Bufa
JF-Expert Member
- Mar 31, 2012
- 10,659
- 21,088
what I know Blacks were created to be dominant from gene to everything. Whites have just managed to treacherously degrade black people and most blacks has accepted it!
Ukweli ni kwamba if you are smart and you work with them, they are happy when you make mistakes because they are jealous of your smartness!
niambie kama kuna mchezo wowote ambao blacks they don't dominate
niambie which science blacks people haven't put any handful contribution in it despite marginalization
tell me which music and movies dont have blacks dominance
tell me the dominance of blacks in politics despite being marginalized
etc.
Blacks have extra ordinary gift from God, the only biggest problem now is the way we are smart in a positive side, we can also be very smarts on the negative side and the white people has capitalized on this.
Watu kama nyie ndio mnaprove mzungu anaakili kuliko mtu mweusi. Hapa anaaongelewa mtu mweusi na mzungu as a whole sio mmoja mmoja, kama wewe ukikosea kazini kwako wazungu wanafurahi that doesn't prove anything, haimaanishi wazungu wote wanakosea na waafrika wote wanapatia, kwa huo mfano wako is like a drop in the ocean yaani irrelevant.
Pili, umeongelea mambo yasiyo na msingi hata Kidogo na kuwapa wazungu credits zaidi bila kujijua ukidhani ndio kipimo cha akili. Akili Ni uwezo wa kutatua matatizo kwenye mazingira husika, weredi, maarifa, uvumbuzi, utatuzi wa kero/majanga asilia au "natural catastrophes" if you will.
Mifano yako ya eti blacks wanatawala movies, music, politics, sports ni nonsense. Maisha yapo, yalikuwepo na yataendelea kuwepo bila uwepo wa chochote kile kati ya hivyo ulivyovitaja ambavyo weusi wanatawala. Hivyo vyote ni more of luxury na si vitu vya msingi kwa maisha ya mwanadamu, zaidi havitatui matatizo yeyote ya kila siku yamkumbayo mwanadamu so sio kipimo cha akili kwa namna iwayo yeyote ile.
You talked about whites marginalizing blacks that is yet another point in favor of white people. Siku zote mnyonge ndio anakandamizwa either mnyonge wa akili au wa nguvu hivyo kama weusi wanaminywa basi wamezidiwa na wazungu.
Hii mada ni way hard for you to comprehend bora uiache kuliko kuleta vitu irrelevant na wenzio wanakusapoti