hasara kila mwaka'. Haya makampuni ya madini yanaonekana wazi yanadanganya taifa kutokana na mikataba iliyowekwa na zaidi jinsi ilivyoandikwa. Makampuni ya madini wanaongoza inchini kwa kutolipa taxes na wanapata waiver za mafuta na kila aina ya benefits, je 7% inatoka wapi?

Unemployment level ya taifa letu ipo juu miaka nenda rudi na ushahidi upo, check facts mitaani, ndugu zetu wangapi wamemaliza colleges na mashuleni wapo mitaani? Au hata wakipata kazi ni kiasi gani wanalipwa? Taifa haliwezi kamwe kuwa na wananchi asilimia kubwa hawafanyi kazi au kulipwa kiasi cha kutosha wiki moja tu ya mwezi tukasema tutapata 7%. Economist yeyote yule ata-back up hizi facts kwamba huwezi ukajenga uchumi katika mazingira ya only corrupt so called vongozi tu ndio wanaweza kuhimili maisha, only 0.5% wananchi wanaoweza kununua mafuta, kuhimili bei juu ya vyakula na bidhaa zilizopo madukani au wafanyakazi wa nafasi za juu serikalini kama ndulu na jk. Haya yote yanagusa inflation ya taifa iliopo karibu double digits kwa sasa, hiyo basket goods wanayotumia kama measurement inaonekana kupanda kila siku, how do you get 7% growth. Ukizungumzia the main drive ya small economy kama wa Tanzania umeme ndio huo tunaingizwa kwenye mikenge kila leo na sasa kunaonekana kabisa jk anatafuta deals za generators ili kuwakaanga wananchi tena, how do we get 7% growth? Hapa hata hatujagusia trade in-balance na effects za currency manupulations schemes zinazotumiwa kama weapon za ndulu.

7% growth remain a mystery to Tanzanians but to ndulu na kikwete its a begging strategy

Mi siamini if this is true, nahisi hizi data zinapikwa..what are your comments guys?
 
Back
Top Bottom