Hivi mtu aliyefanikiwa kimaisha ni lazima awe na vifuatavyo?

mimi ili uwe umefanikiwa kipimo changu ni umesomesha watoto wangapi yani si wakwako tu no wa wasiojiweza,jamii inayokuzunguka inanufaidikaje na utajiri wako,umefanyika baraka kwa watu wangapi maishani mwako, wangapi watasema namshukuru mungu kwa ajili yako,umesaidia wajane wangapi,umewavika nguo wangapi nk yani list ni kubwa ila kifupi pimamafanikio/utajiri wako na jinsi ulivyoweza kuisaidia jamii inayokuzunguka

Mkuu umemaliza kila kitu,nadhani wenye kuelewa wameelewa.
NB
Ni wachache sana wanaotoa msaada wa hali na mali kwa ajili ya wasiojiweza,na wakitoa wana toa kwa Riya,wanaita media kila mtu awaone.
 
Back
Top Bottom